Dr. Slaa Almanusra Ajiuzulu Chadema, Sasa CCM tumechoka!!

mmmh, hili gazeti ndio maana huwa halinunuliwi na vijana, ni wazee wastaafu, tena waliostaafu 1995 kurudi chini
 
Leo nimezidi kuumia kukuta gazeti letu kongwe, MZALENDO linakuja na vichwa visivyo na mvuto mbele ya jamii ya watanzania wa siku hizi:
1. Dr. Slaa alitaka kujiuzulu Chadema
2. Chadema Wamgwaya Shibuda
3. Uchumi wa Tanzania wavuka lengo mwaka 2011.

Kiukweli mhariri wa gazeti hili anakula mshahara pasipo kutoa tija; hivi vichwa wa habari haviingii akilini kwa watanzania kwani uhalisia ni tofauti.

I VIZURI WANACCM TUKAE CHINI NA kupanga mbinu mpya za kukabiliana na CDM, ikibidi kama noma iwe noma, UKANDA WA PWANI wasifanikiwe kufanya mikutano, Mtwara na Lindi suala la Korosho litatuumbua.

Mwariri,Gazeti na Mleta mada mafilifili wote ni magamba tumie mikutano yenu ya ndani kujadili huu uozo wenu.
 
Chadema wanaanza mikutano Kanda ya kusini mikoa ya Mtwara na Lindi kuanzia tarehe 28-may-2012. Je, huko nako wataita operesheni hiyo SANGARA au? I mean kama ile waliyofanya kanda ya kaskazini ambayo ilipelekea wao kuvuna wabunge watatu Jiji la Mwanza? Naomba majibu plz.

Ningependa iitwe operesheni Korosho
 
Leo nimezidi kuumia kukuta gazeti letu kongwe, MZALENDO linakuja na vichwa visivyo na mvuto mbele ya jamii ya watanzania wa siku hizi:
1. Dr. Slaa alitaka kujiuzulu Chadema
2. Chadema Wamgwaya Shibuda
3. Uchumi wa Tanzania wavuka lengo mwaka 2011.

Kiukweli mhariri wa gazeti hili anakula mshahara pasipo kutoa tija; hivi vichwa wa habari haviingii akilini kwa watanzania kwani uhalisia ni tofauti.

NI VIZURI WANACCM TUKAE CHINI NA kupanga mbinu mpya za kukabiliana na CDM, ikibidi kama noma iwe noma, UKANDA WA PWANI wasifanikiwe kufanya mikutano, Mtwara na Lindi suala la Korosho litatuumbua.
Hahahahahahahahahaa nape kasha zidua yake wakati ile ya kwanza haja ikamilisha ya vua gamba....
 
Chadema wanaanza mikutano Kanda ya kusini mikoa ya Mtwara na Lindi kuanzia tarehe 28-may-2012. Je, huko nako wataita operesheni hiyo SANGARA au? I mean kama ile waliyofanya kanda ya kaskazini ambayo ilipelekea wao kuvuna wabunge watatu Jiji la Mwanza? Naomba majibu plz.
Mkuu hii inaitwa Movement For Change na ni ya nchi nzima....
 
upepo tu wa magamba utapita

Kitu kinachowasumbua CCM ni kukosa ubunifu wa jinsi ya kuwaridhisha watanzania ambao mpaka sasa wamekosa mwelekeo chini ya utawala wao.Viongozi wengi wa CCM kazi yao ni kupiga kelele badala ya kushughulikia kero za wananchi. Ikumbukwe kuwa mwaka 2011 zaidi ya asilimia 40% ya wanafunzi wa kidato cha nne walifeli kwenye mitihani.Sasa wanapoambiwa kuwa CCM imefelisha watoto wao, kwa mwananchi inamuingia akilini kuwa CCM ndiye adui yake mkubwa, watakwepa kwa hili.

Hivi sasa ukiwa kiongozi ufanye mambo kwa vitendo sio baada ya miaka 5 unaanza kusema nitawafanyia hili, imepitwa na wakati. Tenda utaonekana unafanyakazi.

CCM hata wale vijana walioko huko hawana tena moyo wa kufanya kazi kwa kutumia akili zaidi ya kufikiri jinsi ya kuchukua chao mapema.

MUNGU IBARIKI CDM, MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Leo nimezidi kuumia kukuta gazeti letu kongwe, MZALENDO linakuja na vichwa visivyo na mvuto mbele ya jamii ya watanzania wa siku hizi:
1. Dr. Slaa alitaka kujiuzulu Chadema
2. Chadema Wamgwaya Shibuda
3. Uchumi wa Tanzania wavuka lengo mwaka 2011.

Kiukweli mhariri wa gazeti hili anakula mshahara pasipo kutoa tija; hivi vichwa wa habari haviingii akilini kwa watanzania kwani uhalisia ni tofauti.

NI VIZURI WANACCM TUKAE CHINI NA kupanga mbinu mpya za kukabiliana na CDM, ikibidi kama noma iwe noma, UKANDA WA PWANI wasifanikiwe kufanya mikutano, Mtwara na Lindi suala la Korosho litatuumbua.

Nani siku hizi anasoma hayo magazeti??? Wanaweza kuandika chochote bila uhakiki, yamebaki kuwa magazeti ya kuwa distributed kwenye ofisi za SISIEMU.
 
Chadema wanaanza mikutano Kanda ya kusini mikoa ya Mtwara na Lindi kuanzia tarehe 28-may-2012. Je, huko nako wataita operesheni hiyo SANGARA au? I mean kama ile waliyofanya kanda ya kaskazini ambayo ilipelekea wao kuvuna wabunge watatu Jiji la Mwanza? Naomba majibu plz.

Movement for change(M4C)
 
Hivi mwandishi kama huyu anapoandika uongo kama pato la Tanzania lavuka lengo mwaka 2011 huwa anatakiwa achukuliwe hatua gani? Kama kuna wanasheria humu tafadhali nijibu? Hakuna kitu kama hicho watanzania wanakufa kwa kukosa matibabu, chakula na huduma muhimu today you are mentioning the Tanzanian's economic has grown how? For what sense?
 
Leo nimezidi kuumia kukuta gazeti letu kongwe, MZALENDO linakuja na vichwa visivyo na mvuto mbele ya jamii ya watanzania wa siku hizi:
1. Dr. Slaa alitaka kujiuzulu Chadema
2. Chadema Wamgwaya Shibuda
3. Uchumi wa Tanzania wavuka lengo mwaka 2011.

Kiukweli mhariri wa gazeti hili anakula mshahara pasipo kutoa tija; hivi vichwa wa habari haviingii akilini kwa watanzania kwani uhalisia ni tofauti.

NI VIZURI WANACCM TUKAE CHINI NA kupanga mbinu mpya za kukabiliana na CDM, ikibidi kama noma iwe noma, UKANDA WA PWANI wasifanikiwe kufanya mikutano, Mtwara na Lindi suala la Korosho litatuumbua.

Swala la korosho litawatawaumbua siyo?! Na bado! Kwani mmeshaweweseka? Bado? There is more yet to come! Brace yourself magamba!
 
Back
Top Bottom