Katibu mkuu wa chadema Dr W.P.Slaa amesema katu asilani serikali ikome kutisha watu.
Slaa amesema kitendo cha jaji Werema mwanasheria mkuu wa serikali kusema wanatunga sheria kudhibiti maandamano hakiwezi kuvumiliwa.
Dr Slaa amesema ni dhahiri sheria hiyo inatungwa kuidhibiti CHADEMA.
Dr Slaa amesema badala ya kukimbilia kutunga sheria dhalimu kuidhibiti CHADEMA ni vema wakatumia njia bora zaidi kudhibiti nguvu za CHADEMA kwa kushusha bei za vyakula, kupunguza bei za vifaa vya ujenzi,kupunguza mfumuko wa bei, kutatua tatizo sugu la umeme nk.
Source: Dr Slaa alikuwa anahojiwa na idhaa ya kiswahili ya BBC jana jioni.