Dr. Shein

mpangwa1

JF-Expert Member
Jul 19, 2009
278
8
Dr Shein ni mtu mpole, mtaaratibu, hana kashifa za ufisadi nk. hizi ni sifa za raia mwema yoyote anayependa nchi yake. Je Shein kama makamu wa rais tutambukumbuka kwa lipi endapo octoba 2010 hata endelea na cheo hicho? Kama marehemu Dr Omari Juma tunamkumbuka sana katika harakati zake za kuhifadhi mazingira.
 
Back
Top Bottom