Ntemi Kazwile
JF-Expert Member
- May 14, 2010
- 2,182
- 307
There are currently 204 users browsing this thread. (65 members and 139 guests)
Duh, hii kali. Je nani kashinda???
Duh, hii kali. Je nani kashinda???
Tegemea alert within 30min... Ndio saa 11 kamili kwa mida ya Tanzania, tutajaribu kuwasiliana na jamaa zetu Dodoma muda si mrefuThere are currently 204 users browsing this thread. (65 members and 139 guests)
Duh, hii kali. Je nani kashinda???
Hi team,
Kwa wanao mshangilia Shein tukutane kilimani leo saa 2usiku kuna mzee yusuph pale.
Naona ingefika wakati tuka waachia Wazazibari wachague viongozi wanao wataka wao, badala ya kuwachangulia viongozi tunao wataka sisi.
Congruence Theory applies here?
Bilal ≅ Balali
Umenikumbusha hii Hesabu:
Side-Angle-Side (SAS)
Angle-Side-Angle (ASA)
Angle-Angle-Side (AAS)
Duh, siku nyingi sijakuona ndani mkuu Natasha... Karibu 'tena'Hi team,
Kwa wanao mshangilia Shein tukutane kilimani leo saa 2usiku kuna mzee yusuph pale.
Kwa hiyo nini future ya Karume (raisi wa sasa wa Zanzibar)?Jamani.. basi muwe mnafuatilia ratiba ya kutangazwa wagombea.. lililofanyika leo ni kuwasikiliza watarajiwa, kuwachuja na kubakisha majina matatu ambayo yatapelekwa kwenye NEC kupigiwa kura na Mkutano Mkuu itakapofika J'pili ndiyo utatangaza for sure wagombea wake wote ikiwepo mgombea mwenza wa JK. Mimi niko interested zaidi kujua nani atakuwa mgombea mwenza kwa sababu kama Shein atakuwa mgombea wa Zanzibar Dr. Bilal anaweza kuwa Mwenza wa Kikwete.. sidhani kama watamtupa safari hii lazima atoke na consolation prize.
Binafsi naamini tunamhitaji Bilal zaidi kwenye Muungano kuliko wanavyomhitaji Zanzibar
Mwanakijiji said:Binafsi naamini tunamhitaji Bilal zaidi kwenye Muungano kuliko wanavyomhitaji Zanzibar