Dr. Slaa alitushauri wa-TZ tukampuuza, sasa kulalama kwanini?

Status
Not open for further replies.

Papa D

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
753
182
Wakti wa kampeni za urais Dr. Slaa alitushauri waz-tz tusimchague JK. na kama hatumtaki yeye basi angalau tuchague hata Li-PUMBA! na endapo tutamchagua JK basi tutambue tumeingia katika matatizo.
hivi sasa petrol shida, umeme shida, shilingi inaekea kaburini, sukari usiseme,
Je kwa nini tusimwite Dr. Slaa kuwa ni mtume/nabii?
 
watanzania ni sikio la kufa sasa tukome ..ndo maana tunaambiwa na hata israel kuwa ni nchi isiyo na umuhimu
 
Nani au wapi naweza kupata nukuu hizi zilizogeuka unabii zikiwa katika mfumo wa sauti za milio (Ring tone)?
 
Mkuu nina dvd yake ya mdahalo mzima nikirudi jioni nitaiangalia tena nimskia dr wa ukweli akimwaga nondo. Kwenye hiyo Cd alimlipua sana Jk na alibainisha wazi kuwa aliyoyasema yote ya kweli kuwa Jk alikuwemo kwenye ile list of shame.
 
Wakti wa kampeni za urais Dr. Slaa alitushauri waz-tz tusimchague JK. na kama hatumtaki yeye basi angalau tuchague hata Li-PUMBA! na endapo tutamchagua JK basi tutambue tumeingia katika matatizo.
hivi sasa petrol shida, umeme shida, shilingi inaekea kaburini, sukari usiseme,
Je kwa nini tusimwite Dr. Slaa kuwa ni mtume/nabii?

Endeleeni kuwa wapole na wavumilivu huku mkinywa maji ya magamba. Amani na upole iwe kwenu
 
Mnalamika nini mshakula vya watu?hamkupokea sukarii wa ,kanga,kofia ,pilau wakati wa uchaguz?mnataka nn
 
"Walimchagua kweli" wananchi walimchagua JK kweli au yalikuwa magumashi eti..................
 
mi naona lawama zote ziende kwa yule mzee wa tume yetu...bado namuombea asipumzike kwa amani hadi kwanza ajibu tuhuma mbele yetu.
 
Mimi nakumbuka Dr slaa alipokuwa anafunga anamalizia kampeni kwa mdahalo pale Movenpick 2010 alisema "kuendelea kuichagua ccm ni maafa" naya kumbuka sana maneno yake kila nikisikia watu wakilalamikia ugumu wa maisha na mfumuko wa bei.

Umenikumbusha mbali sana MsakaGamba, Mdahalo wa Kikwete alikuwa ameandaliwa maswali ya kuulizwa. Unakumbuka kile kipindi cha Dr Slaa ilikuwa kirudiwe tena, ghafla tu kikachinjiwa baharini. Watanzania tumekuwa wavivu katika mambo mengi sana we are kind of carefree people, hasa hili la hatima ya nchi yetu nalo tunalitazama kisiasa siasa tu lakini ndo tunakwenda shimoni hivyo ndugu zangu.
 
tuache lawama zisizo na msingi na sifa za kijinga.slaa hawezi kuwa nabii,ana usafi gani wakati amepora/anatembea na mke wa mtu pili hali ya uchumi kuwa mgum inasababishwa zaid na external force,uchumi wa mataifa makubwa km US na UK umeyumba na una direct impact kwetu.kwa hiyo acheni kuhadaa watu.
 
Wakti wa kampeni za urais Dr. Slaa alitushauri waz-tz tusimchague JK. na kama hatumtaki yeye basi angalau tuchague hata Li-PUMBA! na endapo tutamchagua JK basi tutambue tumeingia katika matatizo.
hivi sasa petrol shida, umeme shida, shilingi inaekea kaburini, sukari usiseme,
Je kwa nini tusimwite Dr. Slaa kuwa ni mtume/nabii?

wewe unaishi Tanzania kweli? Mbona unaongea mambo ambayo hayapo? Unataka kutuambia na Igunga pia wananchi waliichagua ccm? Kwa nini basi watu wanataka tume huru kama maamuzi yalikuwa na wananchi kumchagua rais wao? THINK!
 
Cha moto tunakiona jamani, Hivi hakuna njia mbadala ya kumtoa madarakani huyu mtu? Hivi rasilimali kibao zinaliwa na watu wachache tu, huku wananchi tumeachwa na mashimo. Kweli inatia uchungu.
 
Mkuu nina dvd yake ya mdahalo mzima nikirudi jioni nitaiangalia tena nimskia dr wa ukweli akimwaga nondo. Kwenye hiyo Cd alimlipua sana Jk na alibainisha wazi kuwa aliyoyasema yote ya kweli kuwa Jk alikuwemo kwenye ile list of shame.

Ule mdahalo ndio ulinifanya nimvulie kofia dr, ulinifanya nifaham kati ya pumba na mchele, ulinifanya nimdharau sana JK. big up dr unastahili.
Baada ya ule mdahalo nilijiuliza maswali kadhaa na kujijibu mwenyewe, laiti mchakato wa kumpata rais wa nchi yetu ungekuwa wazi kama wa USA, mdahalo wa Obama na Mcain!! wananchi wanapimpima mgombea kwa uwezo wake na si nguvu ya chama, basi C.C.M wasingekubali Kikwete achukue fomu dhidi ya Dr Slaa. kwa sababu ni sawa na kulinganisha Mercedes Benz na Corolla Limited?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom