Dr. Salim: The Conspiracy ..&.. Dataz!

Hamid

- Ramadhani ingekuwa kijiRev enh?

TATIZO la majaji wengi huwa hawana network kwenye siasa...nafikiri inatokana na tabia ya majaji wengi kuwa conservative na kujiweka mbali na watu[nafikiri inatokana na kazi zao]......ukiondoa Jaji edward mwesiumo...ambaye hata hivyo hakufanikiwa sana siasa.sikumbuki jaji mwingine aliyeingia kwenye siasa...warioba is a different case....
 
Byahanda,

Tuwe wakweli hapa lets no talk politiciiii weeeee ila ukweli uko wazi Dr. Salim A. Salim is perfect president for JMT, kwani viongozi wengine hilo wanalijua fika na wanajua akichukuwa nchi imekula kwao mazima ni kiwa namaaanisha kuwa viongozi wengi waliopo wana uchu na madaraka kwa faida yao na sio kwa kuwatumikia wananchi wao(Watanzania),

Sisi watanzania kwa upande mwingine sijui tumerogwaaa hatuupendi ukweli kila jambo lijapo lazima wanafiki fulani wao wamewekwa kupinga hata ajenda sahihi ziwe potofu kwa manufaaa ya mafisadi.

Majuzi nilitoa thread ni kawauliza what happened pale chimwaga 2005?? Wakati 99% ya watanzania walijua Dr. S.A.S anakuwa rais hata nami nilikuwa mmoja wao kuamini hivyo. Na pale ndipo chanzo cha matatizo yote haya mbele ya uso wetu tupende tusipende that's a truth. NEC-CCM wanalijutia hilo ni dhambi ambayo hawakuitegemea wangelijua ila its too late now si wao walitaka wana mtandaoooo ndio results zake hizi sasa,hapakaliki hata kidogo ndani ya CCM

Mtamkubali tu kuwa Dr. S.A.S alistahiri kuwa the President of JMT. me mpaka leo namkubali na akichukuwa form nakuwa mpiganaji wake kwenye campaign zake.

Nahene twikwisanga hoko 2010, nene ntanamihayo
 
Hivi SAS ni haki yake kuwa na madaraka? Mbona ameshindwa sehemu nyingi tu, kama angekuwa kiongozi shujaa asingeweza kudondoka katika pilika pilika zake kwa kipindi cha zaidi ya miaka 30 na ushee.

Tanzania imeshindwa kupata viongozi zaidi ya kuwazungurusha kama tuko kwenye mduara, wengine watatawala lini? Kuna watu tangu wamezaliwa majina ni yale yale hayabadiliki. Tuache hizi kasumba na tuwape nguvu wengi ambao wapo na wananyimwa nafasi ya kulipeleka taifa mbele.

Huu ni mwanya wa kuleta mabadiliko ya kweli na demokrasia ya kweli, kama tutaendelea na ujinga unaopelekea kulindana tutaleta maafa makubwa ambayo yale ya Somalia au Burundi yataonekana ni mchezo wa kuigiza.
 
Kila muwamba Ngoma Huvutia kwake ,kwa mana hiyo wazanzibar hawastahiki kuwa na kiongozi mwenye madili na kule maendeleo ya visiwa hivyo?au ni nyinyi tu ndio wenye shida za kimaisha na maendeleo?hilo ndilo tatizo lenu kila kizuri mnataka muwe nacho ,Mzee mwinyi mlifanya hivyo sasa mnamchimba sali m .

Seif anafaa zaidi huko.
 
Hivi SAS ni haki yake kuwa na madaraka? Mbona ameshindwa sehemu nyingi tu, kama angekuwa kiongozi shujaa asingeweza kudondoka katika pilika pilika zake kwa kipindi cha zaidi ya miaka 30 na ushee.

Tanzania imeshindwa kupata viongozi zaidi ya kuwazungurusha kama tuko kwenye mduara, wengine watatawala lini? Kuna watu tangu wamezaliwa majina ni yale yale hayabadiliki. Tuache hizi kasumba na tuwape nguvu wengi ambao wapo na wananyimwa nafasi ya kulipeleka taifa mbele.

Huu ni mwanya wa kuleta mabadiliko ya kweli na demokrasia ya kweli, kama tutaendelea na ujinga unaopelekea kulindana tutaleta maafa makubwa ambayo yale ya Somalia au Burundi yataonekana ni mchezo wa kuigiza.

Tanzania imeshindwa kupata viongozi zaidi ya kuwazungurusha kama tuko kwenye mduara, wengine watatawala lini? Kuna watu tangu wamezaliwa majina ni yale yale hayabadiliki. Tuache hizi kasumba na tuwape nguvu wengi ambao wapo na wananyimwa nafasi ya kulipeleka taifa mbele.

Walimkataa huyo unaesema Dr.S.A.S na sasa wanaotawala sindio hao wana mtandao walio ng'ang'ania madaraka within 4yrs nini wametufanyia honestly tel us? nachokiona nai Political conflict with self-interest ndio zimewatawala period,

Na mpaka hapo walipo hwajui ninani wa kumwandaaa awe Rais ni utasikia vijimaneno Rizwana anaandaliwa 2015 utawajua viongozi wa kiafrika kupenda kurithishana ndio icho wanachotaka kutuletea hao wanamtandao kaeenichonjo na mtakuja kubaini
 
Rais zanzibar 2010-Dr.Mwinyi.(Rais wa Zanzibar lazima atoke Unguja)na lazima awe mtotom wa mkubwa.This time zamu ya mtoto wa Mwinyi.
Makamu wa Rais:-Hapa pana kitendawili.Shein anaondoka lakini Salim..mhhh sioni.Anaweza kutokezea mtu asiyejulikana sana na akawa VP.
Nafasi ya Seif? Atabaki hivyo hivyo maana watamzunguka kama miaka yote.

Wengi hatupendi iwe kama hivyo hapo juu lakini nimeona mengi katika maisha yangu .Matarajio ya watu huwa hayawi kama wanavyodhani.

Mnaweza kujiuliza na huyu naye kajuaje?Subirini mtayaona!
 
shein kama akiondoka lazima aingie SALIM deal ikishindikana itabidi SHEIN aombwe tena abakie kwani system haitataka kuwa na vice president atakayekaa only 5 years au kujikuta tena rais wa mwaka 2015 akiombwa ambakishe...

VIle vile fahamuni operators wa presidency 2015 hawatapenda kuona nafasi ya makamu wa rais ikikaliwa na mtu ambaye ni potential runner wa mwaka 2015...itakuwa ni sawa na kumpa free pass.....ya urais....

watu wa system pia hawapendi kuwa na mlolongo wa retired VPs .....ndio maana shein alibaki kwa kuwa alikuwa amesave miaka 4 tu wakati mkapa anaondoka .....mtu kama salim tayari ni amepata kuwa VP....kwa hiyo akiirudi tena kwenye nafasi hiyo ..hailiongezei taifa mzigo wowote wa kuwahudumia wastaafu stahiki...........teh...kama tunayoingia kumuhudumia waziri mkuu aliyekaa madarakani mwaka mmoja kwa maisha yake yote.....
 
Ningependa kuona SAS anakwenda Chadema na kundi lake zima la waliomuunga mkono kwenye urais 2005. Kisha SAS anagombea 2010 na mgombea mwenza anakua DR Slaa. Tanzania tunauhitaji upinzani imara kuliko chochote, hatuwezi kufika popote kama tutakua tunawabeza wapinzani! Tuwaunge mkono tunawahitaji!
 
If it happens ni very productive move kwa taifa letu...maana wapinzani wataacha kunyanyaswa na kuonekana watu wasio faa hasa wananchi wa vijijini ..the issue is there anyone kwenye upinzani anafanya homework yake ili hiyo "strategic move itokee"
 
Jamaa mnaompigia debe Mwinyi kuwa rais wa Zanzibar hebu niambieni ana qualification gani mbali na kuwa mtoto wa Ali Hassan. Pale wizara ya ulinzi naona kapwaya sana lakini basi tu hamna jinsi.
 
but ES...unaweza kufananisha bifu la ali na amani na la GEORGE na JEB bush....maana Pamoja na kumsaidia kuiba kura za florida jeb alikuwa akimuona george zezeta....tu...na anasema lazima na yeye awe RAIS......

- Mkulu PM, heshima mbele bifu la Ali na Amani ni tofauti sana, maana mara ya mwisho nimelisikia ni kwamba kuna viwanja vilivyoachwa na marehemu Karume, ambavyo Amani, ameanza ujenzi Aliposikia akarudi na kudai Amani aache mara moja maaana hivyo viwanja havimuhusu, ilibidi walinzi wa huko Ikulu ya huko waingilie kati kuamua live ngumi za wakulu,

- Kwa hiyo hapana bifu la wakulu hawa ni tofauti na la wale wazungu, halafu Jeb unajua anakosa heshima ndani ya familia kwa kuoa Spaniola na ni moja ya sababu ya the bifu, si unajua kina Bush ni Anglo-Sax! wabaguzi wa dunia!

Respect.

FMEs!
 
wajameni,

..sasa Ali ana uhakika gani kwamba yeye ni mtoto "halali" wa Sheikh Abeid Karume?

..mimi naona kuanza kugombana na Amani ni kumvunjia heshima Mama yao mzazi.

..inawezekana Ali Karume ni kichaa. napendekeza apelekwe Mirembe akapimwe.
 
Salim is a man of wisdom..........i trust his judgement..............owever,CCM racists will neer accept him as president.........of TZ!
 
Hivi SAS ni haki yake kuwa na madaraka? Mbona ameshindwa sehemu nyingi tu, kama angekuwa kiongozi shujaa asingeweza kudondoka katika pilika pilika zake kwa kipindi cha zaidi ya miaka 30 na ushee.

Tanzania imeshindwa kupata viongozi zaidi ya kuwazungurusha kama tuko kwenye mduara, wengine watatawala lini? Kuna watu tangu wamezaliwa majina ni yale yale hayabadiliki. Tuache hizi kasumba na tuwape nguvu wengi ambao wapo na wananyimwa nafasi ya kulipeleka taifa mbele.

Huu ni mwanya wa kuleta mabadiliko ya kweli na demokrasia ya kweli, kama tutaendelea na ujinga unaopelekea kulindana tutaleta maafa makubwa ambayo yale ya Somalia au Burundi yataonekana ni mchezo wa kuigiza.

Si kasumba. Kuna mambo mengi ya kuzingatia. Tanzania si Taifa la majaribio tena ama la kutawala kwa fasheni. tunahitaji kukimbia wakati wengine wanatembea. Tumechelewa sana. Hatupaswa kuwa na shida na migogoro ya kijinga tuliyonayo sasa. Dr. Salim anakuwa katikati na anaweza kutusukuma wakati tunatafakari hiyo demokrasia wakati VIJANA wanachukua kasi.
 
Hapa ni Dar es Salaam, na Zitto yumo.
 
Attachments

  • ZITTO_Rajolina.JPG
    ZITTO_Rajolina.JPG
    499.2 KB · Views: 49
Back
Top Bottom