Dr. Slaa alitushauri wa-TZ tukampuuza, sasa kulalama kwanini?

Status
Not open for further replies.
Wakti wa kampeni za urais Dr. Slaa alitushauri waz-tz tusimchague JK. na kama hatumtaki yeye basi angalau tuchague hata Li-PUMBA! na endapo tutamchagua JK basi tutambue tumeingia katika matatizo.
hivi sasa petrol shida, umeme shida, shilingi inaekea kaburini, sukari usiseme,
Je kwa nini tusimwite Dr. Slaa kuwa ni mtume/nabii?

Tuna miaka mitatu ya mateso na kusota....la sivyo labda tuchukue maamuzi magumu.
 
tuache lawama zisizo na msingi na sifa za kijinga.slaa hawezi kuwa nabii,ana usafi gani wakati amepora/anatembea na mke wa mtu pili hali ya uchumi kuwa mgum inasababishwa zaid na external force,uchumi wa mataifa makubwa km US na UK umeyumba na una direct impact kwetu.kwa hiyo acheni kuhadaa watu.

Ww nenda kanye! uchambe alafu uje uchangie!!!!
 
Mtume?ur fool
Wakti wa kampeni za urais Dr. Slaa alitushauri waz-tz tusimchague JK. na kama hatumtaki yeye basi angalau tuchague hata Li-PUMBA! na endapo tutamchagua JK basi tutambue tumeingia katika matatizo.
hivi sasa petrol shida, umeme shida, shilingi inaekea kaburini, sukari usiseme,
Je kwa nini tusimwite Dr. Slaa kuwa ni mtume/nabii?
 
Wana jf tujitahidi sana sasa kuwaelimisha watz wengine ili 2015 ccm ipotelee mbali kabisa kwani ni genge la wezi wenye mfumo hatari sana wa kulindana!!! Washatufanya watz kuwa kama takataka then we should act against them vigorously.
 
Una direct impact kwetu kwa sababu sisi ni omba omba, je umejiuliza ni bisahara kiasi gani tunafanya na hayo mataifa uliyoyataja uliyoyataja zaidi na hata majirani zetu??

tuache lawama zisizo na msingi na sifa za kijinga.slaa hawezi kuwa nabii,ana usafi gani wakati amepora/anatembea na mke wa mtu pili hali ya uchumi kuwa mgum inasababishwa zaid na external force,uchumi wa mataifa makubwa km US na UK umeyumba na una direct impact kwetu.kwa hiyo acheni kuhadaa watu.
 
Si kweli kuwa watz walimpuuza Dr. wa ukweli bali walimpa kura za kutosha kwenda ikulu ila yaliafanyika mapinduzi, ndiyo ikaitwa siyo. Alaaniwe Jaji Lewis Makame, NEC, TISS,JWTZ, POLISI kwa kuwezesha mapinduzi haya.

jamaa yangu yupo kazi nyeti alinimbia kuwa jk alipata kura 35% ndo mana faida ya usanii wake jk na tume yako mambo yanamwia magumu huenda akajiuzuru au jeshi likachukua nchi hali ya uchumi tete
 
Utume?????, majaribu yalimzidi nguvu, alipewa ushauri wa kutomega kazi ya mtu akapuuza. Sasa kulalama kwa nini?

Jamaa muanzisha thread hii kaenda mbali zaidi kasema eti tumuite Mtume/Nabii..Magwanda wote wamekubaliana na huu upuuzi aisee! Hizi ni akili za kunguru mgonjwa
 
Tena waliopokea kofia, TSHIRT, nk na wanakiona cha moto zaidi
kwa maana hawakutegemea yanayotokea
poleni watanzania sasa jiandaeni kumchagua J.ZUMA wa TZ
 
Jamaa muanzisha thread hii kaenda mbali zaidi kasema eti tumuite Mtume/Nabii..Magwanda wote wamekubaliana na huu upuuzi aisee! Hizi ni akili za kunguru mgonjwa
Huyu mzee naona hatuna haja tena ya kumjadili. Keshaisha kisiasa. Naona siku hizi yupo busy na facebook tu, kila baada ya lisaa anaupdate status...mbaya zaidi hapati wachangiaji wala likes!!
 
Leteni hizo CD tujimwage tena,tutaendelea kuchagua wenye uwezo lakini tabia ya tume ya taifa kufanya kinyume na inavyaotakiwa tutaikomesha

Safari ijayo tutawalazimisha watangaze matokeo sahihi
 
Huyu mzee naona hatuna haja tena ya kumjadili. Keshaisha kisiasa. Naona siku hizi yupo busy na facebook tu, kila baada ya lisaa anaupdate status...mbaya zaidi hapati wachangiaji wala likes!!
kweli Rejao ni makalio ya bi kizee, wakati watu wanajdili mambo ya maana yeye anakuja na upumbavu wake huu!
 
Cha moto tunakiona jamani, Hivi hakuna njia mbadala ya kumtoa madarakani huyu mtu? Hivi rasilimali kibao zinaliwa na watu wachache tu, huku wananchi tumeachwa na mashimo. Kweli inatia uchungu.

namna ipo,tuingie msituni tu,wanajeshi wenyewe magumashi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom