Dr. Slaa alipa Bunge na Serikali siku tatu (3)

MwanzoMugumu

Member
Jan 27, 2012
24
22
Katibu Mkuu wa Chadema Dr. W.P. Slaa amelipa Bungwe na serikali kwa ujumla kupitia kwa katibu wake Dr. Thomas kushughulikia Kashilila matibau ya Mhe. Hyness Kiwia mbunge wa Ilemela kufuatia kujrehuiwa na watu wanaosadikika kuwa ni wafuasi wa CCM march 31, 2012 eneo la Kirumba jijini Mwanza wakati wa kumpata diwani wa kata hiyo.

Ameyasema hayo leo 22.April, 2012 wakati akihutubia maelefu ya wakazi wa jiji la Mwanza katika viwanja vya Sahara. Amesema kama serikali na bunge hawatafanya hivyo atawaomba watanzania kumchagia ilim apate matibabu. Ameongeza kusema hiyo itakuwa imedhihirisha kwamba serikali ilihusika moja kwa moja katika tukio hilo.

Huku akishangiliwa na maelefu ya wana-Mwanza alisema taarifa za nani alihusika vipi zote wanazo wnaitaka serikali na bunge kutimiza wajibu wake kwakuwa kuna viongozi wamekuwa wakipelekwa matibabu nje ya nchi hata kwa kuumwa mafua tu.
 
Kufuatia kutotiwa mbaroni kwa watruhumiwa halisi wa tukio la kushambuliwa wabunge wawili wa Chadema DR. Slaa amelipa Jeshi la polisi siku saba kuwakamata watu hao na kuwafikisha mahamani mara moja. Amesema watu hao wanafahamika kwa sura, kwa majina, magari waliyotumia, na namba zake, polisi waliokuwepo na gari lilikuwepo siku ya tukio. Akiwahutubia wakazi wa Mwanza katika viwanja vya Sahara jijini Mwanza, Dr. Slaa amesema " uvumulivu una mwisho namwambia IGP Mwema kama ana ajenda ya siri atambue nchi hii ni yetu sote" Ameongeza kusema baada ya siku saba kuisha kama Jeshi la polisi halikuchukua hatua basi yeye mwenyewe atakuja jijini mwanza kuongoza mapambano na kazi ya kwanza itakuwa ni kuvamia kituo cha polisi na kuanza operesheni ya kuwasaka wahalifu hao. Amelitaka jeshi la polisi kuleta askari wake wote wa nchi nzima siku hiyo. " Ukombozi wa Taifa hili utaanzia Mwanza" Wakumbuke kilichotokea Misiri na Tunisia ni matokeo ya dhuluma na ukandamizaji" alisema Dr. Slaa huku akishangiliwa na maelufu ya wanamwanza
 
Shida yake anataka watibiwe nje ya nchi au anataka nini?haya matibabu bunge cndo linalipa?huyo domokaya hatuwez kutawaliwa na fisad asiyeogopa hata hela ya kanisa
 
Shida yake anataka watibiwe nje ya nchi au anataka nini?haya matibabu bunge cndo linalipa?huyo domokaya hatuwez kutawaliwa na fisad asiyeogopa hata hela ya kanisa

Takataka nyingine hii hapa!! Haya ndio matatizo ya kujaza dudumuzi kichwani!!! Aaaagrrrrrh!!
 
Magamba yanafanana yote, liwe la nyoka, mamba, kenge, mjusi hata la kikwete ni sawa sawa yote! Mnajisikia raha gani mbunge wetu, kupigwa mapanga na mashoka na green guards harafu asitibiwe? Mbona mna roho mbaya hivyo magamba? Afadhali ya roho ya fisi kuliko nyie, wana wa izaya nyie!
 
Shida yake anataka watibiwe nje ya nchi au anataka nini?haya matibabu bunge cndo linalipa?huyo domokaya hatuwez kutawaliwa na fisad asiyeogopa hata hela ya kanisa

si ajabu wewe ndiye ulinyonga bodaboda wa tengeru, akilimatope.
 
Shida yake anataka watibiwe nje ya nchi au anataka nini?haya matibabu bunge cndo linalipa?huyo domokaya hatuwez kutawaliwa na fisad asiyeogopa hata hela ya kanisa

we noma hilo kanisa we ndo msemaji wake? Huo ni unafiki, kama unajua hizo taarifa peleka polis utakuwa umelisaidia taifa sio huo uchuro na unafiki tu.usiwe kama domokaya!
 
Skaa alipe bunge siku tatu, yeye kama nani? hayupo serikalini wala bungeni. Mleta mada ni fataani usiyeelewa kuwa wabunge wanatibiwa bure kama watumishi wengine wote wa serikalini na kama ni matibabu ya nje, si bunge bali ni madaktari ndio wanaamuwa.

Sidhani kama Sla atakuwa msahaulifu kiasi hicho, wacheni fitina za kijinga.
 
Shida yake anataka watibiwe nje ya nchi au anataka nini?haya matibabu bunge cndo linalipa?huyo domokaya hatuwez kutawaliwa na fisad asiyeogopa hata hela ya kanisa

Nadhani ni vizuri urudi kilabuni ulikotokea ili uendelee na mazungumzo uliyokuwa ukifanya huko.
 
Skaa alipe bunge siku tatu, yeye kama nani? hayupo serikalini wala bungeni. Mleta mada ni fataani usiyeelewa kuwa wabunge wanatibiwa bure kama watumishi wengine wote wa serikalini na kama ni matibabu ya nje, si bunge bali ni madaktari ndio wanaamuwa.

Sidhani kama Sla atakuwa msahaulifu kiasi hicho, wacheni fitina za kijinga.
Mama muuza!!!!!! Muongezee chupa nyingine ya gongo tafadhali !!!!!!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom