Dr. Slaa alipohojiwa jana

Nonda

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
13,358
4,304
msikilize Dr. Slaa katika matangazo haya Jioni 01/05/2011. Ingia hapa
Swahili Main media player | Sauti | Swahili

Utakapo click hiyo tarehe unasikia anazungumzia kuhusu makubaliano ya CHADEMA na Polisi ya Kufanyika maandamano na mkutano. Pia Ona jinsi Tendwa anavyoyumba katika kusimamia sheria ya vyama vingi.
Na kwa nini mpaka sasa hajatoa taarifa au maelezo yoyote?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom