Elections 2010 Dr. Shein aibuka kidedea; kuiwakilisha CCM urais Zanzibar 2010

Mchuano umekuwa mkali sana wagombea wanachuana kwa karibu sana.
Hivi kura za maluwani hazitapigwa kweli upande wa Bilal?
 
Kuhamia dom hiyo ni ndoto hata sisi wa dom tumeisha sahau mkuu usitukumbushie utasababisha tulie.

teh teh teh teh mkuu inabidi wategemea kweli kuna kula kweli leo maana twangojea kwa hamu sana kujua ni kiongozi yupi atatukwamua huko zenji.

Kweli twahitaji kiongozi shupavu mwenye busara hekima na msikivu kwa wanchi wa zenji na bara pia twahitaji mabadiliko na maendeleo sasa nadhani katika vuguvugu hili ccm wanapaswa kujipanga vyema kuboresha chama nadhani mambo yako wazi nyakati hizi, watu wasikimbilie uongozi bora uongozi twahitaji viongozi wawajibikaji

tupeni detailz pindi mpatapo kutoka dom.

Eeeeh kwli nimesikia ati mr.sitta ameiuliza serikali ya ccm kama inadhamira ya kuhamia dom na anashangazwa kuwa serikali yaendelea jenga nyumba za mawaziri dar?

Kwanini hili laendelea ccm wanashindwa timiza sera hiyo toka 1980's kweli ?????? Hiii napenda iende kwa vijana kama wakina january makamba wanao sema wanakuja na chachu na kutaka kurekebisha mustakabali wa nchi hii

Poa mkuu.

Yaani sielewi kwa nini watu wanatumia muda wao kusubiri majibu yaliyo wazi kabisa. Naamini bila shaka kuwa mgombea wa ZNZ ni Dr Shein.

Ngoja wadau wasubiri confirmation.
Mkuu hata namimi naomba Sheni apitishwe, maana nitacheza tarabu usiku kucha nikishangilia kifo cha CCM Unguja, nina hakika tena 100% kuwa Sheni hakiwezi kishindo cha MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD na hasa akiwa naye ikulu, HAKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII!!!! HAKI SAWA KWA NANIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII!!! HAKI SAWA KWA WOTEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!

In a fair play game Shein Vs Shariff ni sawa na pambano la Tyson Vs Joti
 
Mchuano umekuwa mkali sana wagombea wanachuana kwa karibu sana.
Hivi kura za maluwani hazitapigwa kweli upande wa Bilal?

Mkuu Fidel80,
Haki ya nani nakwambia akipita Dr.Sheni vumbi litakuwa si dogo unguja wakati CUF itakuwa inapiga makofi kwa kucha, CCM wengi Zanzibar watagomea kura ya maoni na uchaguzi mkuu, na sheni akija Unguja atapokelewa na wachukuzi bandarini au labda aje na mamluki wake kutoka huko huko Dom, yaani uchaguzi wa mara hii raha sana, nampongeza Maalim Seif kwa uhodari wake wa kizielekeza siasa za Zanzibar akama apendavyo yeye,ngoma na mziki unaochezwa Dom hivi sasa composer ni mwenyewe kamanda Maalim Seif, hongera sana.
 
In a fair play game Shein Vs Shariff ni sawa na pambano la Tyson Vs Joti

Zanzibar hawachagui mtu wanachagua chama. Kama ni kuchagua mtu Shein atatupwa mbali. Kumbuka hata mtaa/sheha anayotoka inaongozwa na CUF. But I think Shein is a right person kwa CCM ya sasa huko Zenji.
 
Breaking news! Bilali katemwa
Kama Bilal atatemwa hana haja ya kumtafuta mchawi mchawi wake ni yeye mwenyewe na wapambe wake uchwara yakiwemo magazeti na waandishi uchwara wasiojua mbinu za ku back mtu.

Sumu ya siasa za Zanzibar ya leo ni siasa za chuki ambazo zinaenezwa na wapambe wa Bilal na waandishi wa magazeti bila kujua kwa kufanya hivyo wanazidi kumchafua zaidi mgombea wao mbele ya wananchi na viongozi wakuu wa chama.

Kama wewe ni mwandishi makini huwezi kusema mgombea fulani anaungwa na majority bila kufanya utafiti na gazeti lolote linaloandika habari kama hizo za uzushi linaonekana ku back kitu cha uzushi.
 
Breaking news! Bilali katemwa
UWONGO!

Ni mpaka saa 11 jioni ya leo (mida ya Tanzania) ambapo CCM watampigia kura mmoja wa watatu ambaye ndiye atakuwa mwakilishi wa CCM kwenye uchaguzi wa urais wa Zanzibar 2010
 
UWONGO!

Ni mpaka saa 11 jioni ya leo (mida ya Tanzania) ambapo CCM watampigia kura mmoja wa watatu ambaye ndiye atakuwa mwakilishi wa CCM kwenye uchaguzi wa urais wa Zanzibar 2010

Nilikuwa nakusubiri mkuu uthibitishe!
 
Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
Ahsantee.gif

Thank you for supporting JF! <---(click to support us)
Waliochangia 2010: <--- (click to read)
JINSI YA KUCHANGIA JF<---(click to read)
:coffee:
24/7 Email SUPPORT: support@jamiiforums.com

Msisahau kusoma na kutekeleza hilo hapo juu.
 
Mkuu Fidel80,
Haki ya nani nakwambia akipita Dr.Sheni vumbi litakuwa si dogo unguja wakati CUF itakuwa inapiga makofi kwa kucha, CCM wengi Zanzibar watagomea kura ya maoni na uchaguzi mkuu, na sheni akija Unguja atapokelewa na wachukuzi bandarini au labda aje na mamluki wake kutoka huko huko Dom, yaani uchaguzi wa mara hii raha sana, nampongeza Maalim Seif kwa uhodari wake wa kizielekeza siasa za Zanzibar akama apendavyo yeye,ngoma na mziki unaochezwa Dom hivi sasa composer ni mwenyewe kamanda Maalim Seif, hongera sana.

Kwa mtindo huu tunaweza tarajia virungu uchaguzi huu maana jamaa kato hawatakubali kukiachia kisiwa kwa Maalim najua mpambano huu kati ya Seif na Shein hapa Dr. anapigwa Knock out labda kura za maluhani ziambatanishwe hapo October
 
mkuu katika muda usiofikia saa moja mambo yameshageuka? Anyway, pamoja na ubaya, udhaifu na upungufu wa CUF bado wanaweza kuiengua CCM Zenji.

Hii ni ndoto Mkuu. Piga ua n.k. lakini CCM itafanya kila iwezalo kama kumwaga wapiga kura mamluki toka bara, kutumia nguvu na vitisho dhidi ya viongozi na wanachama wa CUF na hata kuiba kura ili mradi tu ihakikishe ushindi Zenj. CCM kamwe haitakubali kushindwa Zenj kwa kuwa jumuiya ya kimataifa imeshaamua kuangalia pembeni kuhusu yale yote mabaya yanayofanyika katika chaguzi za Tanzania.
 
Wakuu, kutokana na muafaka mgombea urais atakayeshindwa anakuwa waziri kiongozi.

Kama Shein atashindwa na seif, Shein anakuwa Waziri kiongozi. kwa Protokali, Waziri Kiongozi ni mdogo sana kwa makamu wa Rais. Hapo naona Shen kuchanaganyikiwa na hasa ukitilia maanani bosi wake sasa ni Seif. Sidhani kama Shein alilifikiria hili.
 
Back
Top Bottom