Dr. Ndarichako jipange ur next.....

Status
Not open for further replies.
..Nani anamfaham mume wa Dr. Ndalichako? This is a million dollar question!
 
Hapo necta hata akiwekwa Malaika watu wataendelea kufeli tu. Wenyewe mmekubali kuwa Uislam/Akhera kwanza then ndo mambo mengine baadaye. Necta ingekuwa inashughulika na mambo ya akhera tu , mngefaulu vizuri sana...poleni.

Tunapopewa idadi ya watoto waliofaulu darasa la saba huku hawajui kusoma wala kuandika tunapanua midomo kwa mishangao ndiyo NeCta tunayoitaka?
 
We unadhani Watapataje KURA bila Uti wa Mgongo wa Waislam.. Halafu wakipata Wanawatupa Kama takataka na Wenyewe wanafurahia kisa kuna Waislam waliowachagua. Akirudi nyumbani hana hata chumvi..
 
We unadhani Watapataje KURA bila Uti wa Mgongo wa Waislam.. Halafu wakipata Wanawatupa Kama takataka na Wenyewe wanafurahia kisa kuna Waislam waliowachagua. Akirudi nyumbani hana hata chumvi..

So kura zao zinatosha kuwaweka madarakani?kama ndiyo nini sababu yakugomea sensa?
 
We unadhani Watapataje KURA bila Uti wa Mgongo wa Waislam.. Halafu wakipata Wanawatupa Kama takataka na Wenyewe wanafurahia kisa kuna Waislam waliowachagua. Akirudi nyumbani hana hata chumvi..

Nilishasema waislam wa hii nchi wamefanywa kama toilet paper au ndocom....inatumiwa kwa muda halafu inatupwa.
 
As long as JK yupo madarakani, hawa wavaa suruali fupi, they are like free molecule.... Lakini ili la nderichako hawa jamaa hawako sahihi, kwani wao wame-invest kwenye elimu ahera... Matokeo yake elimu dunia inawafanya kitu mbaya...
Nawashangaa wanavyojifanya wanaipenda na kuijua elimu wakati Muddy mwenyewe alikuwa hajui kusoma wala kuandika, Kwani kufeli na kutoelewa kwa waislamu kunasababishwa na Ndalichako?. Historia pia inaonyesha kuwa elimu sio priority kwa hawa jamaa, priority ni kupiga dufu na kuchapa mpunga madrasat.
 
Tena huyu ndalichako tunausongo nae lazima atueleze kuna siri gani hapo.
Vilaza utawaona tu, Ndalichako ndo amesahisha mitihani ya mitoto yenu?. Mitoto yenu yenyewe mbumbumbu mnataka kuwasakizia watu wengine, kama ikiwa wakubwa wao ndo mna mawazo hayo, je watoto wenu watakuwaje?
 
Siamini kuwa ni waislamu wote. Na hata leo wale walioachiwa wameachiwa kwa dhamana tu,ina maana kesi ipo pale pale.
Sasa baadhi ya nyie wenzangu mnaotaka Dr. Ndalichako aondolewe mnafikiri mtafanikiwa. Jaribuni kuwaza mara mbili mbili. Hivi kabla Ndalichako hajawa Mkurugenzi wa Necta je watoto wenu waliomaliza kipindi kile walikuwa wanafaulu?
ukijiuliza na ukapata jibu hapo itakuwa sawa.
 
Tunapopewa idadi ya watoto waliofaulu darasa la saba huku hawajui kusoma wala kuandika tunapanua midomo kwa mishangao ndiyo NeCta tunayoitaka?

Hayo ya kufaulu bila kujua kuandika waulizee walimu, NECTA wanatunga then wanasahihisha hayo ya katikati ni ya mashule.
 
Nawashangaa wanavyojifanya wanaipenda na kuijua elimu wakati Muddy mwenyewe alikuwa hajui kusoma wala kuandika, Kwani kufeli na kutoelewa kwa waislamu kunasababishwa na Ndalichako?. Historia pia inaonyesha kuwa elimu sio priority kwa hawa jamaa, priority ni kupiga dufu na kuchapa mpunga madrasat.

Mkuu umesahau, Muddy alikuwa anapenda totoz kama jamaa letu chekacheka, ndio maana akapitisha mpango wa wake 4...
 
yule katibu mkuu naye ni wale wale ndo maana kawasikiliza upuuzi wao. Hawa jamaa wana double std sana, nahisi baada ya kuondoka hawa vilaza wenzake wakamwambia umefanya kosa kubwa sana ndo maana akabadili maandishi kwamba wameachiwa kwa dhamana. Pumbavu mmeweka udini kila mahali sasa mambo yanawashinda

...Asante sana Mkuu kwa kulisema hili. Nilidhani ni mimi peke niliyekuwa nimesikia yule katibu akitangaza kwa sauti kabisa kuwa Jamaa wameachiwa Huru kuanzia wakati ule. Hakuna popote aliposema ni 'Kwa Dhamana'!
Ndio maana nikashangaa mno kwenye taarifa ya habari ya ITV ya saa 2 usiku kusikia ati 'Wameachiwa kwa Dhamana'! Kweli Nchi hii ina Vibuyu Wazi Wengi...!
 
naona JK nchi imemlemea wakuu..........

..Na upo uwezekano mkubwa kwamba alilifahamu hili la Jamaa zake kuandamana ndio maana Ijumaa mapemaa akaelekea Chalinze huku msafara wake ukisababisha ajali ya basi la Abood.
 
Kwa nini siyo shukuru kawambo?
Mna usongo na ndalichako au dini yake?
Mi mbona nina ndugu waislam wamefaulu vizuri? Au kwasababu wanasoma kwa bidii?
Ni raha sana ukiwa na wadogo wanapenda kusoma alaf wanafaulu kuliko kuwa na wadogo wanaotegemea nguvu za maandamano!

Ni vyema kwa kipindi hiki tuka washauri ndugu zetu wasome kwa bidii maana mitihani ya form4&6 imekaribia kuliko kuandamana!

Tena huyu ndalichako tunausongo nae lazima atueleze kuna siri gani hapo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom