Dr. Shein kuelekea 2015...

CreativeThinker

Kama hivi ndo kuwa CreativeThinker mimi naogopa.

Mkuu ni wewe na nani hamtajali kama Rais ajaye atakuwa CHIZI au kuwa na kiwango fulani cha UCHIZI?

Mimi katIka hilo LA UCHIZI, sipo. Sipo kabisa mkuu.

Natarajia tupate RAIS MWENYE AKILI TIMAMU na SOUND MIND.

Nakubaliana na wewe, lakini kwa tz ya sasa kumpata Rais unayemtaka hapo juu kisha aje ashughulikie yale yote ambayo tunayapigia kelele humu na mitaani sahau, ndo maana nikasema huyo mtu lazima awe na level fulani ya uchizi hizi ambaye hatajali kuuchukua mgodi wa kiwira, nyumba za serikali walizogawiana, kufuta mikataba mibovu n.k.

Niliposema awechizi ni lugha ambayo inamwonyesha Rais wangu ajaye awe extraordinary ya sound mind, ambaye kwa sasa kila atakayejaribu kufanya hayo hapo juu watu watamwona chizi, hebu fikiria leo mtu atokee anapiga kampeni ya urais anasema mkinichagua nitampeleka Mkapa mahakani kwa kutumia madaraka yake vibaya na nitazirudisha nyumba na mikataba yote nitaifuta tuingie upya, huyo mtu watu watamwita chizi japo atakuwa na akili timamu na anajua anachoongea na sheria itamruhusu kufanya hivyo, au wewe utamwitaje mtu huyo.

Hayo ni mawazo yangu tu.
 
Kwa tz ya sasa hatuwezi kumpima Rais ajaye kwa safari za mikoani anazofanya, tutampima kwa anachosema, anachokisema akiamini, na atende anachokiamini, je Dr, Shein katika safari zake za mikoani anaqualify katika hayo hapo juu, au story ndo zilezile maisha bora kwa kila mtanzania wakati waliomzunguka chai hawajui mara ya mwisho walikunywa lini, achilia mbali viatun miguu, au hata maji salama ya kunywa.

Ninajua anaweza kuwa mtendaji mzuri, lakini tunauhakika gani akishachaghuliwa hatateua watu wale wale wanaoimaliza nchi hii, manake ndo wamemzunguka mpaka sasa na anafanya nao kazi kwa ndo kuwa baada ya miaka mitano watatimiza ndo za kila mtanzania kuwa na maisha bora kwa mtindo huu. Kwa utendaji na usomi wake huo mbona hajasema kuwa hizi ahadi hazitekelezeki?
 
1.Hajaonyesha tamaa wala uchu wa madaraka.

Hafai.
2.Hana skendo yoyote kubwa anayo tajwa kuhusika.

Hafai, hafai.
3.Haelekei kuwa na makundi

Hafai, hafai, hafai.
4.Ni mpole na hapendi spotlight kitu ambacho kinaweza kuashiria he is all action and no talk.

Hafai, hafai, hafai, hafai.
5.Tetesi niliyo sikiaga ni kwamba 2005 Kikwete alikua na mgombea mwenza wake mwenyewe lakini baada ya majadiliano wakaona kwamba Shein ndiyo anafaa kuwa kwenye tiketi ya chama.

Hafai, hafai, hafai, hafai, hafai.
Sijui kama mwenyewe ana ndoto za 2015 lakini kwenye kundi la sasa yeye anaonekana kufaa kuliko wenzie.

Hafai.
Wanaweza kutokea wengine wanaofaa kabla ya 2015 ila kwa sasa nimemuona huyu. Haya ni maoni yangu tu wakuu sijui nyie mna semaje.

Hafai - ndiyo hayo maoni yangu.
Amefanya nini hadi atunukiwe Uraisi kama zawadi ?
 
Hafai.

Hafai, hafai.

Hafai, hafai, hafai.

Hafai, hafai, hafai, hafai.

Hafai, hafai, hafai, hafai, hafai.

Hafai.

Hafai - ndiyo hayo maoni yangu.
Amefanya nini hadi atunukiwe Uraisi kama zawadi ?

Mkuu naheshimu maoni yako. Toa mawazo basi ni nani anayefaa badala yake.
 
Mkuu naheshimu maoni yako. Toa mawazo basi ni nani anayefaa badala yake.

Aliye na ujasiri wa kusimamia utawala wa sheria na haki na hakai kimya kukemea na kuchukua hatua kwa matendo yasiyoendana na utawala bora ikiwa ni pamoja na kuwajibika ikibidi.
 
Aliye na ujasiri wa kusimamia utawala wa sheria na haki na hakai kimya kukemea na kuchukua hatua kwa matendo yasiyoendana na utawala bora ikiwa ni pamoja na kuwajibika ikibidi.

Basi ndiyo nani huyo? Nchi itaongozwa na vigezo tu au na mtu aliye na vigezo? Taja huyo unayemuona ana vigezo vyote hivyo nami nitakuwa wakwanza kumsupport. Hapo umetaja tu sifa na hizo sifa hazita tuongoza unless kuna mtu anazo sifa zote hizo. naomba ututajie mwenye hizo sifa.
 
Itapendezea kama Shein atakuwa Rais 2010 au 2015, lakini hata leta mabadiliko yoyote.

Kama tunataka mabadiliko (mfano kutokomezwa ufisadi na uchumi kukua kwa kasi ya kuridhisha), tunahitaji Rais mwanajeshi (Major General na kuendelea) mwenye elimu na maono ya mbali. Huyu mwanajeshi msomi awe na uwezo wa kusoma alama za nyakati na kung'amua mambo na masuala ya kiuchumi ya dunia. Mifano ya Afrika ni Kagame na Gaddafi. Ona walichokifanyia nchi zao. Mambo yanakwenda. Hakuna ufisadi uliokithiri.

Kwa sasa hapa Tanzania hakuna kiongozi wa namna hii. Ndo maana naona Shein anafaa.

There is no alternative.
 
Mazee hizo sifa ndizo alizonazo JK.
1. Yeye ni Lt. Colnel
2. Economist
3. Nyakati - yes mtandao walisoma nyakati
 
Mazee hizo sifa ndizo alizonazo JK.
1. Yeye ni Lt. Colnel
2. Economist
3. Nyakati - yes mtandao walisoma nyakati

Mimi siifahamu track record yake, kitu kinachofanya nitilie shaka credentials zake. Kuna kitu gani "revolutionary" amefanya prior to 2005 kwenye nyadhifa mbalimbali alizoshika?
 
Mimi siifahamu track record yake, kitu kinachofanya nitilie shaka credentials zake. Kuna kitu gani "revolutionary" amefanya prior to 2005 kwenye nyadhifa mbalimbali alizoshika?

Kikojozi hujuwi kuwa jamaa alivunja record ya kusafiri nje si kwa masomo kwa zaidi ya 6o days consecutively? Hii ni record ambayo haitavunjwa asilani aliiweka akiwa foreign affairs. Kusafiri kwake ni jadi so mkimpigia kelele hata hawaelewi ndugu zangu watz.
 
Hafai.

Hafai, hafai.

Hafai, hafai, hafai.

Hafai, hafai, hafai, hafai.

Hafai, hafai, hafai, hafai, hafai.

Hafai.

Hafai - ndiyo hayo maoni yangu.
Amefanya nini hadi atunukiwe Uraisi kama zawadi ?

Kwa mara ya kwanza nimeguswa kupost kwenye JF.

1. Wengine waliotangulia na unaona wanafaa wamefanya nini?
2. Kwa taarifa za ndani, ni kwamba mambo mengi mazito anafanya huyu mzee
 
Kwa mara ya kwanza nimeguswa kupost kwenye JF.

1. Wengine waliotangulia na unaona wanafaa wamefanya nini?
2. Kwa taarifa za ndani, ni kwamba mambo mengi mazito anafanya huyu mzee

Kwake huyo anaefaa ni Mbowe!
 
Kwa mara ya kwanza nimeguswa kupost kwenye JF.

1. Wengine waliotangulia na unaona wanafaa wamefanya nini?
2. Kwa taarifa za ndani, ni kwamba mambo mengi mazito anafanya huyu mzee

Hilo nililotia kivuli namimi pia nimeishawahi kulisikia mahali, kuwa kuna kazi Ikulu alikuwa anazifanya Ben za kiofisi, Kikwete hajui hata aanzie wapi! hagusi kabisa! Dk Shein ndiyo anaokoa jahazi!

Lakini mie naona urais hautamfaa, amepoa sana bwana!!
 
Shein afikiriwe 2015 ili Rais awe wa kutoka Visiwani.

Haijalishi mgombea atoke visiwani au bara tunacho jaribu kuangalia ni yupi anafaa. Akitokea mgombea mwingine ninayeona anafaa zaidi nitamsupport. Kutoka Visiwani si kigezo kabisa.
 
Hafai kwani hana jambo alilolifanya katika muda wa zaidi ya miaka 10 aliyokuwa katika uongozi, zaidi ya kumsikia akifungua mikutano na kuweka mawe ya msingi huko vijijini. What is his vision and mission? Huyo ukimpa uongozi itakuwa kama enzi za Mzee Ruksa.
 
kwa mara ya kwanza nimeguswa kupost kwenye jf.

1. Wengine waliotangulia na unaona wanafaa wamefanya nini?
2. Kwa taarifa za ndani, ni kwamba mambo mengi mazito anafanya huyu mzee

hafai! Hafai! Kiongozi ambaye anawadhifa wa dr. Halafu mkimya sana ana dalili za kutumia theory zaidi. Kama alivyosema 1 wetu nchi hii inahitaji mtu wa kupeleka watu mchaka*2
 
Hivi kuna jambo gani ambaye amelifanya huyu mzee mpaka mkadhani anafaa kuchukua uongozi wa nchi? binafsi naona kama ni mtu ambaye ana kosa ushupavu wa kubeba mzigo mzito huu wa nchi masikini na iliyojaa ufisadi. Samahani lakini...mimi naona kama yupo yupo tu.....nielimisheni

mimi naona kama yupo yupo tu...AKA Mzee wa Kuzindua
 
Hilo nililotia kivuli namimi pia nimeishawahi kulisikia mahali, kuwa kuna kazi Ikulu alikuwa anazifanya Ben za kiofisi, Kikwete hajui hata aanzie wapi! hagusi kabisa! Dk Shein ndiyo anaokoa jahazi!

Lakini mie naona urais hautamfaa, amepoa sana bwana!!

1. Ni kweli, Rais au kiongozi wa juu kama Baba kwenye familia anahitaji ka udictator fulani. Ni ngumu pia kumpata mtu mwenye sifa zote

2. Uzuri au tumaini langu kwa Shein ni uwezekano wa kutengeneza timu nzuri. Pamoja na madhaifu, udhaufu mkubwa aliona na ambao unaigarimu nchi ni TEAM CREATION. Na hili ni tatizo kubwa sana kwa nchi za Africa. wakati wenzetu anapopata madaraka anatengeza timu ya kumyanyua.

Hivyo, bado naona anafaa kuliko ambao wanapewa nafasi.
 
Back
Top Bottom