Dr. Slaa afanya mazungumzo na Balozi wa Marekani

[/i]

wakati ule mkapa anauwa wanamageuzi wa pemba kwa risasi za moto mlikuwa wapi?????

Kwani Zanzibar ni mkoa mmojawapo Tanganyika au ni nchi huru? Kama ni mkoa sawa, lakini kama ni nchi isiyo huru imejitakia yenyewe kutokuwa huru hivyo wakiuawa na wabara wasilalamike ni ujinga wao wa kukabidhi uhuru wao kwa wabara!.
 
Lakini si unakumbuka kuwa Al Gore aliruhusiwa angalau kwenda mahakamani kuhoji matokeo? si unakumbuka kuwa wizi/udanganyifu ulifanywa na chama pinzani na wala haukufanywa na tume ya uchaguzi au vyombo vya ulinzi na Usalama? hapa kwetu ulikuwa ni uhuni mtupu, kuanzia kwenye kauri za sisiem, tume, msajiri, majeshi, jaji mkuu mpaka kwa fisadi rais mstaafu!!!

marekani wizi wao ulifanyika katika mfumo wa electronikia wa uhesabuji wa kura lakini katika marekani hakuna mfumo wowote utaotumika bila ya CIA kuwa na fununu ya jinsi unavyofanya kazi, pili job bush ambaye alikuwa gavana katika jimbo la texas pia aliwahi kudokeza ya kuwa kaka yake angeshinda kwa namna yoyote na yeye pia inasemekana ni member wa CIA kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa CIA walihusika pia
 
nadhani ni wakati wa watanzania kuacha tofauti zetu na kufanya kazi kwa bidii. marekani ni taifa kama mataifa mengine kwahiyo sidhani kwamba wao ndio wanaotupa maelekezo ya kufanya dhidi juu ya nchi yetu.sisi tuko huru na tunajua ya kuwa chaguzi wetu haukuwa huru na haki laikini kwa faida ya taifa letu tuvunje makundi , mbona wao BUSH alipomdhulumu all gore sisi hatukushirikishwa kwenye mahamuzi yao. tusiwe na fikara za kikoloni . tufute tofauti zetu tujenge nchi yetu ni wakati wa kujenga mahusiano mema kwa vyama vyote vya kisiasa

kumbuka kwamba marekani ni mshirika mkubwa wa maendeleo ya Tz.hivyo wanahusika kwa njia moja au nyingine ktk kuendesha serikali yetu.sio ukoloni bali ni hali halisi.kikwete mwenyewe hutoa reference za marekani itafanya hivi or vile.ni lazima Obama ajue kuwa yule rais wa kiafrika wa kwanza kufika oval office amehusishwa au kutuhumiwa kwa uchakachuaji.
 
nadhani ni wakati wa watanzania kuacha tofauti zetu na kufanya kazi kwa bidii. marekani ni taifa kama mataifa mengine kwahiyo sidhani kwamba wao ndio wanaotupa maelekezo ya kufanya dhidi juu ya nchi yetu.sisi tuko huru na tunajua ya kuwa chaguzi wetu haukuwa huru na haki laikini kwa faida ya taifa letu tuvunje makundi , mbona wao BUSH alipomdhulumu all gore sisi hatukushirikishwa kwenye mahamuzi yao. tusiwe na fikara za kikoloni . tufute tofauti zetu tujenge nchi yetu ni wakati wa kujenga mahusiano mema kwa vyama vyote vya kisiasa

nani alikuambia kwamba tuko free? huku bado tunategemea misaada na wahisani! la msingi ni kuwa pressurerise ccm kuunda tume huru ya uchaguzi. na wewe huwezi ukasema ni wakati wa kujenga umoja huku hauja rekebisha jambo lililoleta mvunjiko. think twice
 
kwa vyovote vile kama marekani akisitisha misaada basi viongozi wetu sio wataoteseka bali ni yule mwananchi wa kijijini. leo mimi na wewe tunaweza kuishi ata kama nchi yetu ikisitishiwa misaada lakini kizazi cha masikini katika taifa letu kitateseka .kwa maslahi ya taifa letu nadhani ni vema tufanye chaguzi huu umepita na tugange yajayo. dr slaa bado ananafasi ya kujijenga kwani yeye ni katibu mkuu wa chama kitachokuwa na wabunge kama 50(+viti vya wakike ,maalum). mimi ni mshabiki wa haki daima lakini sitokuwa tayari kuunga mkono kauli na shinikizo la marekani ata kama kwa lengo zuri. daima naipenda tz na naheshimu tawala zilizopo pia nazikosoa lakini sitokubali kupokea amri ya kuishinikiza serikali yangu toka kwa wakoloni. ni bora nitawaliwe na kiongozi nisiyempenda kuliko kusalimu amri kwa marekani.
daima chaguzi za kibabe zina mwisho lakini uwezi kukwepa mabadiliko. pia tambua kuanguka kwa ccm ghafla kungeweza kuleta magonjwa ya moyo kwa makada wake na ata machafuko. nadhani tupeni kipindi cha kuwaandaa wana CCM kwa miaka 5 ,hapo itakuwa ni wakati ambao ata wao wanajua watashindwa na hakutakuwa na madhara makubwa. CHADEMA tambueni miaka 5 si mingi. msivuruge nchi mtayokuja kuitawala

CHADEMA Wananataka kuonyesha uongozi, siyo kutawala. Watawala ni hao masultani wa CCM....
 
Hujanishawishi bado kujenga mahusiano na CCM?! Tangu lini mjima akawa na uhusiano mwema na bepari?? Yaani napenda maisha yawe magumu zaidi na zaidi kwa miaka mi5 ijayo ili watanzania labda tujifunze kuwa kuikumbatia CCM ni maafa

Watanzania gani wajifunze wakati tayari walishafanya maamuzi!! Tusilaumiane bure kwa vile Shetani alikuwepo na akamtangaza rais,kimiujiza!!
 
Wadau kuna jamaa kanihabarisha kuwa leo asubuhi Mh. Dr. Slaa alionekana akipokewa na RSO wa ubalozi wa Marekani pale ubalozini. Bado hajafahamu nini kilizungumzwa katika mkutano huo.

Mwenye habari zaidi atujuze.

By the way, Serikali ya marekani imeshampongeza JK kwa ushindi?

Marekani na Uingereza wakishindwa kumtambua JK basi tunaingia serikali ya umoja wa kitaifa. Slaa raisi JK makamu wa kwanza wa raisi
 
nadhani ni wakati wa watanzania kuacha tofauti zetu na kufanya kazi kwa bidii. marekani ni taifa kama mataifa mengine kwahiyo sidhani kwamba wao ndio wanaotupa maelekezo ya kufanya dhidi juu ya nchi yetu.sisi tuko huru na tunajua ya kuwa chaguzi wetu haukuwa huru na haki laikini kwa faida ya taifa letu tuvunje makundi , mbona wao BUSH alipomdhulumu all gore sisi hatukushirikishwa kwenye mahamuzi yao. tusiwe na fikara za kikoloni . tufute tofauti zetu tujenge nchi yetu ni wakati wa kujenga mahusiano mema kwa vyama vyote vya kisiasa

Mkuu mwenye fikara za kikoloni ni raisi wako JK, maana ametuhahakikishia bila wawekezaji hakuna maendeleo!!! Dhana ambayo mimi napingana naye hadi ukweli ni kuwa tumeshindwa kutumia rasilimali na bongo zetu kujikwamua katika umasikini wetu!!!

Kumbuka umasikini ni wetu na njia za kuuondoa zitaendana na mazingira yetu, iwapo tutaruhusu akili zetu zifanye kazi!!! Nilicheka sana juzi niliangalia documentary moya ya TCB1; jinsi wakazi wa tabora wananvyolalamika shida ya maji waliyo nayo kwa zaidi ya miaka 30!!! Ukiangalia wamechagua juzi tu...!!!:A S angry::doh:
 
Hujanishawishi bado kujenga mahusiano na CCM?! Tangu lini mjima akawa na uhusiano mwema na bepari?? Yaani napenda maisha yawe magumu zaidi na zaidi kwa miaka mi5 ijayo ili watanzania labda tujifunze kuwa kuikumbatia CCM ni maafa

Coby: Hata mimi nataka yawe hivyo magumu magumu sana ili yawafundishe wasiofundishika.

Vilaza wapo wengi.
 
nadhani ni wakati wa watanzania kuacha tofauti zetu na kufanya kazi kwa bidii. marekani ni taifa kama mataifa mengine kwahiyo sidhani kwamba wao ndio wanaotupa maelekezo ya kufanya dhidi juu ya nchi yetu.sisi tuko huru na tunajua ya kuwa chaguzi wetu haukuwa huru na haki laikini kwa faida ya taifa letu tuvunje makundi , mbona wao BUSH alipomdhulumu all gore sisi hatukushirikishwa kwenye mahamuzi yao. tusiwe na fikara za kikoloni . tufute tofauti zetu tujenge nchi yetu ni wakati wa kujenga mahusiano mema kwa vyama vyote vya kisiasa
Mimi siafiki katika kuusamehe uhaini huu uliofanywa na vyombo vilivyotarajiwa kuuzuia yaani serikali ikitumia usalama wa Taifa. Kusamehe bila ya kuweka wazi uoza uliotendeka ni sawa na kupalilia uhalifu mwingine katika chaguzi zijazo maana CCM ni manyang'au na mafisadi wenye kiu isiyokwisha ya kuendelea kutawala milele. Ni muhimu Tukayaweka madhambi yao hadharani ili wahuni hawa wasipewe heshima wasiyostahili.
Kwa kawaida kusamehe na kusahau hufanywa kwa mtu aliyekubali na kujutia kosa; lakini CCM ni vichwa maji na kitendo chochote cha kukubali na kuusamehe uharamia wao watakitafsiri kama ni unyonge wa umma na watapanga tena na tena kuiba kura.
Mifano ni mingi lakini nitatoa miwili, Zanzibar kamwe isingekuwa na serikaali ya umoja wa kitaifa kama CUF wangenyenyekea kwa ajili ya "amani na utulivu" wa nchi wala Kenya
isingekuwa na Katiba mpya wala serikaliya msetokama Raila angemezea uhaini uliofanywa na genge la Mwai Kibaki. Tena ikumbukwe kwamba kilichofaanyika na CCM na usalama wa taifa ni kosa kubwa mno la kupindua serikali halali na kuiweka ya bandia isiyokuwa na ridhaa ya wananchi. Wadhulumiwa hapa ni wananchi walioporwa na kubadilishiwa uamuzi wao na si Dr. Slaa ambaye kura yake ilikuwa moja tu kati ya mamilioni ya walioibiwa.
 
Yaani na kwenda kuhemea vibaba kote, kule kwao na kujisifu kwa hilo, bado mhemea vibaba hajapongezwa tu na USA kwa kuteuliwa kuendelea na biashara ya kuhemea vibaba? i do not believe this!
 
Tunashukuru kwamba Jakaya Kikwete ameshinda uchaguzi. Kwa kushinda Uchaguzi, Dr. Jakaya Kikwete ameiokoa Nhci kutokana na Maadui wa Mwenyezi Mungu ambao walikuwa wameandaa njama za kifanya Tanzania iwe Nchi ya wanywa gongo. Nimemsikia huyu Dr. Slaa akisema,katika mkutano Keko,kwamba akichaguliwa,Watanzania watakunywa gongo kama wanavyotaka. Ataviondoa vizuizi vyote vinavyowekwa na Serikali ya CCM.
Labda kwa vile alikuwa anaongea Kawe karibu na kambi ya Jeshi ya Lugalo,labda alikuwa anataka kuwafurahisha wanajeshi ambao hawana kawaida ya kufuatilia Uchaguzi,ambao wanakunywa pombe tu in the run up to the elections. Hawa wanajeshi lazima waeleww kwamba watumishi wa Taifa hawapaswi kuwa walevi.
Dr. Slaa amesema ataigeuza Tanzania kuwa Taifa la wanywa gongo,lakini vyombo vya habari havikutangaza. Nisingekwenda Kawe siku ile,nisingefahamu Dr. Slaa ameitangaza Tanzania kuwa Taifa la wanywa gongo. Jakaya Kiwete angesema maneno kama yale,kwamba anataka Watanzania wanywe gongo,media ingetangaza,halafu watu wengi wangerudisha kadi za CCM. Kwa hiyo nani anasema Dr. Slaa hakupendelewa katika Uchaguzi uliopita?

'' All man are born equal,but with slickness,you can go ahead. The Android will help you to go ahead.''

Unazungumza na akili timamu?
 
nadhani ni wakati wa watanzania kuacha tofauti zetu na kufanya kazi kwa bidii. marekani ni taifa kama mataifa mengine kwahiyo sidhani kwamba wao ndio wanaotupa maelekezo ya kufanya dhidi juu ya nchi yetu.sisi tuko huru na tunajua ya kuwa chaguzi wetu haukuwa huru na haki laikini kwa faida ya taifa letu tuvunje makundi , mbona wao BUSH alipomdhulumu all gore sisi hatukushirikishwa kwenye mahamuzi yao. tusiwe na fikara za kikoloni . tufute tofauti zetu tujenge nchi yetu ni wakati wa kujenga mahusiano mema kwa vyama vyote vya kisiasa

Tukiheshimiana mie nadhani hakutakuwa na tofauti na pia tutajenga nchi imara na kila raia atafurahia matunda ya UHURU na sio JK na wenzie
 
Back
Top Bottom