Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka


Huyu mzee siku haaminiki na hakubaliki, mie nilitegemea aseme hizo Tshs 15 bn ziko wapi na ziko kwenye bajeti zipi? haya mambo yakutoa figures tu bila analysis tumekuchoka nayo kwani yaonyesha ndio style yake yakujitafutia umaarufu muda mrefu tu.

Si amesha wajua jamaa zake humu JF, wao ni kusifia kila analosema Slaa bila hata kutumia akili.
 
Mshahara wa mbunge more than 10ml,kwa kazi ipi?watu wanaokesha 24hrs wanashindwa kuwalipa vizuri wanataka wote wawe wanasiasa?
 
Mfano idadi ya madaktari nchini 1400,kila mmoja apate nyongeza 3 milioni. Jumla ni bilioni 4.2. "chai ya ikulu" mara tatu kiwango cha nyongeza daktari wanadai!
 
halafu bado mnakataa kuwa Chadema wako nyuma ya huu mgomo.
Dr Slaa amesema anashangaa kusikia serikali haina fedha za kuwaongezea madaktari huku katika bajeti ya mwaka huu ikitenga shilingi bilioni 15 kwa ajili ya chai tu.
 
Hana jipya, aendelee na mradi wake wa kuzunguka mitaani kupiga kelele maana bila hivyo mkono hauendi kinywani.

Kwenye kuchochea migomo amechemka, kwanza aseme BILION 1 kila mwezi zinazopelekwa CCBRT zinaishia wapi
Nani anazipeleka?
Kama ni serikali ya Mkwerre...........kamuulize huyohuyo anayezipeleka!

Usiwe kama yai lililochemshwa.....Unajua linavyoliwa....??:eek2::eek2:
 
Jamani, hivi ni kitu gani kinasababisha serikali kuwa mtuhumiwa number moja? nani anaweza akajustify hii kitu pls?
Umekwishaambiwa kuwa kabla ya kutekwa, Dr Uli alikuwa na ofisa usalama wa Ikulu, na mtekaji ni RCO wa kanda maalum ya kipolisi Dar. Serikali inatuhumiwa kwa kuwa baada ya utekaji huyo ofisa wa Ikulu hakufanya juhudi zozote kujua hatma ya Dr Uli, na huyo mtekaji ndiye kinara wa tume inayochunguza tukio hilo. Unataka uthibitisho gani wa serikali kuhusika zaidi ya huo? Think and behave like a JF member.
 
Nyie mnajua huyo Slaa alipiga vikombe vingapi alipoenda ikulu? Na akaomba na biskuti ya kuchovea.

you are the most stupid guy in Tanzania.We cant blame you because you have a retarded mind..You better go and start standard 1 class.
 
Dr. amenena jana nilishamnaga sana kwa majibu ya waziri kombani na inaonekana serikali haitaki lizungumuziwe publicly
 
Umekwishaambiwa kuwa kabla ya kutekwa, Dr Uli alikuwa na ofisa usalama wa Ikulu, na mtekaji ni RCO wa kanda maalum ya kipolisi Dar. Serikali inatuhumiwa kwa kuwa baada ya utekaji huyo ofisa wa Ikulu hakufanya juhudi zozote kujua hatma ya Dr Uli, na huyo mtekaji ndiye kinara wa tume inayochunguza tukio hilo. Unataka uthibitisho gani wa serikali kuhusika zaidi ya huo? Think and behave like a JF member.

Kuthink sio lazima kuwe kwa namna moja. kwa maelezo yako, kama kuwapo kwa huyo ofisa usalama wa Ikulu ni sababu ya kuifanya serikali kuwa Mtuhumiwa number moja basi na chama cha madaktari kinatakiwa kuwa mtuhumiwa pia sababu DR Uli alikuwa na DR mwenzake ambaye na yeye hakuchukua hatua zozote zile baada ya DR kutekwa, sawa sawa?
 
it is funny how mdanganyika mind's work..one minute <based on ushabiki, of coz> anashadadia mtu mmoja anaposhauri iundwe tume kuchunguza some isolated event < tume ni pesa ya ziada maana kuna taratibu za kiserikali ambazo tayari zinaendeleza regarding the same, kisheria >, next minute analalama kuhusu 40 mil/ day ya chai.
 
halafu bado mnakataa kuwa Chadema wako nyuma ya huu mgomo.

Kwa hivyo si ruxa cdm kutoa maoni kwa chochote kinachotokea hapa nchini
 
Back
Top Bottom