Elections 2010 Dr. Slaa ahutubia Kilombero; ampigia debe Regia Mtema

Mpita Njia

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
6,997
1,163
Slaa_Regia.jpg

Regia_Mtema.jpg




Mambo ya Regia Mtema (aka gender Sensitive) kule Kilombero leo baada ya Dr Slaa kutia timu
 
Last edited by a moderator:
Niko na hamu kusikia mtizamo/msimamo wake kuhusu wanawake

naomba mwenye audio au video atuwekee hapa

natanguliza shukurani :)
 
Huyu dada alistahili viti maalumu, haikuwa na haja ya kuning'inia majukwaani.

Kiranga aka kituko umemuona GS.?
 
Huyu dada alistahili viti maalumu, haikuwa na haja ya kuning'inia majukwaani.

Kiranga aka kituko umemuona GS.?

Mkuu hapa huijaeleweka labda kama ungefafanua, but all in all G.S ni mwanamke wa kuigwa na kuwa mfano, hana shida ya kusubiri viti maalum kwani uwezo wa kuwa mbuge wa kuchaguliwa anao...
KEEP IT GS, HAKUNA KULALA HADI KIELEWEKE!!
 
Kweli Tanzania kuna dhiki ........hivi huyu mgombea si bado under 30 au?
 
MAMBO ya tanzania,its so hard to understand-yaani mpinzani wake huyu regia-ABDUL MTEKETA anagombania ubunge,campaign yake ikiwa spearheaded na strategist na campaign manager Jack pemba-my take it will take many years kwa watanzania kujua politics
 
Kwani hujasikia kuwa wazee mnatakiwa mpumzike sasa?

mkuu hujanipata nafikiri ......nashangaa mgombea ambae ana umri wa chini ya miaka 30 but doesnt look her age! ndio najiuliza kama chanzo kuwa ni dhiki ya Tanzania!
 
Back
Top Bottom