It would be incredibly foolish of President Obama to associate himself with this government.
nadhani ni wakati wa watanzania kuacha tofauti zetu na kufanya kazi kwa bidii. marekani ni taifa kama mataifa mengine kwahiyo sidhani kwamba wao ndio wanaotupa maelekezo ya kufanya dhidi juu ya nchi yetu.sisi tuko huru na tunajua ya kuwa chaguzi wetu haukuwa huru na haki laikini kwa faida ya taifa letu tuvunje makundi , mbona wao BUSH alipomdhulumu all gore sisi hatukushirikishwa kwenye mahamuzi yao. tusiwe na fikara za kikoloni . tufute tofauti zetu tujenge nchi yetu ni wakati wa kujenga mahusiano mema kwa vyama vyote vya kisiasa
wewe ni mtu hatari sana asie na uchungu na watu pamoja na nchi yetu!!!! Yaani unaomba mungu wananchi wapate shida na dhiki ili waichukie serikali yao halafu wewe ulieomba matatizo hayo uje baadae kuomba kura za hawa wananchi ili uingie madarakani!!!!
mtu wa namna hii ni adui kwa taifa anaengoja shida ziendelee kuwepo kwa manufaa yake!!! Kwani huwezi kuchangia maendeleo ya nchi yako bila ya kuwa kiongozi?
watu wengine haki ya mungu wanatia kichefuchefu!!!!
UN wamempongeza JK hiyo inatosha kabisa
marekani kama wana maslahi na serikali ya ccm ni lazima watampongeza.wameshanunua eneo la kigamboni kwa hiyo slaa anapoteza muda kwa sababu angechaguliwa asingekubali kigamboni iuzwe kwa vyandarua.pili marekani si taifa la kuliamini marafiki wake wa zamani ndio maadui zake wa sasa na marafiki wa sasa ndio maadui wa baadae.
akili mu kichwa.
wewe amka nani alikuwaambia tupo huru huu ukoloni mamboleo unaofanywa na CCM wewe huoni? Kweli asijua maana haambiwi maana.nadhani ni wakati wa watanzania kuacha tofauti zetu na kufanya kazi kwa bidii. marekani ni taifa kama mataifa mengine kwahiyo sidhani kwamba wao ndio wanaotupa maelekezo ya kufanya dhidi juu ya nchi yetu.sisi tuko huru na tunajua ya kuwa chaguzi wetu haukuwa huru na haki laikini kwa faida ya taifa letu tuvunje makundi , mbona wao BUSH alipomdhulumu all gore sisi hatukushirikishwa kwenye mahamuzi yao. tusiwe na fikara za kikoloni . tufute tofauti zetu tujenge nchi yetu ni wakati wa kujenga mahusiano mema kwa vyama vyote vya kisiasa
Bado upepo wa kisiasa Tanzania haijatulia....hata JK na CCM yake naamini bado hawajajua next move ya Dr. Slaa!! Jk anaweza kuwa surprised, tusubiri tuone!!
nadhani ni wakati wa watanzania kuacha tofauti zetu na kufanya kazi kwa bidii. marekani ni taifa kama mataifa mengine kwahiyo sidhani kwamba wao ndio wanaotupa maelekezo ya kufanya dhidi juu ya nchi yetu.sisi tuko huru na tunajua ya kuwa chaguzi wetu haukuwa huru na haki laikini kwa faida ya taifa letu tuvunje makundi , mbona wao BUSH alipomdhulumu all gore sisi hatukushirikishwa kwenye mahamuzi yao. tusiwe na fikara za kikoloni . tufute tofauti zetu tujenge nchi yetu ni wakati wa kujenga mahusiano mema kwa vyama vyote vya kisiasa[/QUOT
kwa hali ya kawaida lazima tubabaikie tamko la wamarekani.kwa jk alipoipeleka nchi wamarekani wananguvu kubwa katika uchumi na usalama wa tanzania.kwa mantiki hiyo ni lazima tupeleleze kwa makini kama wanasupport yaliofanyika ktk uchaguzi.na sidhani kama ulikua realistic hata kuwaza kushirikishwa ktk mambo ya marekani maana hata wangetushirikisha kwa hali ya tanzania ilivyo tungeinfluence nini?kubali au kataa, the fact remains kwamba marekani is one of the few world leaders and tanzania is one of the many followers
nadhani ni wakati wa watanzania kuacha tofauti zetu na kufanya kazi kwa bidii. marekani ni taifa kama mataifa mengine kwahiyo sidhani kwamba wao ndio wanaotupa maelekezo ya kufanya dhidi juu ya nchi yetu.sisi tuko huru na tunajua ya kuwa chaguzi wetu haukuwa huru na haki laikini kwa faida ya taifa letu tuvunje makundi , mbona wao BUSH alipomdhulumu all gore sisi hatukushirikishwa kwenye mahamuzi yao. tusiwe na fikara za kikoloni . tufute tofauti zetu tujenge nchi yetu ni wakati wa kujenga mahusiano mema kwa vyama vyote vya kisiasa
msisahau kufanya kazi zenu jaman