Dr Slaa afunga barabara Mwanza

kwa kweli dr slaa anapendwa,asiekubali hilo ana wivu wa kike.
 
Vijiwe mbalimbali mwaza Wanasema adam ibrahim chagulani amefukuzwa uanachama kwa sababu ya jina lake na imani yake.
 
Miaka ya nyuma tulikuwa tukisikia kiwete anapindapinda huko barabarani tulikuwa tunatoka na kupiga vigelegele. Siku hizi tukisikia anapinda mjini tunaenda kumzomea.
Maswali yangu ni haya: Je ni kwa nini viongozi hawajifunzi na kuona kuwa kwa sasa watu wanajua ni nani kiongozi wa ukweli? Huyu baba anajipitia ila wenyeji wanafurahishwa na matendo yake na nia yake ya kutukomboa. Kwa nini tusimshangilie?

naye atachuja kabla ya 2015.
 
Ninaamini mzee huyu kupitia hekima aliyonayo atafaulu kuwashuha vijana na muhemko wa kisiasa walio nao. I trust you DR!!!
 
Katika jambo lisilotarajiwa na wengi, Dr Slaa amepita katikati ya maduka hapa jijijini Mwanza huku akiamsha taharuki kwa mamia ya watu wakitaka kumwona. Dr Slaa akiwa ameambatana na mbunge wa Nyamagana mh Wenje alipata wakati mgumu baada ya kila mtu kutaka kumsalimia. Nimeshuhudia magari yakipiga honi na abiria walikuwa wanashuka kwenye daladala wakikimbilia eneo aliopo. Kesho kuna uchaguzi wa meya wa jiji la Mwanza, yawezekana ujio wa Dr ni mahususi kwa shughuli hiyo.

Jamani mliopo Mwanza mnijuze baada ya wale madiwani wawili kuvuliwa sasa CDM imebakiwa na madiwani wangapi,CCM wana wangapi na CUF wangapi?
 
kwani umeambiwa na mods kila kitu ni cha kujadili humu mkuu. Hiyo ni taarifa tu. Si unaona wengine wanavyoshukuru kwa taarifa?

mwambie afananishe na ujio wa mtoto wa mkulima atapata tu cha kujadili
 
Katika jambo lisilotarajiwa na wengi, Dr Slaa amepita katikati ya maduka hapa jijijini Mwanza huku akiamsha taharuki kwa mamia ya watu wakitaka kumwona. Dr Slaa akiwa ameambatana na mbunge wa Nyamagana mh Wenje alipata wakati mgumu baada ya kila mtu kutaka kumsalimia. Nimeshuhudia magari yakipiga honi na abiria walikuwa wanashuka kwenye daladala wakikimbilia eneo aliopo. Kesho kuna uchaguzi wa meya wa jiji la Mwanza, yawezekana ujio wa Dr ni mahususi kwa shughuli hiyo.

Dr Wilbroad Slaa ni kiongozi wa watu anayefahamu fika matatizo ya Watanzania ni kiongozi shujaa asiyedanganyika haata kwa gharama gani real he's President inside of the Tanzania's heart.Mie binafsi namkubali sana Dr Slaa hana makuu hana majigambo he's so simple huyu mzee real.Ndio maana kila mtu alikuwa anataka kumpa mkono Lol!! hadi raha kiongozi wa watu big up pia Mkuu kwa kutufahamisha.
 
Safi sana kwa Tanzania hakuna kabisaaa kiongozi kama DR Wilbroad Peter Slaaa nafahamu kina Zomba,Ritz,Pasco watabishana hapa kwa kuwa wao wana kazi nzuri may be who knows lakini ukweli utabaki pale pale hakunaga,yaaani ni chaguo la watu/wanyonge waliopoteza matumaini aisee hata nashindwa kumuuelezea huyu Kamanda yaani hakuna wa kumrubuni ni shujaa wa anga,majini na nchi kavu kusema kweli alimalizaga
Can you guzy imagine huyu nani oooh yeah hili Gamba so called himself mtoto wa mkulima yes Pinda Kayanza alipata joto ya jiwe mwenyewe alitia akili mfukoni so lazima muelewe.
 
hiyo inaitwa CDM.........Ngojeni timu ya Mzee mzima manwenye ifike huko. sijui mtajificha uvunguni?


Hata pale kwake Monduli safari hii itamweka pembeni!
M4c haitawabakiza mafisadi kwa taarifa yako kijana weee!!
Soma alama ya nyakati!
 
Siasa zina vituko kueni mtayaona watakaopigwa mayai viza na hata kusukumwa ktk magari yaliyozimwa km Jairo, Mrema kina mama wakavua khanga wakamtandikia apite, vijana enzi hizo tukambeba mpinga MaGobacholi na akaqa wa kwanza kuishinda Serikali kuhusu mgombea Binafsi
@ masika na mbu wake
 
Wengi !
Wote ni wapiga kura?
Kwa ninavyoijua mwanza Vibaka Wanapenda sana misongamano ya watu ili wapige kazi,
Mwanza jobless kibao, Abuu Gupta tu huwa anajaza watu kibao, asubuhi mpaka jioni
Watu Wa mwanza huwa wanajazana kuanzia asubuhi kuangalia lile gari (kijiko) wakati Wa matengenezo ya Barabara
Note:

Sasa angalia sana isije ikawa tabia yetu ya kushangaa na ushamba wetu ukadhani na dr alikuwa anapokewa
 
Back
Top Bottom