Dr. Slaa akosa dhamana, kupelekwa Kisongo?

Status
Not open for further replies.
Hahah...kaona Lema anampoteza kwenye siasa!
Kaona naye aige...
Kweli magwanda wamekosa mbinu mpya

Hivi wewe nani alikupa title ya kuwa JF Premium member? Maana sijawai ona hoja zako zenye akili hapa JF..kazi ni kumwaga ujinga tu...Huoni kama unajishushia heshima yako? Kumbuka watoto wako na huyo mke wako watakuja kusoma hizi post zako siku moja....na kuhakikishia siku mke wako akifahamu ujinga unaoufanya hapa JF hataweza kuvumilia kamwe.....
 
Hivi hizi mahakama zinafanya kazi mpaka huu mda? mbona kawaida ni saa9:30 au kipindi hiki wanalipwa Overtime kwasababu kuna kazi maalumu ya CCM?

mkulu kaagiza kazi isilale imalize leoleo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom