Dr. Slaa alitushauri wa-TZ tukampuuza, sasa kulalama kwanini?

Status
Not open for further replies.
tuache lawama zisizo na msingi na sifa za kijinga.slaa hawezi kuwa nabii,ana usafi gani wakati amepora/anatembea na mke wa mtu pili hali ya uchumi kuwa mgum inasababishwa zaid na external force,uchumi wa mataifa makubwa km US na UK umeyumba na una direct impact kwetu.kwa hiyo acheni kuhadaa watu.

Kupora mke kwa dr slaa kunahusiana vipi na mgaowa umeme,mfumuko wa bei,kuporomoka kwa shilingi,ufisadi nk?
 
tuache lawama zisizo na msingi na sifa za kijinga.slaa hawezi kuwa nabii,ana usafi gani wakati amepora/anatembea na mke wa mtu pili hali ya uchumi kuwa mgum inasababishwa zaid na external force,uchumi wa mataifa makubwa km us na uk umeyumba na una direct impact kwetu.kwa hiyo acheni kuhadaa watu.

akili yako nzito sana, pole sana kwa wazazi wako kwa kukuzaa jitu tahira
 
tuache lawama zisizo na msingi na sifa za kijinga.slaa hawezi kuwa nabii,ana usafi gani wakati amepora/anatembea na mke wa mtu pili hali ya uchumi kuwa mgum inasababishwa zaid na external force,uchumi wa mataifa makubwa km US na UK umeyumba na una direct impact kwetu.kwa hiyo acheni kuhadaa watu.
acha upuuzi ww, hivi ulishasikia mwanaume akapokonywa mke? labla huko ulaya lakini kwa africa hii - NEVER. unless......
 
tuache lawama zisizo na msingi na sifa za kijinga.slaa hawezi kuwa nabii,ana usafi gani wakati amepora/anatembea na mke wa mtu pili hali ya uchumi kuwa mgum inasababishwa zaid na external force,uchumi wa mataifa makubwa km US na UK umeyumba na una direct impact kwetu.kwa hiyo acheni kuhadaa watu.
Unataka kuniambia kuwa jirani yako akifariki na wewe unafariki? Huu ndio upumbavu unaotufanya tuwe tegemezi kwa haya mataifa huku tukiamini kuwa yatatuinua kiuchumi kitu ambacho si kweli, Kwa nini watanzania wamekuwa wavivu wa kufikiri? Laiti tungekuwa na uchumi unaojitegemea tusingekuwa na hoja za kipumbavu kama hizi eti uchumi wa US na UK umeyumba, binafsi nachukizwa na tabia za watu kutumia ujinga wa mtu au watu fulani kujihalalishia ujinga wake.
 
Funzo la mjiinga siku zote ni shida na tabu. Acha kwanza tukione cha mtemakuni, yakitushinda kabla ya 2015 tumwagane vinyesi tukija kuzinduka tutakuwa tumekaa sawa kwenye mstari
 
ule mdahalo ndio ulinifanya nimvulie kofia dr, ulinifanya nifaham kati ya pumba na mchele, ulinifanya nimdharau sana jk. Big up dr unastahili.
Baada ya ule mdahalo nilijiuliza maswali kadhaa na kujijibu mwenyewe, laiti mchakato wa kumpata rais wa nchi yetu ungekuwa wazi kama wa usa, mdahalo wa obama na mcain!! Wananchi wanapimpima mgombea kwa uwezo wake na si nguvu ya chama, basi c.c.m wasingekubali kikwete achukue fomu dhidi ya dr slaa. Kwa sababu ni sawa na kulinganisha mercedes benz na corolla limited?

hatujamchagua. Ni mteule wa nec chini ya makame. Na tusipokuwa makini el atakuwa mteule wa nec ya lubuva as from 2015. Mtu akikufananisha na ccm amekuua kabisa ki-hadhi.
 
Si kweli kuwa watz walimpuuza Dr. wa ukweli bali walimpa kura za kutosha kwenda ikulu ila yaliafanyika mapinduzi, ndiyo ikaitwa siyo. Alaaniwe Jaji Lewis Makame, NEC, TISS,JWTZ, POLISI kwa kuwezesha mapinduzi haya.
 
duh, yaani kumbe DR. Slaa hakuwa anashindana na kikwete pekee bali vyombo vyote hivi vya dola- aisee shughuli pevu mno...
 
tuache lawama zisizo na msingi na sifa za kijinga.slaa hawezi kuwa nabii,ana usafi gani wakati amepora/anatembea na mke wa mtu pili hali ya uchumi kuwa mgum inasababishwa zaid na external force,uchumi wa mataifa makubwa km US na UK umeyumba na una direct impact kwetu.kwa hiyo acheni kuhadaa watu.

Hojatete: Mataifa makubwa yanahusika vipi na kutumia zaidi ya bilioni 60 kusheherekea Uhuru wa miaka 50? wanahusika vipi na ununuzi wa ma VX,V8,. Mataifa makubwa yanahusika vipi na posho za wabunge?, miradi ya kifisadi, utawala bora...... na mengine mengi. Serikali inanadi t-bonds na t-bills kupata 20b, wakati wametumia 60b+ kwa sherehe ambazo sio kipaumbele. Tafakari!!!!
 
Ewe marehemu ccm, mungu akulaze pabaya pa mateso. Kifo chake kitakuwa furaha ya waungwana wote.
aisee nong'ona maana nape akikusikia!!!!! ni balaa... maana ccm ni baba na mama yake - shauri yako.
 
Hojatete: Mataifa makubwa yanahusika vipi na kutumia zaidi ya bilioni 60 kusheherekea Uhuru wa miaka 50? wanahusika vipi na ununuzi wa ma VX,V8,. Mataifa makubwa yanahusika vipi na posho za wabunge?, miradi ya kifisadi, utawala bora...... na mengine mengi. Serikali inanadi t-bonds na t-bills kupata 20b, wakati wametumia 60b+ kwa sherehe ambazo sio kipaumbele. Tafakari!!!!

Waitu wakora ebigambo byawe mbichoma! ogwo Hojatete nanywa enjae kwema kala!
 
Mkuu nina dvd yake ya mdahalo mzima nikirudi jioni nitaiangalia tena nimskia dr wa ukweli akimwaga nondo. Kwenye hiyo Cd alimlipua sana Jk na alibainisha wazi kuwa aliyoyasema yote ya kweli kuwa Jk alikuwemo kwenye ile list of shame.
mkuu nawezaje kuipata hiyo dvd?ntafurahi sana,tuma sms kwenye namba 0719559063,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom