Dr. Slaa aitolea nje serikali ya Tanzania

Hao police wawataje kwanza waliowaumiza wabunge wa Mwanza na Ukerewe. Hivi magamba hawaoni haya kweli?
 
Jeshi la polisi halipaswi kuaminiwa na yeyote yule. Polisi ni adui wa haki. Mifano ipo mingi tu.
 
Kila siku mnasema serikali dhaifu halafu hapo hapo mnaigopa hiyo serikali dhaifu.

Ritz,
Dr. Slaa ni dhaifu wa kiroho, kanisa katoliki limemsomesha na kumpa imani zote za kiroho; lakini kutoka na udhaifu wake wa kiroho alilikimbia kanisa na kujiingiza kwenye mambo ya dunia; sasa leo mtu kama huyu akipanda majukwaani kuishutumu serikali dhaifu utamuelewa? Roho yake imetaliwa na uongo wa kila aina ili mradi tu azma yake itimie; kila siku ni kutunga porojo ambao hazina kichwa wala miguu; ukiishiwa sera huishi kusema uwongo.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Hapa ndo huwa mnafurahisha! Ushahidi ukiletwa kwenye makabrasha!

Kwani ile issue ya vinasa sauti Dodoma iliishia wapi?

Hapo ndo hata mie nashangaa, hivi ilikuwa mwaka gani vile? Bado wanafanya uchunguzi tu? Duuuuu polisi wetu si mchezo.
 
Anasema anamtaka nani amhoji....! Au Ocampo..?

masikini wa Mungu hujui kuwa Ocampo keshaachia nafasi hiyo kwa mama wa kigambia anayeitwa Fatou Bensouda..nasikia yule mwanasheria wenu mlitaka achkue nafasi akastukiwa maana angetia aibu kama yume mama aliyefukuzwa ki-utu uzima pale UN
 
dubu;4212644] Katibu mkuu wa Chadema na aliyekuwa Mgomba wa urais mwaka 2010 kupitia chama cha CHADEMA ambacho ni chama kikuu cha upinzani na kinacho ongoza kwa umaarufu na kupendwa na watu wote hasa vijana Nchini tanzania na Nchi za jirani Dr.W.Slaa, amesema hatokubali kuhojiwa na polisi juu ya habari za kutishiwa kuuwawa kwa viongozi wa ngazi za juu wa chama hicho kwa kile alicho dai kwamba hana imani na jeshi hilo la polisi.
Ni hayo tu

KWELI KABISA DUBU KAMA ULIVYONENA DR. SLAA HAKUWA MGOMBEA URAIS BALI ULIKUWA "MGOMBA" WA URAIS, TENA MGOMBA WENYEWE HAUNA MATUNDA, HIVI MIAKA ZAIDI YA 70 NDO ANAOA SASA HIVI HICHO NI KITOTO AMA KIJUKUU, NA KAMA ANAO WATOTO WENGINE ALIZAA NA WAUMINI WAZINZI HUKO PERAMIHO CATHEDRAL WALIPOENDA KUUNGAMA? PAMBAF KABISA
 
Hawa jamaa wanaweza kukuita wakuhoji waka kukolimba..............hukumbuki Mrema alienda na mic yake.
 
Ni ujinga wa hali ya juu tena ni mzaha ambayo haijapata kuonekana popote duniani TUHUMA NZITO KAMA HAYA tena inayohusu watu wazito ajabu ndani ya taifa kwa madai ya kuwindwa na Usalama wa Taifa CCM (kwa maagizo ya amiri jeshi mkuu wao aliyechakachua uchaguzi kulazimisha kuingia ofisini ili kwenda kuhudumia mkataba binafsi na haramu kati yake na Iran), baada ya kutolewa kauli na afisa mdogo sana serikalini (Balozi Sefue), eti sasa waheshimiwa wetu waende kuhojiwa tena na Chinja Chinja li-Ahmed Msangi hata kabla hawajajibu tuhuma nyingine juu ya Dr Ulimboka??????

Katibu mkuu wa Chadema na aliyekuwa Mgomba wa urais mwaka 2010 kupitia chama cha CHADEMA ambacho ni chama kikuu cha upinzani na kinacho ongoza kwa umaarufu na kupendwa na watu wote hasa vijana Nchini tanzania na Nchi za jirani Dr.W.Slaa, amesema hatokubali kuhojiwa na polisi juu ya habari za kutishiwa kuuwawa kwa viongozi wa ngazi za juu wa chama hicho kwa kile alicho dai kwamba hana imani na jeshi hilo la polisi.
Ni hayo tu.
 
Jamani hii kauli ya Dr. Slaa kama ni yeye kasema kweli ni ya kisiasa tu. Polisi wanahaki ya kisheria ya kumhoji mtu yeyote wanayemhisi au kumdhani anataarifa ambazo zitaisaidia serikali katika kuendesha mambo yake na hasa taarifa zinahusu masuala ya usalama wa nchi. Hivyo Dr. anaweza kusema hatatoa ushirikiano wakati wa kumhoji. Hivihivi wanaweza hata wakatumia mbinu ambazo wanazijua wao tu kuhakikisha kuwa anatoa ushirikiano. Haki za binadamu na kuendesha serikali havikubaliani 100%. Tuache ushabiki hapa JF. tujitahidi kuwa wahalisia japo kidogo
 
Ritz,
Dr. Slaa ni dhaifu wa kiroho, kanisa katoliki limemsomesha na kumpa imani zote za kiroho; lakini kutoka na udhaifu wake wa kiroho alilikimbia kanisa na kujiingiza kwenye mambo ya dunia; sasa leo mtu kama huyu akipanda majukwaani kuishutumu serikali dhaifu utamuelewa? Roho yake imetaliwa na uongo wa kila aina ili mradi tu azma yake itimie; kila siku ni kutunga porojo ambao hazina kichwa wala miguu; ukiishiwa sera huishi kusema uwongo.

Chama
Gongo la mboto DSM

hata kipindi kile anafichua juu ya epa mlisema hivyo hivyo kuwa naropoka....jeshi la polisi limeshapoteza credibility
 
Huyu mzee tangu arudi kutoka kwa wakuu wake wa ujerumani amekua anatafuta machafuko. Yeye wakati anaishutumu serikali alifikiri nini. Lazima akatoe maelezo,atake asitake.
 
Jamani hii kauli ya Dr. Slaa kama ni yeye kasema kweli ni ya kisiasa tu. Polisi wanahaki ya kisheria ya kumhoji mtu yeyote wanayemhisi au kumdhani anataarifa ambazo zitaisaidia serikali katika kuendesha mambo yake na hasa taarifa zinahusu masuala ya usalama wa nchi. Hivyo Dr. anaweza kusema hatatoa ushirikiano wakati wa kumhoji. Hivihivi wanaweza hata wakatumia mbinu ambazo wanazijua wao tu kuhakikisha kuwa anatoa ushirikiano. Haki za binadamu na kuendesha serikali havikubaliani 100%. Tuache ushabiki hapa JF. tujitahidi kuwa wahalisia japo kidogo

hapo polisi wamkamate kwanza muuaji na mtesaji mkubwa Msangi ......
 
Singo imegoma kuuzika, kwa hiyo anataka kuhojiwa na nani KGB au FBI.

KGB....Unamaanisha nini mzalendo mwenzangu, maana kwasasa sidhani kama KGB bado ipo, napia KGB haiusishiwi na vitu kama hivi japo FBI upo sawa mkuu...
 
hata kipindi kile anafichua juu ya epa mlisema hivyo hivyo kuwa naropoka....jeshi la polisi limeshapoteza credibility

Yeye ndio hana credibility ni porojo za kuunga unga kila siku; mshaurini afanye maandamano labda ndicho kilichobakia

Chama
Gongo la mboto DSM
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom