Dr. Slaa aingilia kati Uchaguzi wa BAVICHA; Magazeti yalalamika

Kama ana sifa za kugombea urais mwache agombee, majungu ya nini? Mwacheni Zitto apumue! Kama vp mfukuzeni mbaki wenyewe tu
 
Chadema ni chama makini sana mpango wowote wa kusambaratisha chama hautafanikiwa kamwe....
Kwani lazima kuwepo ndani ya CDM,
Ana uhuru wa kujiondoa kama wengine ndani ya CDM akiona anabanwa ndani ya CDM.
 
Dr Slaa hakuingilia uchaguzi wa BAVICHA ila alikuwa na wajibu wakuwabana wahuni wanaotaka kutumiwa na majangili wa kisiasa.
Lazima asimamie uchaguzi vizuri ili tupate viongozi wa safi.
 
Zitto ndiye alipewa zile Tsh 10 milioni na Rais Kikwete kupeleka kwenye jimbo la Wenje Mwanza!
Let's say Zitto ni rafiki wa karibu na rais?
 
Ndugu yangu ,
Narejea kikao chetu cha leo ubungo blue pearl hotel.
Nakushauri kuwa msimamo wako wa kujitoa ndani ya chama hauna manufaa yeyote kwa sasa.
Unakumbuka malengo yetu ya muda mrefu,hebu kaa na tafakari kwa kina kirefu kwani kama nilivyosema mchana na sasa narudia ni kuwa kufanya hivyo ni kujimaliza kwani hawa jamaa watatumaliza sisi waislamu kwani wamewaengua wakristo na kibaya zaidi mchagga tena mkatoliki.
Nimeona nipitie hapa kukushauri ili tuende salama haswa baada ya kukataa ushauri wangu leo mchana hotelini.
Tutafakari kwa kina kabla ya kuamua Habib.
NImeongea na PROF safari anasema kwa misingi hiyo atatupinga hadharani.
Wadau naombeni ushauri.

wewe mzushi kweli
 
Mbona sielewi hapa?? Kwani Mchange anajiengua? Au ni rafu za wapinzani wake ndani ya chama wanamharibia?
 
Acha hayo maneno ya kipuuzi, kama huna cha kuongea ni heri unyamaze, Mchange siyo Kafulila au mkosamali na hawezi kuhama CDM kwa sababu zako za kijinga kama hizo, acha unafiki na uccm wako upeleke huko huko mkavuane magamba , Chadema udini, ukabila haupo, kama kungekuwa na ukabila Ben angeshinda , maana mara CDM ya wachaga, haya Heche ni mchaga jamani?
Tumekubali kuwa Heche sasa ndiyo mwenyekiti wetu
Ndugu yangu ,
Narejea kikao chetu cha leo ubungo blue pearl hotel.
Nakushauri kuwa msimamo wako wa kujitoa ndani ya chama hauna manufaa yeyote kwa sasa.
Unakumbuka malengo yetu ya muda mrefu,hebu kaa na tafakari kwa kina kirefu kwani kama nilivyosema mchana na sasa narudia ni kuwa kufanya hivyo ni kujimaliza kwani hawa jamaa watatumaliza sisi waislamu kwani wamewaengua wakristo na kibaya zaidi mchagga tena mkatoliki.
Nimeona nipitie hapa kukushauri ili tuende salama haswa baada ya kukataa ushauri wangu leo mchana hotelini.
Tutafakari kwa kina kabla ya kuamua Habib.
NImeongea na PROF safari anasema kwa misingi hiyo atatupinga hadharani.
Wadau naombeni ushauri.
 
Kugombea agombee (ajaze form) kutimiza haki yake ya kikatiba lakini atajifanya rais? kama anaona anakubalika sana au ndo nguzo ya Chadema na anabanwa basi ahame na atumie nguvu hiyo kujenga chama atakachoanzisha. Wenye kuona anafaa watampa kura hukux2.

Lakini watanzania wanatambua na wanauelewa wa wakutofautisha nani anapigania mambo yake na nani yupo kwa ajili ya wengine. Kumiliki gari aina ya Hammer (700m) ni ishara tosha huyu mtu ni wa namna gani.
 
Ningewashauri muwe na special thread ya chama chenu, msidhani Jamiiforums ni ya CHADEMA, madudu yenu ya kwenye uchaguzi pelekeni huko huko, mimi zaidi ya kujuwa kwamba huyo kijana aligombea ubunge kibaha hakuna lingine ninalojuwa kuhusu yeye.
Ningewapa angalizo msidhani wote tusioitaka hata kuisikia ccm mkadhani sisi ni CHADEMA, sarakasi zenu malizeni huko huko, hakuna aliezaliwa ili awe kiongozi huo ni uchu wa madaraka wenye spirit za ki ccm.
 
Wachagga bana, yaani kuna kundi la zitto, Mbowe na lile lisilo na mtu. Lakini kwenye kukemea makundi la Mbowe halionekani kazi kweli kweli, na huyu muha naye mbishi hadi siku wampeleke kuzimu na kung'ang'ania miradi ya wakwe wa watu.
 
kwani aliyeshika nafasi ya pili ni dini gani? kwanini tusiamini mtu ameshindwa kwa merit badala ya kusingizia dini?
is that I am missing something out here, kwani kulikuwa na uchaguzi wa ma-imam na mamullah au mashemasi na maaskofu? Kila sehemu ni dini dini... and on it goes. Kweli hata wasomi wenye akili timamu mmekubali kuimba chorus ya chama cha magamba!
 
Tunaomba utusaidie sisi ambao hatuwepo nanyi mchana ulipomshauri asijitoe kwenye chama,
  • kwanini Habib anataka kujiuzulu,wewe umemshauri asijitoe kwa misingi ipi?
  • kwanini Proffesa Safari amchane,si kila mtu ana uhuru wa kuwa mwanachama wa chama fulani anachoona yeye ni sawa?
  • unataka kutuambia kwamba CHADEMA watu wakitofautiana hawana namna ya kutatua tofauti zao kiofisi hadi iwe kwenye majukwaa?
Binafsi namkubali sana Habib,ningependa kujua grounds za yeye kutaka kujitoa ili aweze kushauriwa. Hatuwezi shauri bila kujua kwanini anataka kufanya hivyo...!!!
Uchaguzi Bavicha utatoa picha halisi kwa chama kiwango cha vijana kiupeo wa siasa na chama kifanye nini kurekebisha na kuanza utaratibu wa kuelimishana maana ya siasa na nafasi ya vijana ktk siasa.wengi tunadhani tumeiva kisiasa sabab tu tunaweza kujenga hoja.ninachoona kwa wengi walioshindwa Bavicha hata waliokubali kushindwa wanachomekea na vijembe kiaina kujenga taswira mpya ya cdm ili ku justify kushindwa kwao au tuhuma dhidi yao.wengi ni vijana wadogo sana wanaohitaji utulivu na kujipanga zaidi maana wakati haujawatupa mkono kuna future nzuri tu huko mbele.panakuwa na maneno ya chinichini mpaka unashangaa hawa ndo walitaka kuwaongoza wenzao? Tena wengine kama wamekata tamaa! Nadhani wengi waligombea kama employment oppurtunity fulani na kwa kuji asses wakaona ni the best hivyo kutokuwepo hata kwenye shortlist ni usaliti mkubwa! Hatutaki ya uvccm wanaotaka kutoka watoke na cdm haifanyi siasa za ccm zinazoshindwa.Ben nilisoma majibu yake humu si mabaya lakini si mazuri pia!ukiunganisha dot utajua nini anafikiri! Vijana wenzangu,siasa ktk mazingira magumu ya utawala wa ccm ni ngumu sana,viongozi wanapata wakati mgumu kuchambua pumba na mchele na hata pengine kuweza kusababisha makosa!Ben kama tatizo ulionekana ni pandikizi muda unao,dhihirisha ww ni tz damu! Epukeni kauli zitazowagharimu popote mtapokwenda hata iwe ccm! Vijana tupambane kujenga chama palipo bomoka tupajenge na si ndio maana ya kujenga chama?otherwise tumikeni vibaya sasa na uishi na dhambi hiyo itayofahamika na wa tz milele yote na haitafutika.Ben unaonekana una future nzuri kisiasa jitahidi kuwa mtulivu zaidi bila kufungamana na yeyote na piga hesabu zako kwa hekima utaona matunda yake otherwise utapotea kama ulivyoibuka! Kila lakheri vijana wenzangu kuweni makini maana wakati ni wenu msidanganywe kwa karanga za kuönjeshwa mkatema big G.
 
kijana uwezo wake ni mdogo sana,anapenda sana hela kuliko hata baba yake.sisi cdm tutamuweza atatuweka sokoni vijana wote
 
acheni kurupuka kuanza kujibu na kuwashambulia waliotanjwa bila kusoma vizuri thread..hakika ukisoma vizuri thread utakugua kuwa ni uzushi na watu mnaingia mtego..
 
ah,kumbe unaleta umbeya humu! ndio walewale...:nono: nenda facebook


Mimi si mwanachama wa chadema na sizipendi siasa zake za kiukoo na ukatoliki lakini kama kuna mtu ananivutia katika chadema ni huyu Zito, na chadema washukuru sana Zito hapaswi kupuuzwa ndani ya chama na ndio aliokipa umaarufu chadema.
 
Back
Top Bottom