Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,237
Ni ukweli usiopingika kuwa kikwete hakujali matatizo ya watz kwa kipindi chote cha miaka yake mitano aliyokaa ikulu,zaidi alifanikiwa kuzurura huko kwa wakubwa......
Dr.slaa ambaye ndiye kinara wa uchangiaji hoja za msingi bungeni ndiye aliyeichachafya serikali ya kikwete mpaka kufikia kusubiri slaa anasema nini ili serikali ifanye maamuzi....kwa maana hiyo watz wanaona slaa aliongoza nchi kwa niaba ya kikwete kwani kikwete akikosa ubunifu na umakini na alijaa woga ktk kuamua mambo mazitoni mpaka pale slaa alipofumua mambo mazito ndipoi kikwete alipojifanya kuchukua hatua......
Kwa hili tunaamini Dr.Slaa ndiye alikuwa kiongozi makini zaidi kipindi cha kikwete kuliko viongozi wengine wote akiwemo kikwete mwenyewe na hivyo slaa ndiye anayefaa kupewa uongozi wa nchi..