Dr. Nisaidie

NNC

Member
Jun 22, 2012
24
3
Mwenzenu nina swali.

Naomba kujua taratibu za kufanya mapenzi kwa njia ya calender. Ni wakati gani nikikutana na mpenzi wangu kimwili anaweza kupata ama kuto pata mimba? Nimejaribu kufanya nae siku za hatari lakini mbona hapati mimba?
 
Inategemea umejaribu wa miezi mingapi? ila kwa ushauri nendeni kwa Dr. specialist wa magonjwa ya kina mama though hata kama ww ndio mwenye tatizo atagundua.
 
Inategemea umejaribu wa miezi mingapi? ila kwa ushauri nendeni kwa Dr. specialist wa magonjwa ya kina mama though hata kama ww ndio mwenye tatizo atagundua.
Mh,hiyo kitu ya kwenda kupima kwa ma-specialist siku hizi watu wanaogopa kama wanavyoogopa kwenda kupima ngoma(HIV),maana wanahofia iwapo itadhihirika mmoja wao ndo mwenye tatizo hatima ya uhusiano wao itakuwa mashakani sana.
 
Back
Top Bottom