Dr. Slaa afunguliwa mashtaka mahakama kuu leo

Unahalalisha makosa ya Dr and Mrs Slaa to be. Ndoa it not all about kumaliza tamaa za mwili, it is about the family hasa pale unapokuwa na watoto wadogo. Nadhani Josephina ana makosa kuliko Slaa. Huyo mume alitakiwa amshtaki mkewe at the first place kwa kuvunja mkataba waliokubaliana kanisani, mbele ya mashahidi kuwa watakuwa pamoja kwa shida na raha hadi kifo kitakapowanganisha. Ni vyema kuona vithibitisho vya ndoa ya Josephine kuvunjwa, vinginevyo mama hana aibu ya kutambulishwa kama mpenzi huku akijua fika ana ndoa.

Kama watoto wako na Mama na Baba hajui wanakula nini na wanavaa nini nani kashindwa kazi ya malezi hapa. Josephine alitakiwa awe ameshampeleka huyo mwanaume ustawi wa jamii kwa kushindwa kuhudumia watoto
 
ha ha ha dunia ina mambo yani dr anashindwa kutafuta vigori mjini?? au ni mashariti ya mganga? maana upadri nasikia aliuacha kwa kashifa ya ku do na sista palokia ya mahenge?
 
Niseme nashindwa kuelewa kitu kimoja:

Mwaka 1995, alitumika Angelina Mrema over Augustine Mrema (kama mnakumbuka), ikatumika kumdhoofisha Mrema kwa kila namna iliyowezekana, baada ya uchaguzi hata haikueleweka aliishia wapi huyu!

Mwaka 2005, akatumika Mahita over CUF, tukaaminishwa kuwa CUF ni chama cha kigaidi, wakadai wameleta lori la visu na majambia n.k na watanzania wakaiogopa CUF kabisa! Baada ya uchaguzi hata hatujui hizo silaha ziliishia wapi!

Mwaka huohuo 2005 wakamdhalilisha VIBAYA mwanasiasa ninayemkubali ndani ya CCM, Salim Ahmed Salim na kumwita "Mwarabu" na tena "Muuaji", ikamshushia heshima na akajikuta anaamua kukubali yaishe, baada ya uchaguzi hatukusikia lolote, akabembelezwa kuwa 'makundi yaishe'.

Sasa naona 2010 ni maalum kwa Slaa, maanake nini hii? Ni siasa gani hizi? Nani huwa nyuma ya mikakati hii?
 
Hapo ndipo walipojifunga midomo kesi iko mahakamani Mahimbo hawezi tena kwenda kwenye media.

Akili za Makamba, Mahimbo, Msekwa na Kinana ni za panzi. Nawafananisha na Bundi maana mchana kweupe hawaoni bali usiku tu ndo wanaona. Magazeti CCM, TV CCM na wapuuzi wengine midomo imefungwa. Hawatapayuka tena.

Dr. Slaa wewe peta tu na Kampeni ushindi lazima mwaka huu. Ni vyema ukaanza kuwakumbushia wananchi ufisadi wa Meremeta, Green n.k ili CCM watupe majibu yake.

Ni hakika kesi itatupiliwa mbali na mahakama kuu. Tusubiri
 
..this is 1995 all over again.

..CCM walicheza mchezo kama huu kwa Prof.Lipumba, kwasababu alikuwa anaishi na Georgina, ambaye alikuwa ameolewa na jamaa mwingine.

..nadhani Dr.Slaa alitakiwa kuona mbali katika hili. i hope anazo nondo za ku-counter attack.

..kwa maoni yangu kampeni zimeshachafuka. Sasa anachotakiwa ni kutoa uchafu wa kila aina kwa ndoa za wana CCM -- wanaohusika na wasiohusika.
 
umoj wa nchi za ulaya na marekani leo wamelaani kitendo cha mgombea wa urais tanzania kwa kujihusisha na vitendo vya ufusika kwa kuchukua mke wa mtu!!!! wamemalizia kwa kusema imetoke wakati dunia ikielekeza nguvu nyingi juu ya janga la UKIMWI!!!!!!!!!!!!!!!!
Kwa Hisani ya watu wa Merikani!
 
Kama watoto wako na Mama na Baba hajui wanakula nini na wanavaa nini nani kashindwa kazi ya malezi hapa. Josephine alitakiwa awe ameshampeleka huyo mwanaume ustawi wa jamii kwa kushindwa kuhudumia watoto

Pengine keshafanya hivyo, ikafuatiwa na kufungua ndoa aliyokuwa amefunga kabla hajaanza kufunga uchumba na mwanaume mwingine. Au ndo kusikia ufirst lady akasahau mbachao.
 
umoj wa nchi za ulaya na marekani leo wamelaani kitendo cha mgombea wa urais tanzania kwa kujihusisha na vitendo vya ufusika kwa kuchukua mke wa mtu!!!! wamemalizia kwa kusema imetoke wakati dunia ikielekeza nguvu nyingi juu ya janga la UKIMWI!!!!!!!!!!!!!!!!

Mbona hatukuwasikia kulaani wakati Bill Clinton alipoitumia ikulu kama pango la kuwalea makahaba hadi akakiri ndani ya Bunge kuhusu Monica Lewinsky;Mbona hatujawasikia kumlaani Rais wa sasa Ufaransa anayejihusisha na ngono kila mara!

By the way kama Slaa kafanya kosa ni jukumu letu sisi TZ kulaani na sio hao wa Magharibi ambao viongozi wake tena waliochaguliwa ni mafuska wakubwa na wala sisi TZ kama nchi hatujawahi kulaani maana sio mambo yanayotuhusu!
 
jamani aibu hii ya mwaka!!!!!Dr slaa kashifa hii ya kweli au majungu? na kama kweli mbona wanawake ni wengi dar? hata ambiance angepata tu demu!!! duh hadi wife wa mtu? aaaah dr slaaaaaaaaaaaaaaa

Kwani huyo Josefine alikuwa ana alama usoni kuwa ni mke wa mtu!!!! We vipi bwana!!!
 
..this is 1995 all over again.

..CCM walicheza mchezo kama huu kwa Prof.Lipumba, kwasababu alikuwa anaishi na Georgina, ambaye alikuwa ameolewa na jamaa mwingine.

..nadhani Dr.Slaa alitakiwa kuona mbali katika hili. i hope anazo nondo za ku-counter attack.

..kwa maoni yangu kampeni zimeshachafuka. Sasa anachotakiwa ni kutoa uchafu wa kila aina kwa ndoa za wana CCM -- wanaohusika na wasiohusika.

Well...mimi naona poa tu kwani kampeni za kisiasa zina mengi na sidhani kama zina rules za ku play by. Pretty much anything goes...the question is will all these personal attacks stick?

If they stick then he is in trouble. Matter of fact these allegations could very well be his waterloo. But ultimately it's the people who will have the final say at the ballot box.
 
huu mziki mkubwa, sidhani kama padri mstaafu ataweza kuucheza


huyu keshakubali matokeo, yaliobaki atu;ie

yote yamemkuta kwa kujifanya mjuaji, na kukosa kufanya kampeni za kistaarabu.


kama yy ana mabomu tisa basi hata moja hatujaanza, hiki ni cha mtoto, tumempa atange nacho akileta jeuri sasa ndio tunaanza namba wani

kwa hili tyu kesha huyu muhuni , na malaya mwivi wa wake za watu
 
Welcome to Silly Season!! DR. SLAA IS TOAST, CHADEMA CO. LIMITED HAS BEEN HIT WITH A POLITICAL RECESSION, IT NEEDS A STIMULUS TO SURVIVE..TUONGEE UKWELI, CHADEMA NI KAMPUNI AMBAYO KWA TZ IMEJIENDESHA VIZURI UKIONDOA MGOGORO WA UONGOZI WA WAMILI WA KAMPUNI "MBOWE, MTEI, NDESA $ & Co.) AGAINST (ZITO & THE KABWELANS)..

CHADEMA SET SLAA TO GAIN THE MOST GLORIFIED PRIZE IN TZ POLITICS, "RUZUKU" THATS RIGHT..WRESTLE A GOOD MARGIN, UHAKIKA WA RUZUKU CHECK OF 600M-1BILLION A MONTH..THATS RIGHT, RUZUKU...SO IF ANYBODY, MTZ WHO KNWS TZ BELIEVE SLAA WANTS TO BE PRESIDENT IS STRAIGHT UP DUMB, DUMB DIDA DUMB..SLAA IS GUARANTEED 12M/month Salary after this RUN for Foregoing a KARATU RUN-WHERE HE COULD OF WON; HIS RUNNING IS SIMPLY TO EXPLOIT UMAARUFU WAKE TO HELP THE CHADEMA CORPORATION GAIN THE RUZUKU CASH, WHICH OF COURSE WILL FIRST PAY OFF THE LOANED HELICOPTER MR. NDESA PESA INVESTED IN SLAA'S CAMPAIGN, THEN BROUGHT TO MTEI (FR. GOVERNOR DURING NYERERE ERA) .. SO THIS SCANDAL IS MORE LIKE A BAD BUSINESS MOVE FOR CHADEMA LLC RATHER THAN ARRESTED DEVELOPMENT FOR THE TZ PEOPLE..HE WAS GONNA LOOSE ANYWAY, THAT'S A FACT THAT ALL SLAA & WHOEVER WIFE THAT LADY IS, KNOW TOO WELL.
 
HAYA SASA TUACHE KUONGELA MASLAHI YA TAIFA NA TUONGELEE MAISHA BINAFSI KIDOGO.

LIPUMBA ATUAMBIE MKE WAKE NI NANI?

JK ATUMBIE ANA WATOTO WANGAPI WA NJE SASA? MAANA HATA IDADI HAJUI.JK ATUAMBIE MAMAKE RIDHIWANI NI NANI NA ILIKUWAJE? MAANAKE TUNAJUA SALMA SI MAMAKE.JK ATUAMBIE AMESHAFIKISHA WAKE WANGAPI SASA? MAANA KABINT KA WAZIRI WAKE ALIKAKAOA JUZ JUZ KANAPITISHA IDADI YA WAKE4 KWA MUISLAMU SAFI.JK ATUAMBIE SAFARI ZA NJE AZOENDA KUSTAREHE NA FEDHA ZETU, ANAFANYA NINI HUKU?? AU TUTOE DATA ZAKEE??

Labda nianze na kuuliza,baadaya huyu jamaa kuachwa na mkewe alichukua hatua gani?

je alitoa taarifa katika vyombo vya sheria,je aliwahi kushiriki khudumia watoto?

je alfanya jitihada za kuhakikisha mkewe anarudu nyumbani baada ya kuondoka na je tokea Mach mpaka ndo ameibuka leo kujua mkewe ameolewa sehemu nyingine?

Na kama yote ni ndio je yeye tokea Machi mpaka sasa anaishi na nani?

Unajua unaweza kununua kila kitu isipokuwa utu wa mtu,mtu unakubali kununliwa kama andazi?Lakini pia jamani tuanze na vimada vya Viongozi wetu wa chama cha Kijani tuanze hasa na viranja wenyewe!!

Mambo ya ndoa magumu, asilimia 99 ya ndoa za viongozi hazina uaminifu kwa sasa, hata hao wanaoishi katika ndoa mashaka matupu, Dodoma wakati wa Bunge kunageuka kambi ya makahaba, Kazi ya Slaa katika siasa za Tanzania haitaki tochi, wananchi watumie busara, suala la kupora mke wa mtu lina sehemu za kulishughulikia, sio kwenye sanduku la kura.

Tujadili umaskini wa Mtanzania kwa ujumla. Watu ambao tunategemea kuwa wameamka kumbe bado? Vichwa vya nazi,mpaka vipasuliwe!
 
Sasa ndio Slaa amepata unafuu; kesi iliyoko mahakamani haitakiwi kuzungumzwa; sasa nenda kamwage sera mkuu DR Slaa
 
DR. SLAA AFUNGULIWA MASHTAKA MAHAKAMA KUU LEO


MGOMBEA urais kwa tiketi ya CHADEMA, Dk. Willbrod Slaa (pichani), amefunguliwa kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaami, akidaiwa fidia y ash. bilioni moja kwa madai ya kunyang’anya mke wa mtu.

Kesi hiyo namba 122 ya mwaka 2010, ilifunguliwa leo mahakamani hapo na Aminiel Mahimbo kwa kupitia ofisi ya mawakili ya Amicus.

Mahimbo anadai kuwa, Dk. Slaa kamnyang’anya mkewe wa ndoa Josephine Mushumbusi.

Kwa kupitia nakala ya hati ya madai, Mahimbo anadai fidia ya sh. milioni 200 kutokana na hasara alizozipata baada ya mdaiwa huyo, kumtangaza mkewe wa ndoa Josephine kuwa mchumba wake na sh. milioni 800 ikiwa ni hasara ya jumla aliyopata.

Mlalamikaji huyo, anadai Septemba 7, 2002 alifunga ndoa na mwanamke huyo katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Ushirika wa Kijitonyama na kuishi maeneo mbalimbali ikiwemo Kimara, Baruti, Dar es Salaam.

Pia anadai katika maisha yao ya ndoa wamebahatika kuwa na watoto wawili ambao ni Upendo aliyezaliwa Mei Mosi, 2003 na Precious aliyezaliwa Machi 14, 2007.

Mahimbo alidai, ndoa kati yake na Josephine haijavunjwa na chombo chochote na kwamba, bado ni mke wake halali.

Kwa mujibu wa hati hiyo, Mahimbo alidai hivi karibuni, mkewe alikuwa na safari za mara kwa mara na aliamini ni za kikazi. Josephine ni mfanyabiashara ambaye anaendesha kampuni iitwayo Green World Clinic.

Alidai katika tarehe na mahali tofauti, Dk. Slaa alimtambulisha mwanamke huyo kuwa ni mkewe, suala ambalo si kweli.

Mlalamikaji huyo alidai, uhusiano uliopo kati ya watu hao wawili umemfanya adhalilike na kunyanyasika katika jamii na anaiomba mahakama kumzuia Dk. Slaa kuendelea kujihusisha kimahusiano na mkewe.

Anaiomba mahakama kumwamuru Dk. Slaa kumlipa bilioni moja na kulipa gharama za kuendeshea kesi.

Mahimbo amedai ameambatanisha na cheti cha ndoa na Josephine, picha za harusi, vyeti vya kuzaliwa vya watoto na nakala za vipande vya magazeti zilizopigwa wakati Dk. Slaa akimtambulisha mwanamke huyo kuwa ni mkewe.

Source: Michuzi

Hizi ni njama za ccm kumuwekea visiki Dr. Slaa asiendelee vizuri na kampeni za uraisi. Watanzania tufungue macho, tuone hila za CCM kung'ang'ania kutawala ili kuendeleza ufisadi na utawala mbovu. Watanzania wazalendo wote tuwe pamoja na Dr. Slaa wakati huu kumuunga mkono, na kulaani njama za CCM.

Kwa pamoja, hakika tutashinda kwa vile juhudi zetu ni za haki mbele ya Mwenyesi Mungu na wanadamu. Juhudi za CCM zimejaa uovu uliokithiri, na hakika watashindwa.



Watakwaa kisiki. Kesi za madai kama hizi si rahisi kuwekewa "Certificate of Urgency", kwa hiyo, wakili wa Slaa anaweza kuomba postponement, mpaka pale kampeni zitakapokwisha. Lakini pia anaweza kuomba kesi itupiliwe mbali kutokana na kwamba kesi tayari imefikishwa kwenye vyombo vya habari (Trial by Media), kwa hiyo uhuru wa mahakama umeingiliwa.

Ningekuwa mimi mwanasheria mbona ningechekelea. Mahimbo anawajibika kuthibitisha jinsi alivyoporwa mke wake. LOL These people are really STUPID!
 
Mwanamke huyu katambulishwa kama mchumba na hii ni kwa sababu Dr ni muwazi na mwenye kuupenda ukweli. Taratibu za kuoa ni kwamba mtu anapotambulisha uchumba kuna siku 30 mpaka 90 za yeyote mwenye pingamizi la kuzuia ndoa isifungwe. Hapo inatoa fursa kwa mtu kujitokeza na kuthibitisha kuwa mmoja wa maharusi watarajiwa ni mme/mke wa mtu. Na hipo ikithibitika kuwa ni kweli basi ndoa haitofungwa. Na wala hiyo sii jinai. Hii sasa ni issue ndogo sana kwa slaa maana dhamira yake ilikuwa safi mbele ya umma kutangaza uchumba hadharani ili akiwepo mwenye pingamizi la haki ajitokeze.
Tanzania wengi sana wamefunga ndoa na wake za watu kwa sababu hawakujitokeza hadharani kuonyesha umma wa waTz kwamba wanataka kuoa na yeyote mwenye pingamizi ajitokeze sababu wengi wa wanawake huficha ukweli wa maisha yao ya nyuma.
Mpaka hapo kwa mujibu wa sheria za kuoa za kikristo Dr hana hatia yoyote.
 
Hapo ndipo walipojifunga midomo kesi iko mahakamani Mahimbo hawezi tena kwenda kwenye media.
for the first time umeongea point tangu uzaliwe.... kweli there is an element of brilliance in every man!!!

Thanks
 
Mie bora nimpe kura yangu fisadi wa mapenzi mwenye uwezo wa kuongoza na uchungu wa nchi kuliko fisadi wa mali ya umma ambaye hana uchungu wa nchi yake na hana uwezo wa kuongoza.
 
Mwanamke huyu katambulishwa kama mchumba na hii ni kwa sababu Dr ni muwazi na mwenye kuupenda ukweli. Taratibu za kuoa ni kwamba mtu anapotambulisha uchumba kuna siku 30 mpaka 90 za yeyote mwenye pingamizi la kuzuia ndoa isifungwe. Hapo inatoa fursa kwa mtu kujitokeza na kuthibitisha kuwa mmoja wa maharusi watarajiwa ni mme/mke wa mtu. Na hipo ikithibitika kuwa ni kweli basi ndoa haitofungwa. Na wala hiyo sii jinai. Hii sasa ni issue ndogo sana kwa slaa maana dhamira yake ilikuwa safi mbele ya umma kutangaza uchumba hadharani ili akiwepo mwenye pingamizi la haki ajitokeze.
Tanzania wengi sana wamefunga ndoa na wake za watu kwa sababu hawakujitokeza hadharani kuonyesha umma wa waTz kwamba wanataka kuoa na yeyote mwenye pingamizi ajitokeze sababu wengi wa wanawake huficha ukweli wa maisha yao ya nyuma.
Mpaka hapo kwa mujibu wa sheria za kuoa za kikristo Dr hana hatia yoyote.



usituvunge hapa, huyu hana nia moja safi, sasa kusema kuwa kaishi na miaka mingi na kuzaa nae kisha kaamua kumuoa huyu huo usafi uko wapi ?

hivi si ukristo unasema katika amri ya sita, usizini ? au kuzini kuna tafsiri gani hadi slaa asiwe mzinifu aliishi maisha yake kwa uzinzi hadi akapata watoto wawili

na kuhusu huyu wa sasa anatembea nae na kulala nae hivi ukristo ndio unavyotufundisha mtu ukitaka kumuoa mufanye hivi kwenye majukwaa ya siasa na kutembea nae?


watu wa maadili mko wapi?

mm nampinga slaa kwanza kuutukanisha ukristo na biblia ambayo mm na wenzangu tunaiheshimu sana

pili kuidhalilisha familia ya huyo muhuni wake wa kwanza kwa kukaa na mtoto wa watu hadi kuzaa nae bila kumuoa

tatu kuiba mke wa mtu na kumtangaza hadharani
nne kuwakosea heshima wazee na wanandugu wa huyu muhuni mwenziwe mpya

tano kuwakosea heshima watanzania ambao waliamini kuwa dr Slaa(padri aaliestaafu baada ya kujigundua kuwa anapenda uzinzi) ni mfano mwema wa kuigwa ni mwenye uchungu na nchi na kutaka watu wa heshimu nchi na kuheshimiana kumbe sivyo

sita kuwakosea wanachadema kwa kuamini kuwa wamesimamisha mgombea anaeweza kuuzika baada yule wa WAPUKI(kundi la wavuta bangi la sehemu fulani walipokuwa vijana) lkn matokeo yake ni kiongozi hata bure hanunuliki


kwa kweli huyu ni muhuni tu
 
Back
Top Bottom