Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

Una wazimu sana wewendio buku mbili zimekutoa utu; narudia tena tu kipato changu halali kinanitosha kuendesha maisha; wewe unaonekana kabisa unaganga njaa kwa mgongo wa siasa unajua fika ukweli wa maneno yangu

Chama
Gongo la mboto DSM

mkuu, kwani mbuzi hashibi na kutosheka? wewe sawa na mbuzi? ukumbuke kwamba jirani yako akiwa na njaa wee huna amani wala utulivu! Ukikua utaacha!
 
mkuu, kwani mbuzi hashibi na kutosheka? wewe sawa na mbuzi? ukumbuke kwamba jirani yako akiwa na njaa wee huna amani wala utulivu! Ukikua utaacha!

Mkuu;
kama ni utetezi wa nyonge tafuteni mwingine msilaghaiwe na akina Dr. Slaa huyu ni mmoja wa hao mbuzi uliyemtolea mfano.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu;
kama ni utetezi wa nyonge tafuteni mwingine msilaghaiwe na akina Dr. Slaa huyu ni mmoja wa hao mbuzi uliyemtolea mfano.

Chama
Gongo la mboto DSM

Kamateni kichaa aliyetoroka Mirembe
 
Kiongozi wa upinzani nchini na Katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa amelaani vikali kushambuliwa na kuteswa kiongozi wa madaktari nchini Dr Ulimboka Stephen.

Kiongozi huyo amesema hakuna njia zaidi ya kuunda tume huru kuchunguza tukio zima la utekaji kwani Mtuhumiwa namba moja ni serikali na kamwe haiwezi kujichunguza yenyewe. Dr. Slaa amesema vinginevyo matokeo ya tume hiyo ya serikali ambayo si huru hayatatambuliwa wala kukubaliwa na wananchi.

Dr Slaa amesema anashangaa kusikia serikali haina fedha za kuwaongezea madaktari huku katika bajeti ya mwaka huu ikitenga shilingi bilioni 15 kwa ajili ya chai tu.


Source: Mwanahalisi

Serikali yetu mdebwedo, imeharibiwa na popobawa
 
Kamateni kichaa aliyetoroka Mirembe

Molemo
Isije kuwa wewe ndiye kichaa umetoroka hospitali ya vichaa Lutindi; itabidi tukuchunguze; ushauri wa bure rudi kamalizie matibabu.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mhuni ni mhuni tu hajifichi?

Mtu kusema ukweli ni uhuni? nimeshakwambia njoo na hoja longolongo weka pembeni; nenda kalale kesho pitia Kinondoni kamata posho yako halafu rudi kwenye mtandao; usilielie kama binti kigori, hapa tunajadili amani kwa maslahi ya taifa, wewe njoo kwa mtindo wowote unaoujua unafiki, uwongo, majungu na fitina lakini tutakuhabarisha tu bila wasiwasi wowote mpaka akili yako itulie

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Back
Top Bottom