Elections 2010 Dr. Slaa ahutubia Kilombero; ampigia debe Regia Mtema

kwa kiswahili chepesi .......nashindwa kuamini kama ana miaka 30 na nimetupia lawama kwa dhiki za Tanzania.

Sijui sasa umenielewa?
Comments nyingine ni vyema kuwa unazimezea. Ni too specific/personal. Naona km umemuattack huyo dada. Unaweza kuzizungumzia dhiki za Tanzania generally than attacking someone specifically.
 
Tatizo ni kwa huyu dada tu au kwa kila mgombea?

manake hatujawahi kuzuiana kutoa maelezo wa muonekano wa Mgombea Kikwete.

Amenyauka, amesinyaa, amechoka, anakifafa, ana mdudu, na mengineyo.

btw muonekano wa mgombea una athari kwa wapiga kura (muonekano wa jumla, uvaaji, style ya nywele, n.k)
 
mkuu hujanipata nafikiri ......nashangaa mgombea ambae ana umri wa chini ya miaka 30 but doesnt look her age! ndio najiuliza kama chanzo kuwa ni dhiki ya Tanzania!

Ohoo, pole kwa kukukwaza
 
mkuu hujanipata nafikiri ......nashangaa mgombea ambae ana umri wa chini ya miaka 30 but doesnt look her age! ndio najiuliza kama chanzo kuwa ni dhiki ya Tanzania!

hizi ni bange .. umeanza kupondea muonekano wa wagombea? grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Tatizo ni kwa huyu dada tu au kwa kila mgombea?

manake hatujawahi kuzuiana kutoa maelezo wa muonekano wa Mgombea Kikwete.

Amenyauka, amesinyaa, amechoka, anakifafa, ana mdudu, na mengineyo.

btw muonekano wa mgombea una athari kwa wapiga kura (muonekano wa jumla, uvaaji, style ya nywele, n.k)

kikwete alianguka jukwaani .... huu si muonekano bali kitu kilichotokea. Mmekosa cha kupondea (wewe na kiranga) sasa mmeanza muonekano.

Crap ya first grade
 
Huyu dada anafaa kwa hapo Kilombero na amekuwa jasiri kujitokeza na kugombea kuliko angesubiri viti maalumu
 
hizi ni bange .. umeanza kupondea muonekano wa wagombea? grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr

Nimemponda mgombea wapi?

Kama nimeponda basi nimeponda Tanzania inayotutia dhiki. Nafikiri anaweza kutumia muonekano wake kama advantage ili watu wampigie kura aondoe dhiki Tanzania.
 
Ukweli unabakia kuwa ukweli hata kama hatujausema kwa mdomo lakini tunaufikiria kichwani.

ni bora kuelewa mpiga kura anachofikiria ili kuona namna unavyoweza kutumia fikra hizo kwa manufaa yako.
 
Nimemponda mgombea wapi?

Kama nimeponda basi nimeponda Tanzania inayotutia dhiki. Nafikiri anaweza kutumia muonekano wake kama advantage ili watu wampigie kura aondoe dhiki Tanzania.

Nini kinakufanya ufikirie kuwa GS ana dhiki?
 
Mwalimu hapa unaenda mbali sana!

Jamani wana ukumbi niwieni radhi

Nilisahau kama hapa tuko kwenye siasa za Tanzania na muonekano wa mgombea haupaswi kuzungumziwa (japo kama unaathiri wapiga kura).

Na nahisi kuwakwaza wengi ukumbini. Nakubali makosa na sitorudia .........:)
 
Hahaha haya bana nimesoma katikati ya mistari mwalimu!
 
Jamani wana ukumbi niwieni radhi

Nilisahau kama hapa tuko kwenye siasa za Tanzania na muonekano wa mgombea haupaswi kuzungumziwa (japo kama unaathiri wapiga kura).

Na nahisi kuwakwaza wengi ukumbini. Nakubali makosa na sitorudia .........:)

bwa ha ha ha... kuishiwa hoja na kuanza viroja sasa
 
Back
Top Bottom