Dr Salim Abdulla akamatwa kwa kosa la Ugaidi ?

Hivi Centre iliyojaa wasomi kama hii kweli haina up to date information kwenye world wide web? Itakuwaje data zilizopatikana ni zile za mwaka 2003/2004? Kuna taabu gani kuweka list na nafasi za hao wasomi ili dunia nzima iwatambue? Au hata hili imekuwa ni siri? Naona web site yao inajengwa! Mpaka lini?
 
Back
Top Bottom