MAFILILI
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,377
- 1,194
Leo nimezidi kuumia kukuta gazeti letu kongwe, MZALENDO linakuja na vichwa visivyo na mvuto mbele ya jamii ya watanzania wa siku hizi:
1. Dr. Slaa alitaka kujiuzulu Chadema
2. Chadema Wamgwaya Shibuda
3. Uchumi wa Tanzania wavuka lengo mwaka 2011.
Kiukweli mhariri wa gazeti hili anakula mshahara pasipo kutoa tija; hivi vichwa wa habari haviingii akilini kwa watanzania kwani uhalisia ni tofauti.
NI VIZURI WANACCM TUKAE CHINI NA kupanga mbinu mpya za kukabiliana na CDM, ikibidi kama noma iwe noma, UKANDA WA PWANI wasifanikiwe kufanya mikutano, Mtwara na Lindi suala la Korosho litatuumbua.