Dr. Saa ni kiongozi pekee aliye kwenye active politics anayeumwa na umaskini wa watanzania

Nyerere Jamani mna uhakika kuwa kila alichokiamini na kukisimamia alifanikiwa?Ujamaa wake uliipeleka wapi nchi?Haya turudi kwa Slaa,mtoa hija umemsifia sana muheshimiwa lakini hukutoa mifano hai ya ku-justfy uwezo wa Slaa katika kusimamia kauli zake!Naomba mifano hai iliunishawishi na kauli yako!Mfano amekuwa akinadi uthubutu wa kufanya maamuzi magumu kwa maslahi ya mambo ya msingi lakini so far sijaona maamuzi magumu yeyote wanayofanya licha ya akina Shibuda kupinga maamuzi ya kamati kuu ya CDM hadharani!Hebu nipe mifano hai tafadhali ndugu mtoa hoja!!!

Nawasilisha!!
 
Ukweli huo wa Dr kuwa na uwezo mkubwa wa kiuongozi haupingiki. Mungu amlinde,amtunze na amfikishe salama ktk uchaguzi wa 2015 salama.

Dr Slaa kila la heri, nakutakia afya njema kuelekea kwenye ukombozi wa nchi ya Tz.

Ivi ilikuwaje akatelekeza familia yake na kwenda kupora mke wa mtu?
 
huyu padri slaa kwanza anashikilia record ya usaliti alililisaliti kanisa,akamsaliti mke wake wa kwanza nawasiwasi nae hata tukimpa nchi atatusaliti

Akili zako zinakutosha mwenyewe......itachukuchukua muda sana kujitambua kwa kuwa hata kureason hujui
 
Nyerere Jamani mna uhakika kuwa kila alichokiamini na kukisimamia alifanikiwa?Ujamaa wake uliipeleka wapi nchi?Haya turudi kwa Slaa,mtoa hija umemsifia sana muheshimiwa lakini hukutoa mifano hai ya ku-justfy uwezo wa Slaa katika kusimamia kauli zake!Naomba mifano hai iliunishawishi na kauli yako!Mfano amekuwa akinadi uthubutu wa kufanya maamuzi magumu kwa maslahi ya mambo ya msingi lakini so far sijaona maamuzi magumu yeyote wanayofanya licha ya akina Shibuda kupinga maamuzi ya kamati kuu ya CDM hadharani!Hebu nipe mifano hai tafadhali ndugu mtoa hoja!!!

Nawasilisha!!

1.alipotangaza list of shame pale mwembe yanga 2007 wahusika walisema wataenda kumshtaki mahakamani akawaeleza watangulie ye atakuja nyuma na ushahidi..hawakwenda hadi leo ni kimya..
2.said kubenea alisachiwa na polisi kwamba anatoa siri za wateja wa nbc..dr silaa akawaambia wasimsumbue kubenea..hizo nyaraka ye ndio kampa so wakamkamate yeye..polisi wakafyata.
 
Mtu akiwa nje ya dola ni rahisi kujimbambanua na mazuri tu mabaya utayaona akishika dola
 
3.alizuiliwa kuwasilisha ishu ya epa bungeni lakini alikomaa nayo mpaka mwembeyanga..
4.aliweza kumpiga mkwara jenerali shimbo na kumuambia kapewa tenda ya kusambaza power tillers..jenerali akafyata.
5.alimsema prince rizwan atoe maelezo alikopata pesa alizonazo..dogo akasema anaenda mahakani,akpew go ahead..ila amefyata..
6.hakuisha kuisema meremeta pamoja nakutishiwa kuwa na masuala ya jeshi..hivyo nisiri na yeye akawaeleza siri ni mbinu za kivita wizi sio siri..hayo machache
 
Nyerere Jamani mna uhakika kuwa kila alichokiamini na kukisimamia alifanikiwa?Ujamaa wake uliipeleka wapi nchi?Haya turudi kwa Slaa,mtoa hija umemsifia sana muheshimiwa lakini hukutoa mifano hai ya ku-justfy uwezo wa Slaa katika kusimamia kauli zake!Naomba mifano hai iliunishawishi na kauli yako!Mfano amekuwa akinadi uthubutu wa kufanya maamuzi magumu kwa maslahi ya mambo ya msingi lakini so far sijaona maamuzi magumu yeyote wanayofanya licha ya akina Shibuda kupinga maamuzi ya kamati kuu ya CDM hadharani!Hebu nipe mifano hai tafadhali ndugu mtoa hoja!!!

Nawasilisha!!

hujui mifano ya uthubutu wa Chadema chini ya katibu mkuu wake? Nenda kawauliza hata wale madiwani wa Arusha waliochukua rushwa ccm watakwambia Dr. Slaa ni nani? Pia Nenda jimboni karatu ukaulize utendaji wa Dr. Slaa. Nani amezua huu uchafu wote wa ccm tunaohangaika nao hivi sasa? Alisema mkapa ni fisadi nyie mlikataa, je ya yamefika wapi? Kama wewe ni ccm huwezi kukubali Dr. Slaa awe Rais maana chupi lazima zitabana maana hakutakuwa na maisha ya ujanja ujanaja kama leo.

Dr. Slaa ni mtu watofauti sana kati ya wanasiasa wengi. Ni mtu ambaye anaweza kuwasiliana na mioyo ya watu Na siyo masikio ya watu. He touches the hearts when he address people. Hii imewafanya watanzania wengi wampenda na kumwamini. Dr. Slaa ana uwezo wa kuongoza na kutenda, hana porojo za kiswahili kama za ndugu yenu. Kwa wale wanaopenda kuishi kwa kipato cha haki ni lazima watampenda Dr. Slaa lakini kwa wale wanaotaka kuishi kwa kuwanyonya wengine kupitia ufisadi ni lazima wawe madui wa Dr. Slaa maana hakutakuwa na ujanjaujanja tena.

Tunamhitaji kwakweli!
 
time will tell!Dr Slaa ni kiongozi mwenye kukubali kukosolewa na kukosowa,utakumbuka ndiye aliyesimamia hoja yake ya mafisadi bungeni lakini bunge lilikataa,akapeleka mashtaka yake kwa wananchi,maandamano yakaanzishwa hatimaye serikali ikaunda tume kuchunguza,bunge nalo likaunda tume kuchunguza hatimaye wanakoboana kwa sumu wenyewe kwa wenyewe.
 
Dr slaa rais wa watanzania,mkombozi wa Tanzania,na mpigania haki na utu wa mwanadamu,tupo naye pamoja katika ukombozi wa Taifa,CCM bye bye bye!
 
wewe ni mfuasi wake unategemea ungesema nini kama si kumjaza masifa?

we boya mwenzio asiyefatilia masuala ya nchi ameomba aelezwe mambo aliyosimamia dr slaa na mi nimemuonyesha baadhi..sipo hapa kubishana na masaburi..
 
Nyerere Jamani mna uhakika kuwa kila alichokiamini na kukisimamia alifanikiwa?Ujamaa wake uliipeleka wapi nchi?Haya turudi kwa Slaa,mtoa hija umemsifia sana muheshimiwa lakini hukutoa mifano hai ya ku-justfy uwezo wa Slaa katika kusimamia kauli zake!Naomba mifano hai iliunishawishi na kauli yako!Mfano amekuwa akinadi uthubutu wa kufanya maamuzi magumu kwa maslahi ya mambo ya msingi lakini so far sijaona maamuzi magumu yeyote wanayofanya licha ya akina Shibuda kupinga maamuzi ya kamati kuu ya CDM hadharani!Hebu nipe mifano hai tafadhali ndugu mtoa hoja!!!

Nawasilisha!!

Maelezo yako yanaonesha aidha wewe ni mgeni TZ au huishi tanzania au ni mvivu wa kufuatilia mambo kwa makini au wewe ni mzee wa magazeti ya michezo na udaku tu.
 
huyu padri slaa kwanza anashikilia record ya usaliti alililisaliti kanisa,akamsaliti mke wake wa kwanza nawasiwasi nae hata tukimpa nchi atatusaliti
Usaliti wa kanisa huo ni uzushi maana kanisa lenyewe halijawahi kusema limesalitiwa, usaliti wa ndoa pia hayo ni madai yako maana mwenzi wake wa kwanza naye kasema hajasalitiwa na alimpa baraka zote.. sasa ndugu yangu tukirejea kwenye usaliti wa nchi yetu hakuna anayeweza kufikia rekodi ya viongozi wa ccm naogopa kuwataja majina usiku huu acha kupambazuke kesho ili ujue jinsi walivyo wasaliti
 
Mtu akiwa nje ya dola ni rahisi kujimbambanua na mazuri tu mabaya utayaona akishika dola

Tatizo si unasoma historia za wazungu tu. Nyerere aliingia hana mali, alikaa madarakani bila kutamani mali na ameondoka na heshima bila kashfa za kujilimbikizia mali. angetaka angekuwa tajiri kuliko mtu yeyote katika Afrika. uongozi ni karama. Wanaotaka uongozi kwa ajili ya kuongoza utawaona kwa matendo tangu awali. Shida ni watakao uongozi kwa ajili ya ujiko na kuabudiwa
 
Rozi Kamili, Mbunge wa viti maalum Chadema ni Mke wake, labda kama huna taarifa. Alifanya asaliti ndoa yake ni Josephine Mshumbuzi. Sheria inasema ukishaishi na mke au mme zaidi ya miezi sita hiyo ni ndoa halali, so KAMILI ni mke wake na kamsaliti kweli.

Kaolewe na wewe maana unamwenea Josephine wivu.
 
Back
Top Bottom