Dr Slaa afanyiwa hujuma Morogoro

Tupe na picha huyo meneja hapa na detail zake tujue taasisi yetu ya VETA inaongozwa na mtu gani.
 
Inasikitisha pale wafanyabiashara wanapokubali kutumika kisiasa hata kwenye mambo yasiyonatija kwa taifa.....Hivi katika maswali ya kawaida kabisa taratibu za kupata chumba zikojre?Ilikuwaje Reception ampe Dr. Ufunguo za chumba kama chumba kilikuwa hakijalipiwa au kimelipiwa na mtu mwingine?Kazi ya Meneja na reception ni nini?Hopeless kabisa :eek2:
 
Hapo ndo utaona namna ccm walivoishiwa cause mbinu hizi ni real low! badala ya kurudisha nyuma harakati ndo vitendo kama hivo vinawaamsha zaidi wanachi
 
Huyo Meneja namtafuta mpaka nimpate, subirini miezi 6 mtapata habari zake zitakavyosomeka.

Namfahamu vizuri huyo jamaa. Sidhani kama ni mtu wa kuweza kufanya hivyo. Nadhani kutakuwa na tatizo la mawasiliano
 
Hapo ndo utaona namna ccm walivoishiwa cause mbinu hizi ni real low! badala ya kurudisha nyuma harakati ndo vitendo kama hivo vinawaamsha zaidi wanachi
Huyo hotel meneja angeonekana wa maana kama angepandisha bei ya chumba ili apate Presidential price. Ndio maana bongo ni vigumu sana kutofautisha meneja wa hotel, mhudumu wa hotel, mhudumu wa bar na meneja wa bar; wote akili zao sawa tu.
 
hii sio sawa hata kidogo, iweje wapokee malipo ya chumba halafu baadae wadai kimeshalipiwa?
 
Very primitive survival tactics, ukweli ni CCM inakwenda na maji pengine hata kabla 2015 God willing. Ushauri wangu kwa CDM ni kununua generator ndogo ya kuendesha mikutano pindi this ccm goons wanazima umeme kwa makusudi.
 
Nimeangalia huo umati unaosemwa na Molemo kwenye gazati la Nipashe imenibidi nicheke mkutano wa Dr Slaa anahotubia watoto wadogo...halafu umeme kukatika hakuna uhusiano wowote na mkutano wa Dr Slaa unataka kutuambia Mikumi umeme uwa haukatiki, mbona jana baadhi ya maeneo ya Kawe kulikuwa hakuna umeme napo kulikuwa na mkutano wa Dr Slaa.
 
Last edited by a moderator:
Nimeangalia huo umati unaosemwa na Molemo kwenye gazati la Nipashe imenibidi nicheke mkutano wa Dr Slaa anahotubia watoto wadogo...halafu umeme kukatika hakuna uhusiano wowote na mkutano wa Dr Slaa unataka kutuambia Mikumi umeme uwa haukatiki, mbona jana baadhi ya maeneo ya Kawe kulikuwa hakuna umeme napo kulikuwa na mkutano wa Dr Slaa.
Bora uhutubie hata mtu mmoja mwenye moyo wa mabadiliko kuliko umati wa maelfu ya watu walioletwa na Malori aina ya Fuso kama inavyo fanya chama kilichochakaa cha CCM
 
•Ukiona matatizo yanakuandama basi ujue neema inakaribia
•Ukiona kiza kinaongezeka basi ujue ndio kunapambazuka

Go on Dr wa Ukweli Slaa!
 
yaani elimu ikiwa ndogo hata ujitahidi kujichanganya na wasomi utajulikana tu,mapinduzi ya kijani kwisha,mahangaiko tu ndo yamebaki
 
Nampa pole sana huyo manager alivyoharibu CV yake sijui akitimuliwa kibaurua chake hapo VETA atatokea wapi. gesti bubu sijui
 
This is not politics as i know bali ni ushamba! Naomba nitoe maoni yangu kuhusu katiba mpya kwa Jaji makini na Waziri Mkuu Mstaafu Mheshimiwa Warioba, naamini wanachukua pia maoni kwenye mitando makini kama huu. Ni kwamba nafasi za ukuu wa mikoa na wilaya zisiwe tunu kwa maswahiba wa mteuzi au wanasiasa walikataliwa baada ya kuboronga kwenye majimbo yao bali ziwe ni nafasi za kuajiriwa na wapewe watendaji wenye sifa na uwezo na sio wanasiasa failures watakaokuwa tayari kufanya lolote ili tu kumfurahisha aliyewateua au kulinda chama chao tofauti na hapo ZIFUTWE! Trust me, the hotel manager ametumiwa tu kama robot!
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom