Dr Slaa aacha historia kata ya Lwenzera-Geita

makamanda wa sikonge-Tabora walilalamika kuwa bado hawajapata sapoti toka makao makuu...kaeni mkao wa kula..babu yuko njiani...jana alikuwa kata ya mwawaza-shinyanga...leo atakuwa kata ya bugarama-kahama...then straight tabora

Idimulwa, tunashukuru kwa up dates zako ila ingependeza kama ungeweka na picha za mikutano hiyo ya vunja jungu.
 
Back
Top Bottom