kila anayedai haki ametumwa na chadema,kwa maana nyingine CHADEMA NDO WAKOMBOZI WA WANYONGE? Sema mwenyewehalafu bado mnakataa kuwa Chadema wako nyuma ya huu mgomo.
Karibu rais wangu nilikuwa nasubilia kauli yako
Karibu rais wangu nilikuwa nasubilia kauli yako
sawa padri slaa, lakini hiyo dini yako inaruhusu kumuwacha binaadamu mwenzio afe kwa sababu tu yakutaka pesa??. huoni hii kuwa ni sawa na matendo ya kijambazi? hata wakipata hicho wanachokitaka lakini je wataweza kurudisha roho za watu zilizotoka!!! naamini wewe ni mfuasi wa yesu, je yesu anaweza kuwa na msimamo kama wako kwa jambo hili?
hiyo tume huru kwa lipi hasa na kwa gharama za nani? imo serikali iendelee na taratibu zake za kawaida kulishughulikia suala hili, ambaye hataridhika aende huko anakoona kunapatikana haki. we have important burning problems kuliko individuals na some isolated events.
Hebu tutamke vizuri biliooooooooooooooooooni 15?du wakati raia mlo mmja shida duama kweli aliyejuu msubirie chini
mabreka haya, naona hata uvivu kuyajibu.. typical mdanganyika na fikra zake fupifupi zisizo uhalisia.Nadhani uwezo wako wa kufikiri umefikia mwisho, na una ubinafsi uliokithiri. Kwa taarifa yako mambo aliyofanyiw Dr. Uli yanaweza kukukuta wewe, kama hayajamkuta ndugu au mpenzi wako. Ni vyema uchunguzi huru ufanyike na wahusika halisi wachukuliwe hatua kwa lengo la kuhakikisha kuwa unyama huu haujirudii tena kwa watu wengine.
halafu bado mnakataa kuwa Chadema wako nyuma ya huu mgomo.