Dr Slaa aijibu serikali kuhusu maandamano

Next time mkiandamana ombeni na Lilian Mtei naye aje kukielewesha sio ninyi masikini tu ndio mtaabike.
Unamaanisha maandamamno ya CDM au hata yale ya wafanyakazi ndani ya viwanja siku ya mei mosi..??
 
Magamba wote sawa tu.. Mwenyekiti wa baraza la mawaziri=pandisheni bei ya mafuta ya taa, mwenyekiti wa cc=punguzeni bei ya mafuta taa, mwenyekiti ni yuleyule..duu kweli inji iiiii...kiboko
 
  • Thanks
Reactions: FJM
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
hivi ninyi magwanda hamna njia nyingine ya kufanya siasa mpaka maandamano au mnataka watu wafe ndio mwende ikulu kwa kukanyaga damu za watu, kama mlivyofanya Arusha.
<br />
<br />
Mkuu hata kama ccm wanakutumia kataa haya mambo ya sheria kwani watakupa na utataka wakati fulani kuandamana. Sijui kama Werema alishakuwa serious.
 
Waacheni wapeleke huo mswada ndio watatufahamu vizuri! Tutaandamana nchi nzima hadi bungeni kuupinga huo mswada, ndio watajua tumechoka kwelikweli! Upuuzi kabisa!
 
Serikali ya CCM inaiogopa CDM kuliko ilivyoiogopa CUF enzi za jino kwa jino, labda kwa kuwa CUF ilikuwa na support kutoka maeneo machache ya nchi. Watawala jueni; kuigopa CDM ni kuuogopa umma wa TZ, na kuikandamiza CDM ni kuukandamiza umma wa TZ!
 
If the government is sick of demonstrations, then it has to act responsibly to stubborn puzzles facing the normal citizens.

Your statement is highly contradictory within definition. Its the language problem I am sure.
 
Hii sheria ikitungwa ndo utakuwa mwisho wa utawala wa kidharimu wa CCM,nasema hivi kwa maana kama matatizo yanayowakabili wananchi hayatatuliwa na wakazuiwa kutoa madukuduku yao basi itatumika njia nyingine ambayo nadhani yaweza kuwa mbaya na ya hatari zaidi kuliko maandamano,kama CCM hawaamini basi wajaribu tena wafanye haraka mwaka huu ili wajionee nini maana ya vita/gharika

Watanzania tumechoka saana na ni bora kufia barabarani kuliko kuendelea kutungiwa sheria za kifedhuri namna hii,kwa manufaa ya nani?hii ni moja ya sheria zilizotungwa na utawala wa makaburu dhidi ya weusi huko A.kusini mwaka 1948,kitu ambacho kilichochea hasira za weusi na hatimaye kujikomboa,sasa leo ni Tz?tungoje tuone...the S.A history is still alive!
 
hivi ninyi magwanda hamna njia nyingine ya kufanya siasa mpaka maandamano au mnataka watu wafe ndio mwende ikulu kwa kukanyaga damu za watu, kama mlivyofanya Arusha.

Kati ya CCM na CDM nani anaetumia bunduki kuuwa watu kama Arusha?
 
Dr.Slaa uko juu Rais mtarajiwa wa Tanzania endelea kuwakaba koo magamba yote ya CCM.
 
Tena ilitakiwa Slaa ahutubie haya huku akiwa ameitisha maandamano nchi nzima ya kupinga kauli ya Werema tena yalitakiwa yafanyike hapohapo Dodoma kama Mji Mkuu.


"THE ONLY ABSOLUTE TRUTH IS THAT THERE ARE NO ABSOLUTE TRUTHS"
 
hivi ninyi magwanda hamna njia nyingine ya kufanya siasa mpaka maandamano au mnataka watu wafe ndio mwende ikulu kwa kukanyaga damu za watu, kama mlivyofanya Arusha.

Acha uji...ga wewe, kwa nini watu wafe kwenye maandamano ya amani? Tangu lini watu wanakufa wakitembea kwa pamoja?
 
Back
Top Bottom