Elections 2010 Dr Slaa aitikisa Karatu

Sijakata tamaa ndugu, huo ndio kweli halisi? hivi unategemea Dr.Slaa anaweza kuingia Ikulu?

Oh, mkuu, why not? play your part, it can be done! Nenda kamueleze jamaa yako na ndugu na marafiki, kwamba this time we need hii silaha magogoni. Kura yako, yangu, ya ndugu yangu na jamaa yako ndizo zenye maamuzi, si mtazamo mkuu, Hata kama wataiba kura , kama tofauti ni kubwa watakwama tu!
 
Sijakata tamaa ndugu, huo ndio kweli halisi? hivi unategemea Dr.Slaa anaweza kuingia Ikulu?


kwani ikulu wameandikiwa wateule wachache? hata wewe unaweza kuingia ni haki yako kama unastahili

sasahebu tuambie kwa nini Dr Slaa asitegemewe kuingia ikulu pia? Kuna ambao hawaamini hadi leo kuwa OBAMA ni rais wa Marekani
 
Sijakata tamaa ndugu, huo ndio kweli halisi? hivi unategemea Dr.Slaa anaweza kuingia Ikulu?

Mkuu, wewe unachokiona ni Ikulu tu... naona huoni harakati nzima ya yeye kama mtu aliyeonesha msimamo mkubwa sana wa kizalendo katika historia ya Taifa hili hivi karibuni kuwa, sacrifice yake ya kutogombea ubunge itaweza kuleta mabadiliko chanya kwenye system yetu iliyo kubuhu kwa fitina, uzembe na kero nyingine kibao - kisiasa, kijamii, na hata kiuchumi...!!

Bila kuwepo kwa watu wanaojitoa kafara, Taifa letu litazidi kudidimia!! For the sake of positively changing the political landscape of this great nation, tumpe ushirikiano na support yetu Dr. Slaa, hata kama siye ni wanachama wa CCM!!
 
Mabadiliko tuliyokuwa tukiyasubiri sasa yamefika, na mwenye uwezo wa kuleta mabadiliko hayo si mwingine ila ni MIMI na WEWE. na ili tufanikishe hilo tarehe 31-october 2010 tujihimu twende tukapige kura kwa Dr Wilbroad Peter Slaa na wagombea ubunge na udiwani wa CHADEMA! The time for change is now!
 
:doh:The beatiful ones are not yet born.
nilisoma sekondari kitabu hiki, ila kinasadifu mpaka sasa duh, wajinga ndio tuliwao, haya zamu yake ikifika kula nchi apewe!
 
The time has come,the Golden opportunity we have been waiting has come, SAA YA UKOMBOZI NI SASA.
Dr. Slaa tupo pamoja,kura yangu na wife unazo, am selling you out there for more votes.
GOD bless you
 
habari zilizopatikana toka huko ni kuwa jamaa amefunika ile mbaya.Mamia ya watanzania wajitokeza kumpokea.Ilikuwa ni furaha na vifijo.
 
Nimefuatilia Taarifa ya Habari ya Channel ten hawajaripoti kuhusu Mh. Rais Dr. Wilbroad Peter Slaa
 
Only Star TV wamerusha maandalizi ya Mapokezi ya Slaa lakini ni Habari ya Jana hii
 
Nimefuatilia Taarifa ya Habari ya Channel ten hawajaripoti kuhusu Mh. Rais Dr. Wilbroad Peter Slaa
Yaani hata TBC nayo wametangza mwisho kabisa eti wanasema habari zilivyowafikia punde utadhani walikua hawajui nn kipo karatu! Agrrr....
 
Yaani hata TBC nayo wametangza mwisho kabisa eti wanasema habari zilivyowafikia punde utadhani walikua hawajui nn kipo karatu! Agrrr....
Wanafanya makusudi. Ingekuwa CCM mngeanza kutangaziwa vipindi vya matayarisho mapema sana.
 
Back
Top Bottom