Dr. Slaa akimfariji mtoto wa Marehemu mwandishi Daud Mwangosi

Kwa kweli inasikitisha na hasa ukikumbuka kwamba Baba ameuawa makusudi na siyo kwa ajali wala ugonjwa.
 
Kwa kweli damu ya Mwangosi haitwamucha Kamuhanda milele!atalipa hapa duaniani!
 
Kwa kweli inasikitisha na hasa ukikumbuka kwamba Baba ameuawa makusudi na siyo kwa ajali wala ugonjwa.

Chadema muakikishe mtoto wamarehemu anasoma kuwa na maisha mazuri sio kujipatia umaarufu kwa misiba kusababisa
 
chadema wajicomitt kusaidia watoto wa marehemu hio ndio njia pekee ya kuwafariji hao watoto
 
Master spinner! Hivi aliyeua ni policcm ama ni chadema?

Sasa kwa mbaali naanza kuelewa mentality ya suicide bombing.
Chadema muakikishe mtoto wamarehemu anasoma kuwa na maisha mazuri sio kujipatia umaarufu kwa misiba kusababisa
 
Chadema muakikishe mtoto wamarehemu anasoma kuwa na maisha mazuri sio kujipatia umaarufu kwa misiba kusababisa

acha uzinzi wa mdomo,waambie hao ccm wanaong'ang'ania ikulu kwa damu za watanzia zamu yao inakuja tutakapo ng'ang'ania damu zao kwa gharama ya tanzania.
 
Tazama vizuri sura ya huyo mtoto,utagundua hasira iliyoko moyoni mwake kuzidi huzuni na nina imani kabisa mpiganaji mpya amezaliwa hapo...
 
Eeh mungu baba wape uvumilivu familia ya mwangosi kipindi hiki kigumu..
 
sasa mkubwa si polisi ndio wamemuua jamaa, CDM wameingiaje tena hapa..............nahc unachanganya mambo....
Chadema muakikishe mtoto wamarehemu anasoma kuwa na maisha mazuri sio kujipatia umaarufu kwa misiba kusababisa
 
Back
Top Bottom