Dr. Slaa aingilia kati Uchaguzi wa BAVICHA; Magazeti yalalamika

mwananchi ya leo;dk alisema najua ntalaumiwa kwakufanya maamuzi magum yakuwaengua baadhi ya wagombea kwakuvunja maadila lakini kumbukeni sisi tunakemia ufisad lazima tujitahd sana kwani tumetia haibu, mm pamija na maovu ya ccm yote, katika mkutano mkuu wa vijana wao uvccm dodoma 2008 hakuna aliekuwa na silaha kama visu ambavyo leo asubuhi walinzi wetu wamevikamata hapa.lazima tuwemakini.
 
bot_tabimg.gif

eeslaa.jpg
Dk Slaa

Geofrey Nyang’oro
BARAZA la Vijana la Chadema (Bavicha), limepata viongozi wapya katika uchaguzi uliotawaliwa na mizengwe na vurugu zilizotishia usalama wa wapigakura.Habari zilizolifikia gazeti hili jana zilieleza kuwa, vurugu hizo zilichochewa na kitendo cha Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Willibrod Slaa kuonyesha visu alivyodai kuwa vilikamatwa na walinzi wa chama hicho jana asubuhi. Mbali na kuonyesha visu kadhaa, Dk Slaa alitangaza kuenguliwa kwa wagombea watatu wa nafasi ya uenyekiti; Bernard Saanane, Greyson Nyakarungu na Mtela Mwampamba kwa madai ya ukiukaji wa maadili.

Dk Slaa aliwaeleza wapigakura kuwa kamati ya ulinzi ya chama hicho pia ilibaini kuwapo kwa mabaunsa waliodaiwa kupandikizwa katika mkutano huo kwa lengo la kuuvuruga.Alisema watu hao waliletwa na baadhi ya wagombea wa nafasi za uongozi ambao kimsingi chama hicho kilikuwa kimebaini kuwa ni mamluki waliopandikizwa kwa lengo la kuvuruga uchaguzi huo. Kuhusu wagombea walioenguliwa, Dk Slaa alidai kuwa kuondolewa kwao kumetokana na kukiuka maadili.

Baadhi yao ndani ya mkutano huo walionyesha huzuni kutokana na uamuzi huo uliodaiwa kuwa ni mgumu kuwahi kufanyika katika vyama vya siasa.“Ingawa chama kinasema kimechukua hatua hiyo kwa malengo mahususi, mimi bado ninapata shaka kama kweli hakuna mgombea ambaye hajafanya kampeni kabla ya wakati,” alisema mjumbe mmoja kwa sharti la kutotajwa gazetini.

Hata hivyo, matokea ya uchaguzi huo yaliyotangazwa saa 12 asubuhi jana na Dk Slaa baada ya kukamilika kwa shughuli ya kuhesabu kura iliyofanyika usiku kucha. Akitangaza uamuzi huo uliochafua hali ya hewa ndani ya ukumbi wa mkutano saa tano usiku juzi, Dk Slaa alisema uamuzi huo ulifikiwa na kamati ya uchaguzi iliyoundwa na watu sita ikiongozwa na yeye.Akifafanua sababu za kuenguliwa kwa wagombea hao, Dk Slaa alisema inatokana na wao kujihusisha na vitendo vya ukiukaji wa maadili ya chama hicho kwa kupiga kampeni kabla ya muda uliopangwa.

“Nafasi mnayowania ni kubwa na ina umuhimu wake kwa taifa. Kwa kuwa sisi sera yetu kubwa ni kupinga vitendo vya ufisadi na kusimamia maadili hatuwezi hata siku moja kuruhusu vitendo vya ukiukwaji wa maadili kufanyika ndani ya chama chetu,”alisema Dk Slaa na kuongeza:
“Tulikubaliana kuwa kampeni zitapigwa ndani ya ukumbi wa mkutano, lakini wapo wagombea wamekiuka agizo hilo na kupiga kampeni kabla ya muda. Tunao ushahidi kuwa wapo waliofanya hivyo katika maeneo ya Kinondoni, Manzese na hata jana (juzi) makao makuu,”alisema Dk Slaa.

Chadema imara
Alisema Chadema siyo chama cha makundi bali ni cha watu wote chenye dhamira ya kulikomboa taifa na kusisitiza kuwa kitaendelea kuchukua hatua kila kinapobaini kuna sababu za kufanya hivyo.
Kwa mujibu wa Dk, Saanane alitajwa na wajumbe wanane wa mkutano huo kuhusika na vikao vya siri, mara nane katika kukigawa chama kimakundi na mara tatu alitajwa kutaka kujitoa baada ya kuingia ukumbini. Mgombea mwingine aliyekuwa na tuhuma kama hizo ni Nyakarungu ambaye naye alitajwa na wajumbe wanane akidaiwa kufanya vikao vya siri mara nane, kukigawa chama katika makundi na mara tatu kuhusika na vitendo vya rushwa.
Kuhusu Mwampamba alisema yeye alikataa tuhuma zote zilizokuwa zimeelekezwa kwake, lakini baadaye alikiri jambo lililofanya kamati hiyo kuona kuwa ni mwongo na hafai kuwa kiongozi. Katibu huyo mkuu alisema Chadema inachukua hatua hizo kwa vitendo ili kuhakikisha inatekeleza kwa vitendo suala la maadili ya viongozi na kupinga kwa nguvu zote vita dhidi ya ufisadi.

“Sisi (Chadema) tunajinadi kupambana na vitendo vya ufisadi, sera yetu tunayosimamia ni maadili, katika kutekeleza hilo kwa vitendo ni lazima tuanzie ndani na ndipo tutoke nje,”alisema Dk Slaa.
Baada ya maelezo hayo, Dk Slaa alimtangaza John Heche kuwa mshindi wa nafasi ya mwenyekiti wa Bavicha baada ya kuwabwaga wapinzani wake watano.

Alisema Heche aliibuka mshindi kwa kura 143 sawa na asilimia 53.6 kati ya kura zote 239 zilizopigwa. Heche alishinda nafasi hiyo ya uenyekiti ambayo ataishika kwa miaka miwili.Awali, ilikuwa ikiongozwa na kamati ya muda chini ya mbunge wa Ubungo, John Mnyika kufuatia kuvunjika kwa mkutano mkuu wa uchaguzi mwaka 2009.

Wagombea wengine wa nafasi ya mwenyekiti waliopambana na Heche ni Aidan Sadick, Bernard Mao, Deogratius Kisandu, Edwin Soko na Masoud Suleman.

Dk Slaa pia aliwatangaza Juliana Shonza kuwa mshindi wa nafasi ya makamu mwenyekiti (Bara) na Sharifa Suleiman Hamisi kwa nafasi hiyo Zanzibar.Walioshinda ujumbe wa baraza kuu ni Edward Kinabo, Frank Fumpa, Zainab Mussa Bakari na Alex Mushi. Uchaguzi huo wa Bavicha umefanyika baada ya kushindikana Septemba mwaka 2010, kufuatia vurugu ambapo uongozi wa Chadema ulilazimika kuusimamisha.
 
mbona umeacha paragrafu yenye topik yangu acha ushabk kwenye mambo ya msingi hv dk kukubali kuwa kukamata visu kwenye mkutano wa bavicha ni aibu na wamezidiwa na uvccm ambao visu havikwepo mkutanoni wewe nini hauamn hapo?
 
sina muda wa kubishana na mpumbavu, umekaa na kisimu chako cha mchina unaleta uzushi hapa JF unadhani hapa ni facebook?
 
Ndugu yangu mimi ni mjumbe na nilikuwemo, kuhusu visu ni kweli alivionyesha kuwa vilitolewa katika gari aina ya Noah ambayo dereva wake ni dereva wa mbunge mmoja msumbufu. hayo aliyasema saa 12 asubuhi wakati Mabere Marando akikaribia kutangaza matokeo. Kuhusu heading ya mwananchi hata mimi imenishangaza kwani haiendani na habari. Regia Mtema (Mbunge na mjumbe) aliniambia kuwa Mwananchi watapotosha habari kesho (leo). Kumbe wanafahamika kwa upotoshaji
Binafsi sikujua kwa nini muandishi wa habari wa mwananchi aliamua kutumia heading hiyo ya Dr Slaa kuchafua hali ya hewa wakati alichokiandika ni tofauti kabisa. All along nilidhani mwananchi ni gazeti lenye hadhi na halihitaji kuweka heading za kuuza gazeti. Dr Slaa hajachafua hali ya hewa wala nini, ni upuuzi kiuandishi kutumai heading kama hiyo wakati maudhui ni tofauti. Siasa za bongo bana loh ufisadi kila kona
 
dr slaa is going kuzimu kwa uongo, poleni ccm mnaochukiwa na wananchi, kwani slaa akizusha tu watu wanaamini, looooooooooo ndio namjua slaa sasa...kile kisu kilikuwa cha jmaa anaitwa rafiki, anasoma udom, alikuwa kampeni meneja wa heche, sabura mlinzi akamuomba, tukashangaa kinatangazwa mezani, kumbe wajumbe walikuwa na hasra juu ya yeye, akaona hiyo ndio njia ya kuwafanya wapiga kura waondoe imani kwa akina nyakarungu, saanane na mwapamba....kama walinzi wao walimkamata huyo mweney kisu yuko wapi na amefikishwa kituo gani cha polisi, slaa umekwisha kabisaa na ole wako siku watanzania wa kawaida wakigundua mambo ya uzushi wako utakwisha.
 
Mbowe ndiye chanzo cha uharibifu wa yaliyotokea juzi bavicha, kwani leo amempigia kijana joshua wa arumeru mashariki akimponeza kwa kazi nzuri aliyoifanya bavicha, huyu joshua ndiye alikuwa anasambaza pesa kwenye guest walizolala wajumbe na kuwasomba kwa gari asubuhi kwenda eneo la mkutano,.
Mbowe anahitaji kuwa mgombea wa urais 2015 kwa hilo amekwama na hatofanikiwa kuwa raisi wa nchi hii,
nawapongeza hao vijana 3, walioenguliwa......mwapamba, benard saanane na greyson kwa ukomavu wao, kwani angetolewa heche naamini ugomvi mkubwa ungezuka, na hata leo nilitegemea wataanza kutoa maneno mabaya dhidi ya uonevu na uvunjaji wa demokrasia uliotokea kwa ushurutishi wa mbowe akihofia vijana hawa.
Badala ya kuicha huru iliyo huru yeye anawaza uraisi tu, hata akafikia hatua ya uwachafua akina saanane na greyson eti ni vibaraka wa ccm...hii ni aibu kabisa kwa mtu kama mbowe kuwazushia vijana hawa mambo ya kizushi hivi.

Naomba hawa vijana wawe wapole tu na matunda ya uvumilivu wao yataonekana baadae, sasa nagundua kwa nn mbowe alikuwa mkali kuona shibuda ndiye kaimu mwenyekti shinyanga.
Yaani nanyi slaa na tumbo na mrema chungeni domo zenu,....kwani vijana hawa kama waliweza kuwaporomosha na kuwashinda dimbani, hadi mkaamua kuteua tu mwenyekti viti maalum, basi ujue kuwa wakiamua kuwalipua sijui kama mtakuwa shwari.........fungeni domo zenu, au muwaite sisimizi kama kafulila tuone basi.

Haki gani mtadai ikwa mnafanya wehu hivyo, uadilifu gani ikiwa dr slaa n muongo na mzushi hivyo?.........
Kaa chonjo huwezi kuwa mwenyekti tena ww mbowe na uraisi huna tena, au fanya mpango uwaue kabla ya hawajakupindua mbowe.

Kama baba mkwe wako alianzisha chama kwa malengo finyu ya kupata utajiri, basi ndoo yake imeharibika kwani sasa watz wanakiaminia cdm siriasi na watakinyoosha tu
MIMI KAMA MWANADADA NILIUMIA SANA KUONA HAKUNA HAKI YA DEMOKRASIA, NA NILIAMUA KUONDOKA JAPO NILIKUWA NAMPIGIA KAMPENI HECHE USIKU HATUKULALA ILA NIKASHANGAA KUSIKIA ETI YEYE HAJAFANYA KAMPENI KABLA YA MUDA.
HAPO NIKAGUNDUA HAKUNA HAKI CDM, YANI ASUBUHI TU TULIGUUNDUA TUVIJANA HUTU TUMEMPIGA HECHE VIBAYA SANA, ILA SAsa nikakosa uvumilivu kuona uonevvu wote wa wazi na kijinga unafanyika.
 
Au inawezekana ni cha kundi la kimafia la Bern saanane,jamaa namjua kwa umafia wake.Huyo yuko tayari hata kutumia bastola ili kuingia madarakani.Kama alikutwa na Hammerson nyumbani kwake New delh haraka akasingizia ni ya Afisa mmoja wa Jeshi aliyekuja nae akawa amepigiwa simu akakasirika wakati wa kuondoka akamshauri aiache kwa ajili ya usalama,atashindwa kutumia visu?
 
Mbowe ndiye chanzo cha uharibifu wa yaliyotokea juzi bavicha, kwani leo amempigia kijana joshua wa arumeru mashariki akimponeza kwa kazi nzuri aliyoifanya bavicha, huyu joshua ndiye alikuwa anasambaza pesa kwenye guest walizolala wajumbe na kuwasomba kwa gari asubuhi kwenda eneo la mkutano,.
Mbowe anahitaji kuwa mgombea wa urais 2015 kwa hilo amekwama na hatofanikiwa kuwa raisi wa nchi hii,
nawapongeza hao vijana 3, walioenguliwa......mwapamba, benard saanane na greyson kwa ukomavu wao, kwani angetolewa heche naamini ugomvi mkubwa ungezuka, na hata leo nilitegemea wataanza kutoa maneno mabaya dhidi ya uonevu na uvunjaji wa demokrasia uliotokea kwa ushurutishi wa mbowe akihofia vijana hawa.
Badala ya kuicha huru iliyo huru yeye anawaza uraisi tu, hata akafikia hatua ya uwachafua akina saanane na greyson eti ni vibaraka wa ccm...hii ni aibu kabisa kwa mtu kama mbowe kuwazushia vijana hawa mambo ya kizushi hivi.

Naomba hawa vijana wawe wapole tu na matunda ya uvumilivu wao yataonekana baadae, sasa nagundua kwa nn mbowe alikuwa mkali kuona shibuda ndiye kaimu mwenyekti shinyanga.
Yaani nanyi slaa na tumbo na mrema chungeni domo zenu,....kwani vijana hawa kama waliweza kuwaporomosha na kuwashinda dimbani, hadi mkaamua kuteua tu mwenyekti viti maalum, basi ujue kuwa wakiamua kuwalipua sijui kama mtakuwa shwari.........fungeni domo zenu, au muwaite sisimizi kama kafulila tuone basi.

Haki gani mtadai ikwa mnafanya wehu hivyo, uadilifu gani ikiwa dr slaa n muongo na mzushi hivyo?.........
Kaa chonjo huwezi kuwa mwenyekti tena ww mbowe na uraisi huna tena, au fanya mpango uwaue kabla ya hawajakupindua mbowe.

Kama baba mkwe wako alianzisha chama kwa malengo finyu ya kupata utajiri, basi ndoo yake imeharibika kwani sasa watz wanakiaminia cdm siriasi na watakinyoosha tu
Rekebisha kwanza jinsia yako.
 
ccm tumegungua mlitaka kuingi cdm kupitia huu uchaguzi na sasa tunawafukuza mnalalamika Dr Slaa ameingilia uchaguzi. Hata mseme mnavyotaka tunakumbuka jinsi gani mliingia NCCR na kuharibu upinzani, tutawaaibisha kila mahali. Chadema sio ccm na msitu fanananishe na vichaa wenu na mafisadi. cdm itakuwa na itaendelea kuzima midomo yenu.
 
Mbowe ndiye chanzo cha uharibifu wa yaliyotokea juzi bavicha, kwani leo amempigia kijana joshua wa arumeru mashariki akimponeza kwa kazi nzuri aliyoifanya bavicha, huyu joshua ndiye alikuwa anasambaza pesa kwenye guest walizolala wajumbe na kuwasomba kwa gari asubuhi kwenda eneo la mkutano,.
Mbowe anahitaji kuwa mgombea wa urais 2015 kwa hilo amekwama na hatofanikiwa kuwa raisi wa nchi hii,
nawapongeza hao vijana 3, walioenguliwa......mwapamba, benard saanane na greyson kwa ukomavu wao, kwani angetolewa heche naamini ugomvi mkubwa ungezuka, na hata leo nilitegemea wataanza kutoa maneno mabaya dhidi ya uonevu na uvunjaji wa demokrasia uliotokea kwa ushurutishi wa mbowe akihofia vijana hawa.
Badala ya kuicha huru iliyo huru yeye anawaza uraisi tu, hata akafikia hatua ya uwachafua akina saanane na greyson eti ni vibaraka wa ccm...hii ni aibu kabisa kwa mtu kama mbowe kuwazushia vijana hawa mambo ya kizushi hivi.

Naomba hawa vijana wawe wapole tu na matunda ya uvumilivu wao yataonekana baadae, sasa nagundua kwa nn mbowe alikuwa mkali kuona shibuda ndiye kaimu mwenyekti shinyanga.
Yaani nanyi slaa na tumbo na mrema chungeni domo zenu,....kwani vijana hawa kama waliweza kuwaporomosha na kuwashinda dimbani, hadi mkaamua kuteua tu mwenyekti viti maalum, basi ujue kuwa wakiamua kuwalipua sijui kama mtakuwa shwari.........fungeni domo zenu, au muwaite sisimizi kama kafulila tuone basi.

Haki gani mtadai ikwa mnafanya wehu hivyo, uadilifu gani ikiwa dr slaa n muongo na mzushi hivyo?.........
Kaa chonjo huwezi kuwa mwenyekti tena ww mbowe na uraisi huna tena, au fanya mpango uwaue kabla ya hawajakupindua mbowe.

Kama baba mkwe wako alianzisha chama kwa malengo finyu ya kupata utajiri, basi ndoo yake imeharibika kwani sasa watz wanakiaminia cdm siriasi na watakinyoosha tu
MIMI KAMA MWANADADA NILIUMIA SANA KUONA HAKUNA HAKI YA DEMOKRASIA, NA NILIAMUA KUONDOKA JAPO NILIKUWA NAMPIGIA KAMPENI HECHE USIKU HATUKULALA ILA NIKASHANGAA KUSIKIA ETI YEYE HAJAFANYA KAMPENI KABLA YA MUDA.
HAPO NIKAGUNDUA HAKUNA HAKI CDM, YANI ASUBUHI TU TULIGUUNDUA TUVIJANA HUTU TUMEMPIGA HECHE VIBAYA SANA, ILA SAsa nikakosa uvumilivu kuona uonevvu wote wa wazi na kijinga unafanyika.

Really...unaongea kama kikwete vile vile. Rudi kundini ccm huku ukuwezi
 
Leo nimesoma kwenye gazeti la mwananchi kuna habari eti dk slaa amechafua uchaguzi mkuu wa Baraza la vijana la Chadema.
habari hiyo imeandikwa kwa urefu katika gazeti la mwananchi. hii mara ya 2 baada ya kila uchaguzi mkuu wa cdm. mara ya 1 nafasi ya mwenyekiti. kambi ya upinzani bungeni, hata mwaka jana uchaguzi mkuu wa Cdm
gazeti la mwananchia ambalo inasemekana mmoja wa kiongozi mkuu wa CDM mh Mwepesi kuwa na nguvu kama vile baadhi ya magazeti kama mtanzania na rai yanavoshtumiwa kutumiwa na .
wamiliki wake.
Matukio mengi yanahusu Mh Mwepesi huandikwa katika gazeti hilo kwa urefu na hupangwa kwa ustadi mkubwa
JEE KWELI KUNA TOFAUTI GANI KATI YA MTANZANIA NA MWANANCHI
SOMA HII
Dk Slaa achafua hewa uchaguzi Chadema Send to a friend Sunday, 29 May 2011 22:24 digg

eeslaa.jpg
Geofrey Nyang’oro
BARAZA la Vijana la Chadema (Bavicha), limepata viongozi wapya katika uchaguzi uliotawaliwa na mizengwe na vurugu zilizotishia usalama wa wapigakura.Habari zilizolifikia gazeti hili jana zilieleza kuwa, vurugu hizo zilichochewa na kitendo cha Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Willibrod Slaa kuonyesha visu alivyodai kuwa vilikamatwa na walinzi wa chama hicho jana asubuhi.
Mbali na kuonyesha visu kadhaa, Dk Slaa alitangaza kuenguliwa kwa wagombea watatu wa nafasi ya uenyekiti; Bernard Saanane, Greyson Nyakarungu na Mtela Mwampamba kwa madai ya ukiukaji wa maadili.

Dk Slaa aliwaeleza wapigakura kuwa kamati ya ulinzi ya chama hicho pia ilibaini kuwapo kwa mabaunsa waliodaiwa kupandikizwa katika mkutano huo kwa lengo la kuuvuruga.Alisema watu hao waliletwa na baadhi ya wagombea wa nafasi za uongozi ambao kimsingi chama hicho kilikuwa kimebaini kuwa ni mamluki waliopandikizwa kwa lengo la kuvuruga uchaguzi huo. Kuhusu wagombea walioenguliwa, Dk Slaa alidai kuwa kuondolewa kwao kumetokana na kukiuka maadili.

Baadhi yao ndani ya mkutano huo walionyesha huzuni kutokana na uamuzi huo uliodaiwa kuwa ni mgumu kuwahi kufanyika katika vyama vya siasa.“Ingawa chama kinasema kimechukua hatua hiyo kwa malengo mahususi, mimi bado ninapata shaka kama kweli hakuna mgombea ambaye hajafanya kampeni kabla ya wakati,” alisema mjumbe mmoja kwa sharti la kutotajwa gazetini.

Hata hivyo, matokea ya uchaguzi huo yaliyotangazwa saa 12 asubuhi jana na Dk Slaa baada ya kukamilika kwa shughuli ya kuhesabu kura iliyofanyika usiku kucha. Akitangaza uamuzi huo uliochafua hali ya hewa ndani ya ukumbi wa mkutano saa tano usiku juzi, Dk Slaa alisema uamuzi huo ulifikiwa na kamati ya uchaguzi iliyoundwa na watu sita ikiongozwa na yeye.Akifafanua sababu za kuenguliwa kwa wagombea hao, Dk Slaa alisema inatokana na wao kujihusisha na vitendo vya ukiukaji wa maadili ya chama hicho kwa kupiga kampeni kabla ya muda uliopangwa.

“Nafasi mnayowania ni kubwa na ina umuhimu wake kwa taifa. Kwa kuwa sisi sera yetu kubwa ni kupinga vitendo vya ufisadi na kusimamia maadili hatuwezi hata siku moja kuruhusu vitendo vya ukiukwaji wa maadili kufanyika ndani ya chama chetu,”alisema Dk Slaa na kuongeza:
“Tulikubaliana kuwa kampeni zitapigwa ndani ya ukumbi wa mkutano, lakini wapo wagombea wamekiuka agizo hilo na kupiga kampeni kabla ya muda. Tunao ushahidi kuwa wapo waliofanya hivyo katika maeneo ya Kinondoni, Manzese na hata jana (juzi) makao makuu,”alisema Dk Slaa.

Chadema imara
Alisema Chadema siyo chama cha makundi bali ni cha watu wote chenye dhamira ya kulikomboa taifa na kusisitiza kuwa kitaendelea kuchukua hatua kila kinapobaini kuna sababu za kufanya hivyo.
Kwa mujibu wa Dk, Saanane alitajwa na wajumbe wanane wa mkutano huo kuhusika na vikao vya siri, mara nane katika kukigawa chama kimakundi na mara tatu alitajwa kutaka kujitoa baada ya kuingia ukumbini. Mgombea mwingine aliyekuwa na tuhuma kama hizo ni Nyakarungu ambaye naye alitajwa na wajumbe wanane akidaiwa kufanya vikao vya siri mara nane, kukigawa chama katika makundi na mara tatu kuhusika na vitendo vya rushwa.
Kuhusu Mwampamba alisema yeye alikataa tuhuma zote zilizokuwa zimeelekezwa kwake, lakini baadaye alikiri jambo lililofanya kamati hiyo kuona kuwa ni mwongo na hafai kuwa kiongozi. Katibu huyo mkuu alisema Chadema inachukua hatua hizo kwa vitendo ili kuhakikisha inatekeleza kwa vitendo suala la maadili ya viongozi na kupinga kwa nguvu zote vita dhidi ya ufisadi.

“Sisi (Chadema) tunajinadi kupambana na vitendo vya ufisadi, sera yetu tunayosimamia ni maadili, katika kutekeleza hilo kwa vitendo ni lazima tuanzie ndani na ndipo tutoke nje,”alisema Dk Slaa.
Baada ya maelezo hayo, Dk Slaa alimtangaza John Heche kuwa mshindi wa nafasi ya mwenyekiti wa Bavicha baada ya kuwabwaga wapinzani wake watano.

Alisema Heche aliibuka mshindi kwa kura 143 sawa na asilimia 53.6 kati ya kura zote 239 zilizopigwa. Heche alishinda nafasi hiyo ya uenyekiti ambayo ataishika kwa miaka miwili.Awali, ilikuwa ikiongozwa na kamati ya muda chini ya mbunge wa Ubungo, John Mnyika kufuatia kuvunjika kwa mkutano mkuu wa uchaguzi mwaka 2009.

Wagombea wengine wa nafasi ya mwenyekiti waliopambana na Heche ni Aidan Sadick, Bernard Mao, Deogratius Kisandu, Edwin Soko na Masoud Suleman.

Dk Slaa pia aliwatangaza Juliana Shonza kuwa mshindi wa nafasi ya makamu mwenyekiti (Bara) na Sharifa Suleiman Hamisi kwa nafasi hiyo Zanzibar.Walioshinda ujumbe wa baraza kuu ni Edward Kinabo, Frank Fumpa, Zainab Mussa Bakari na Alex Mushi. Uchaguzi huo wa Bavicha umefanyika baada ya kushindikana Septemba mwaka 2010, kufuatia vurugu ambapo uongozi wa Chadema ulilazimika kuusimamisha.

Wakuu
Kama mambo ndo hivyo, basi tukubali kwamba wazuri hawajazaliwa(the beautful one are not yet born).
Tukae chini tutafakari ni jinsi ipi tuikomboe nchi yetu, kwanza kwa kupiga vita ukabila, udini, na hatimaye uvyama vya siasa. Tutangulize umoja wetu wa kitaifa(utaifa). Tukutane kwenye
vyama vyetu wakati wa chaguzi na mara baada ya chaguzi tuwe taifa moja ambalo tunakemea panapositahili na kusifia inapobidi kusifia. kwani siku zote " si rahisi nyani kuona kundule"
 
hizo nafasi zina ulaji ndioyo maana mizengwe haiwezi kwisha.

sio ulaji mkuu, ila mbowe anataka watu wa ndiyo mzee kwenye kamati kuu ili aendelee kuwa mwenyekiti wa cdm nje ya utaratibu wa wenzake waliomtanguli wa kukaa miaka kumi tu, japo haiko kikatiba ila mkwemtu anaona wasomi wengi na wenye uwezo kumzidi wamejaa hivyo ile naman ya kuwa mtoa mamuzi haipo tena hivyo anaamua kutafuta wapiga kura za ndyo.
 
Kishongo;

kila napoona treand yako natamani kusoma.uhalisi wako unanieleza wewe ni mtu wa namna gani.jambo linalinishtua zaidi umekuwa ni m,tu wakutolea chadema taarifa,ni matumaini yangu siku yaja majani yote yatateleza na utakiri kwa mdomo wako kuwa viongozi wa chadema ni makini.

Josephine, hii ni habari tu niliyoona yafaa kushirikisha wana JF.
Sikumaanisha kutolea CDM taarifa.

Hilo la umakini wa viongozi wa cdm.... hamna kitu hapo.
Wanabakia kuwa wasanii wa kisiasa.
 
Mimi nilikuwepo ukumbini tena high table mpaka saa kumi na nusu usiku, sijasikia habari ya visu wala vurugu ya aina yo yote. Kila kitu kilikuwa safi. Hoja ya kuondoa baadhi ya wagombea ilipotolewa na dr slaa kwa kusoma katiba na kanuni za chadema wajumbe wote walikubaliana kwa asimia zote. Maamuzi yalifanywa na baraza la wazee. Wachangiaji tuwe wakweli.
Kulikoni maamuzi kuhusu vijana kufanywa na baraza la wazee?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom