Elections 2010 Dr. Slaa ahutubia Kilombero; ampigia debe Regia Mtema

Mimi ni mpenda mabadiliko. Sikuwa nafahamu kama dada anaishi katika physical challenge. Courage aliyonayo imenipa moyo wa kumsupport zaidi kuliko hata hapo ilivyokuwa awali.

Hope wananchi wakilombero nao watafanya maamuzi ya busara kufanya mabadiliko.
 
Gaijin,
yaani umeamua kuchafua hali ya hewa bila sababu ya msingi. Sad in deed!
Kwa nini unataka kuaminisha watu kwamba GS ni mtu wa dhiki?
Of course, GS aliweka wazi autobiography yake hapa JF baada ya mauzauza ya mkuu Kiranga, nina hakika unaelewa nachosema, kutokana na ukweli kwamba wewe ni mkongwe hapa JF..
Inabidi tum-support Regia kwa hali na mali ili afanishe malengo yake ya uwakilishi wa jimbo la Kilombero.
Huyu ni mpambanaji, hutuwezi kujua--akichaguliwa kuwa mbunge wa Kilombero, may be, harakati zake zinaweza kupelekea kupungua kwa bei ya sukari.
Huo utakuwa ni mchango mkubwa tuu kwetu sisi walalahoi.
 
Nakupongeza GS kwa kujitokeza hadharani kupambana kiume, ooh sorry kike. Kwa kuwa wewe ni mwana jamvi naomba utumwagie vipaumbela vyako angalau kwa uchache ikiwa wana kilombero watakupeleka mjengoni. Nilitaka nijizuie kuonyesha hisia zangu juu yako lakini nahisi kushindwa. Nilikufurahia sana kwenye ule mdahalo wa wabunge vijana kwa jinsi ulivyofanikisha kulimudu jukwaa kwa hoja zilizoenda shule. Ningekuwa ukumbini siku ile lazima ningekupa shavu. Hata hivyo kula tano binti Ahraham.
 
Hiyo radhi umejilazimisha saana. Kwamaana nyingine kuomba radhi ni kukubali kosa kwa yakini. Kukashifiwa kwa JK hakukuwa sahihi na ndio maana wengine tumeliona hili na kuamua kulisemea.
Mie nadhani content ya kile kinachozungumzwa na matendo ya mhusika yenye kuweza kuwaathiri wananchi wake ndiyo ya msingi. Kwa lugha rahisi ukizungumzia mwonekano wako wa mgombea, inamaana unatuamanisha kuwa kuna watu wanamuonekano wa kiongozi ie matajiri.
Attack za namna hii hazijengi, ni vyema kujadili issues.
 
Back
Top Bottom