Dr.Shein analipwa mafao ya ustaafu?

CHIHAYA

Senior Member
Mar 12, 2012
102
25
Wadau naomba tujuzane hili limekaje kwa hawa viongozi wetu wa siasa? Je, Dr.Shein analipwa mafao ya ustaafu kama makamu wa raisi Muungano? Na akimaliza utumishi wa nafasi aliyonayo sasa atakawa yuko hai ataendelea kuvuta zote? Hili limekaaje ktk inchi kama yetu wadau? Na akina Msekwa na Sita je?
 
Lazima alambe zote,Mzee Mwinyi anakula 80% ya urais wa Znz na 80% ya urais wa muungano!
 
Sioni kwanini asilipwe mafao yake kwa kazi aliyofanya.

Ni sawa na mfanyakazi anayestaafu serikalini halafu apewe kazi ya mkataba inamaana utalipwa mshahara na mafao yatakuja.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom