Zakumi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2008
- 5,063
- 2,471
Akale London South Bank Uni. huko....
Halafu siku hizi Tanzania kuna ma "Dr" wengi sana. Yaani humo serikalini ndo usipime kabisa! Raisi ni dokta, makamu wake ni dokta, raisi wa zenji ni dokta, bado Pinda tu! Naye muda si mrefu atakuwa dokta.
Kwenye baraza la mawaziri ndo balaa. Nadhani karibu robo tatu nzima ya mawaziri na manaibu wao wote ni madokta.
Mbona unalalamika? Ulishachonga uDr wa kweli nini?