Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,146
Na akipongezwa mtasema nini.
Marekani sio watu wa hovyo hovyoo..Wampongeze nani?Machizi ya kura haya na mwenyekiti wao wa NEC na domo lake lilivomlegea kama kalishwa ndimu
Na akipongezwa mtasema nini.
nadhani ni wakati wa watanzania kuacha tofauti zetu na kufanya kazi kwa bidii. marekani ni taifa kama mataifa mengine kwahiyo sidhani kwamba wao ndio wanaotupa maelekezo ya kufanya dhidi juu ya nchi yetu.sisi tuko huru na tunajua ya kuwa chaguzi wetu haukuwa huru na haki laikini kwa faida ya taifa letu tuvunje makundi , mbona wao BUSH alipomdhulumu all gore sisi hatukushirikishwa kwenye mahamuzi yao. tusiwe na fikara za kikoloni . tufute tofauti zetu tujenge nchi yetu ni wakati wa kujenga mahusiano mema kwa vyama vyote vya kisiasa
Ninafarijika sana na kila move ya Dr. Slaa.
Naamini rais wetu wa ukweli anatujali sana. Anafahamu tupo nyuma yake ndo maana anajiamini. sisi tunajiamini kwa sababu yake.
Long live Slaa. mjenzi makini wa taifa
nadhani ni wakati wa watanzania kuacha tofauti zetu na kufanya kazi kwa bidii. marekani ni taifa kama mataifa mengine kwahiyo sidhani kwamba wao ndio wanaotupa maelekezo ya kufanya dhidi juu ya nchi yetu.sisi tuko huru na tunajua ya kuwa chaguzi wetu haukuwa huru na haki laikini kwa faida ya taifa letu tuvunje makundi , mbona wao BUSH alipomdhulumu all gore sisi hatukushirikishwa kwenye mahamuzi yao. tusiwe na fikara za kikoloni . tufute tofauti zetu tujenge nchi yetu ni wakati wa kujenga mahusiano mema kwa vyama vyote vya kisiasa
Marekani kupitia kwa balozi wake tayari wamempongeza JK ilikuwa ijumaa ya wiki iliyopita
kwa vyovote vile kama marekani akisitisha misaada basi viongozi wetu sio wataoteseka bali ni yule mwananchi wa kijijini. leo mimi na wewe tunaweza kuishi ata kama nchi yetu ikisitishiwa misaada lakini kizazi cha masikini katika taifa letu kitateseka .kwa maslahi ya taifa letu nadhani ni vema tufanye chaguzi huu umepita na tugange yajayo. dr slaa bado ananafasi ya kujijenga kwani yeye ni katibu mkuu wa chama kitachokuwa na wabunge kama 50(+viti vya wakike ,maalum). mimi ni mshabiki wa haki daima lakini sitokuwa tayari kuunga mkono kauli na shinikizo la marekani ata kama kwa lengo zuri. daima naipenda tz na naheshimu tawala zilizopo pia nazikosoa lakini sitokubali kupokea amri ya kuishinikiza serikali yangu toka kwa wakoloni. ni bora nitawaliwe na kiongozi nisiyempenda kuliko kusalimu amri kwa marekani.maneno yako ni mazuri, lakini kwa vile serikali yetu inaishi kwa kutegemea misaada, na marekani ndio wanaotoa Oksijeni ya $$ zinazompa Kikwete kiburi cha kuiba kura zetu, tuna haja ya kuwahusisha. Kikwete katika moja ya kampeini zake alisema kuwa akaienda nje huwa anaenda kuhemea. Sasa atakosa kwa kwenda kuhemea iwapo marekani itakata mpira wa okisjeni hiyo. Serikali yake itakolapsi na haki yetu itaturudia tena. Obama alishasema siku nyingi kuwa hatavumilia utawala wa kimabavu katika bara hili la Afrika. Kikwete alikuwa anaaminika kuwa alichaguliwa na watu kwa furaha na kujizolea kura halali 80%, leo akishajulikana ni mwizi wa kura basi ndiyo mwisho wake. Kumbuka kuwa Marekani ikisema neno, basi ulaya ya magaharibi yote, Japan na India zitafuata; tutabakiwa na China na Urusi tu.
kwa vyovote vile kama marekani akisitisha misaada basi viongozi wetu sio wataoteseka bali ni yule mwananchi wa kijijini. leo mimi na wewe tunaweza kuishi ata kama nchi yetu ikisitishiwa misaada lakini kizazi cha masikini katika taifa letu kitateseka .kwa maslahi ya taifa letu nadhani ni vema tufanye chaguzi huu umepita na tugange yajayo. dr slaa bado ananafasi ya kujijenga kwani yeye ni katibu mkuu wa chama kitachokuwa na wabunge kama 50(+viti vya wakike ,maalum). mimi ni mshabiki wa haki daima lakini sitokuwa tayari kuunga mkono kauli na shinikizo la marekani ata kama kwa lengo zuri. daima naipenda tz na naheshimu tawala zilizopo pia nazikosoa lakini sitokubali kupokea amri ya kuishinikiza serikali yangu toka kwa wakoloni. ni bora nitawaliwe na kiongozi nisiyempenda kuliko kusalimu amri kwa marekani.
daima chaguzi za kibabe zina mwisho lakini uwezi kukwepa mabadiliko. pia tambua kuanguka kwa ccm ghafla kungeweza kuleta magonjwa ya moyo kwa makada wake na ata machafuko. nadhani tupeni kipindi cha kuwaandaa wana CCM kwa miaka 5 ,hapo itakuwa ni wakati ambao ata wao wanajua watashindwa na hakutakuwa na madhara makubwa. CHADEMA tambueni miaka 5 si mingi. msivuruge nchi mtayokuja kuitawala
UN wamempongeza JK hiyo inatosha kabisa
Marekani sio watu wa hovyo hovyoo..Wampongeze nani?Machizi ya kura haya na mwenyekiti wao wa NEC na domo lake lilivomlegea kama kalishwa ndimu
Haijalishi
UN wamempongeza JK hiyo inatosha kabisa
Tofautisha kuhudhulia kwenye hafla na salamu za pongezi.Marekani kupitia kwa balozi wake tayari wamempongeza JK ilikuwa ijumaa ya wiki iliyopita
Marekani kupitia kwa balozi wake tayari wamempongeza JK ilikuwa ijumaa ya wiki iliyopita