Dr. Slaa alikuwa CCM kabla ya kujiunga na CDM, kilitokea nini pale karatu?

Wakuu wote mmejitahidi kusema vizuri,isipokuwa tu 1995 katika majina yaliyoletwa na ccm kugombea ubunge wa jimbo la karatu yalikuwa Dr. Slaa na Patrick Qorro kura ya maoni ndani ya ccm dr Slaa alimshinda PQ lakini matokeo ya cc ya ccm jina la PQ likarudi kama mgombea wa ubunge kwa tiketi ya ccm.

Wazee wa Karatu kwa kuwa walishachoshwa na mbunge PQ. walienda kumwomba Dr Slaa agombee kwa ticket ya nccr mageuzi na haikuwa kazi rahisi kumtoa Dr. Slaa kwenye ccm,ilitumika tu HEKIMA.

Wale wazee walipoendelea kumwomba akawakubali lkn aliyekuwa anagombea kwa ticket ya nccr mageuzi akakataa kuondoa jina lake mpaka pale wananchi wa krt walipomwomba aliyekuwa mgombea kwa ticket ya CDM akakubali kumpisha Dr Slaa agombee. Naamini matokeo unajua ila ulitaka kufahamu ilikuwaje.

Hiyo ndiyo safari ya mageuzi ilivyoanza pale karatu. Wananchi ambao huwa hawachaguliwi nani wa kuwaongoza.
Nashukuru kwa historia safi kabisa nataka kujua huyo mgombea aliye mpisha Dr yupo? anajisikiaje anapoona hakufanya makosa?
 
Katika historia ya demokrasia ya uchaguzi Tanzania si sahihi kusema Slaa alikuwa CCM.

Kabla ya uchaguzi mkuu wa 1995 hakukuwa na choice, wagombea wote walikuwa CCM!

Na kabla ya 1992 binadamu wote tulikuwa CCM!

Mimi nililazimika kuwa chipukizi wa CCM!

Tukiwa sekondari Mwalimu mmoja influential alikuja darasani kuandisha kadi za u-chipukizi wa CCM!

Tukiwa shule ya msingi baada ya masomo tulikuwa tunapelekwa kwenye tawi moja la CCM kuimba ""Naapa naahidi mbele ya Chama, Mapinduzi nitakulinda mpaka kufa; CCM ntakulinda mpaka kufa"! Tulilishwa kiapo cha lazima cha Chama Cha Mapinduzi.

Mpaka watoto wadogo!

Slaa hakuwahi kuwa CCM by choice, hakukuwa na alternative!
 
Asante kwa hiyo taarifa mkuu. Lakini we unafikiri kama isingekuwa hiyo mizengwe iliyofanywa na magamba wakati huo, Dr Sla'a angeingia kweli CDM?. Tungekuwa tunasimulia haya ya sasa!. Tumshukuru Mungu kumnusuru kuendelea kubaki huko dampo (CCM).
 
Katika historia ya demokrasia ya uchaguzi Tanzania si sahihi kusema Slaa alikuwa CCM.

Kabla ya uchaguzi mkuu wa 1995 hakukuwa na choice, wagombea wote walikuwa CCM!

Na kabla ya 1992 binadamu wote tulikuwa CCM!

Mimi nililazimika kuwa chipukizi wa CCM!

Tukiwa sekondari Mwalimu mmoja influential alikuja darasani kuandisha kadi za u-chipukizi wa CCM!

Tukiwa shule ya msingi baada ya masomo tulikuwa tunapelekwa kwenye tawi moja la CCM kuimba ""Naapa naahidi mbele ya Chama, Mapinduzi nitakulinda mpaka kufa; CCM ntakulinda mpaka kufa"! Tulilishwa kiapo cha lazima cha Chama Cha Mapinduzi.

Mpaka watoto wadogo!

Slaa hakuwahi kuwa CCM by choice, hakukuwa na alternative!

Mkuu ahsante kwa kumbukumbu hizi daaah, kweli tumetoka mbali sana enzi za kula viapo hata kama ubongo wako haujapevuka kiapo unachokula ni nini........ndio maana wengine sumu ile ya kiapo haiwezi kuwatoka maana ni toka wanakuwa vichalii vya shule ya msingi vinakula viapo vya magamba na fikra za mwenyekiti
 
Wala usishangae, Huyo Slaa mwenyewe akibahatika akaingia ikulu atafanya mambo ya ajabu sasa sijui utazimia au la! kama aliweza kujiengua CCM eti kisa hakupitishwa kura za maoni mimi binafsi I dont think if he is a good person. Nadhani goals ni zile zile walizo nazo wote waliojiengua chama hiki na kuingia kile km vile Mpendazoe, Shitambala, Shibuda, Prof Safari, Wilfred Lwakatare na wengine wengi. If I was me wote hao lengo lao ni keki siyo maslahi ya Watanzania

umeona eeh?...
 
Back
Top Bottom