Dr Nchimbi apeta!!!!!

kweli hawa wabeba mabox hawana maana. Unajua wanadhani eti PhD mtu anaweza kugawiwa, tatizo la watanzania ni wavivu kufikiri, na ni wepesi kudanganywa, nani kwa kuambia doctorate mtu anapewa? lazima uchakarike ili kuipata.
 
Wengine tuna argue nao hapa na form leaver wakaenda kujilipua ulaya basi wanaona wote ni wajinga wenzao kumbe sie tunakuja kutembea huko tunapata good time na kurudi zetu home tukiwaacha wao utumwani ulaya na usa wakiishi kama third citizens.....maisha bwana wababu zetu walikuwa wanakimbia kwenda kulima usa utumwani vijana wa leo wanalilia kubaki utumwani.
 
Naona Mh. Dr Emmanuel Nchimbi katoa heri ya mwaka mpya na wadau woote wamempongeza tofauti na viongozi wengine wa CCM ambapo huweza kushushuliwa live, ila kwa huyu mh. watu almost wamemfagilia! Inapendeza! Emmanuel John Nchimbi Rafiki zangu wa FB
Rafiki zangu wa FB Tunapokaribia mwisho wa mwaka huu wa 2011, naomba nitumie nafasi hii kuwashukuru kwa dhati kwa kunivumilia kwa kutopatikana kila nilipohitajika ndani ya FB. Naomba mtambue kuwa nawathamini sana. Nawashukuru kwa michango mbalimbali ya mawazo ambayo mmekuwa mkinipa. Lazima nikiri kuwa mmekuwa watu wa msaada mkubwa katika majukumu yangu ya kila siku. Vilevile, nawashukuru kwa salaam za kunitakia kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu. Nilipata salaam zaidi ya 3000 na naomba nibainishe kuwa deni hili halilipiki lakini tafadhali nimuombe kila mmoja wenu apokee shukurani zangu za dhati kabisa. KIPEKEE POKEENI SALAAM ZANGU ZA KHERI YA MWAKA MPYA, MWENYEZI MUNGU AWEKE MKONO WAKE KATIKA KILA JITIHADA MTAKAYOIFANYA KATIKA KUBORESHA MAISHA YENU NA MAENDELEO YA TAIFA LETU. Nitaendelea kufanya kazi kwa juhudi ili nisiwaangushe ninyi Rafiki zangu na watanzania wenzetu wote popote walipo.
Unlike · · 3 hours ago · You, Shy-Rose Bhanji, Regia Estelatus Mtema, Frederick Lyimo and 129 others like this. 50 of 65 Stella Chipanha Amen 3 hours ago · Like Elia Malisa Asante kwa ku2kumbuka 3 hours ago · Like Ally Meku Mungu akusimamie ktk kila jambo zuri ambalo unahisi litakuwa linafaida kwa Watanzania! Ili siku moja uje ukumbukwe ktk Utumishi uliotukuka.. 3 hours ago · Like Mkulima Wa Kisasa Mhe.tukumbuke tu cc wakulima pia 3 hours ago · Like Frank Nyabundege Tuko pamoja kamanda... 3 hours ago · Like Genchwere J. Ruge Pamoja mkuu 3 hours ago · Like Jacqueline Godfrey ooh!! tunashukuru mweshimiwa,inashangaza bt ninachoweza kusema wewe nimfano wakuigwa.tunakutakia afya njema,mungu akulinde akupe wepesi ktk kila jambo. 3 hours ago · Like · 1 Taphawa Abubakary Ngwada thanx! president of 2020, don't worry about that. 3 hours ago · Like · 1 Flora Dhobe Amina, mwenyezi MUNGU akuzidishie baraka na upendo, kwakila uliombalo litimie kwa uposi. 3 hours ago · Like Emmanuel Martin Sulle pamoja sana mweshimiwa 3 hours ago · Like Beatrice Nchimbi Pamoja mh. 3 hours ago · Like Frank Richard kila la kheri kiongozi,Mungu akupe afya njema na kila lililo jema katika maisha yako. kwa pamoja tutashinda 3 hours ago · Like Molio Baldwin Asante muheshimiwa...na tuendelee kuijenga nchi.tuko pamoja 3 hours ago · Like Cosmas Haule Hakuna jambo muhimu kama kushukuru! shukrani kwa Mungu wako na kwa wale wote wanaokuombea mema ktk majukumu makubwa uliyonayo!!! maandalizi mema ktk kuupokea kwaka mpya!!! 3 hours ago · Like · 2 Frankie G Odomali Pamoja tunaweza!afya njema kwako 3 hours ago · Like Petty Zephrine Mungu akujaalie uendelee kuliendesha jaazi hili la vijana 3 hours ago · Like Paul Dominic Asante mheshimiwa, Mungu akujalie baraka zake upate nguvu zaidi ili uendelee kulitumikia Taifa lako na watu wake. 2 hours ago · Like Eddy Mwinuka Usijali Mheshimiwa najua umetingwa sana. 2 hours ago · Like Isaya James Barikiwa mheshimiwa! Tunashukuru kwa kutambua na kuthamini michango yetu! 2 hours ago · Like Zee Matau Linus Pamoja mh..nawe ubarikiwe 2 hours ago · Like Christina Mokimilya asante mheshimiwa,MUNGU azidi kukupa kibali. 2 hours ago · Like Aidan Ngole karibu. 2 hours ago · Like Zidikheri Shemsanga very well an congrats 4 the doctorate! 2 hours ago · Like Nilsson Mujjuni Kamulali Asante muheshimiwa be blessed 2 hours ago · Like Ailly Mlwafu mkuu nikushukuru sana kwa jinsi ulivyo kiongozi wa kuigwa, kiongozi unayehusika hasa na vijana maana kiukweli sekta yako inahusika na vijana. mimi nitumie nafasi hii kutoa maoni yangu kwako na kwa serikali hasa kuhusu masuala mengi yanayohusu vijana bado hayajapewa kipaumbele kama suala la ajira kwa vijana na tatizo kubwa. ni aibu kwa graduates kuwa vibaka na makahaba eti kwa sababu ya ajira. mweshimiwa naomba kutoa hoja 2 hours ago · Like · 2 Irene Masaki Tunashukuru sana mheshimiwa pamoja sana n be blessed bro. 2 hours ago · Like Lulu Kifera Tanx honourable,Mungu akupe afya njema 2 hours ago · Like Egbert William Kiiza Asante kwa salamu zako za kututakia Mwaka Mpya. Nawe pia tunakutakia Mwaka Mpya mwema na wenye mafanikio tele. Mwenyezi Mungu akupe HEKIMA katika kuongoza Wizara yako. 2 hours ago · Like Hendrick Arséñá Franky Safii sana!@Mh.Kazi kwanza taifa lisonge mbele 2 hours ago · Like Tusa Moses Amen, hon. Nchimbi, stay blessed. 2 hours ago · Like George Bitababaje appreciated-mheshimiwa-for-what,u-have-done.mungu-akubariki-mkuu 2 hours ago · Like Baibe Kimmy Amen, heri ya mwaka mpya na kwako pia. 2 hours ago · Like Lucian Ngeze Heri ya 2012 kwako pia mheshimiwa..Uwe mwaka wa kujituma zaidi, na kutimiza yale waTZ kwa ujumla wao wanayotegemea kutoka kwako... 2 hours ago · Like Karliar Mshana Ok, bt mfanye kaz kw manufaa ya taifa na co kw matumbo yenu binafs. Mwaka mpya mwema. 2 hours ago · Like Mujuni Gaulah Kajala na wewe heri ya mwaka mpya mbunge wangu,, about an hour ago · Like Maurice Nchimbi nashukur lakn kama ni kiongoz wa taifa hil jtahd kuondoa tabak lilpo kat ya walionao na wasionacho her ya mwaka mpya about an hour ago · Like Maurice Nchimbi nashukur lakn kama ni kiongoz wa taifa hil jtahd kuondoa tabak lilpo kat ya walionacho na wasionacho her ya mwaka mpya about an hour ago · Like · 1 Deo Baraka Mambo Pamoja tutajenga taifa bora! Big up Mh. about an hour ago · Like Christopher Thomas Mullemwah Don't mention brother we are together for our national and our self.May our almighty God keep on blessing you with your family in the coming new year of 2012. about an hour ago · Like · 1 Amon Mkoga Kwako pia Mhe. about an hour ago · Like Felix Elliah Staki Kila la kheri Mheshimiwa. about an hour ago · Like Julius Oba Rugiga Na kwako pia mkuu.. 57 minutes ago · Like Wema Hassan Tunashukuru sana mkuu, be blcd ktk majukumu yako ya kila siku. 38 minutes ago · Like Glory Mziray asante, Mwenyeezi Mungu ajibu kila haja ya moyo wako kwa mwaka 2012 36 minutes ago · Like Festo Mombo Tutafurahi zaidi kama Taifa Stars itakuwa mmoja ya timu bora Afrika.Heri ya mwaka mpya mheshimiwa. 35 minutes ago · Like Glady Mlemba Pamoja sana Mkuu. Big up and ol da best in ya plans. 33 minutes ago · Like Aliko James Na kwako pia Kiongozi Mungu akuongeze ktk kazi zako za kila siku, MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI AFRICA 32 minutes ago · Like Berious Nyasebwa nashukuru kamanda heri ya mwaka mpya na kwako pia 32 minutes ago · Like Shy-Rose Bhanji ‎Emmanuel John Nchimbi Asante sana kwa maneno ya shukrani. Hichi ni kipimo cha juu kabisa cha mwanadamu pale ambapo anaonyesha uungwana wake kwa kushukuru. Neno ASANTE ni dogo sana lakini lina maana kubwa sana. Mungu aendelee kukubariki kwa uungwana uliotuonyesha marafiki zao wa karibu na vile vile wa sura kitabu. Nimalizie tu kwa kusema kwamba, wakati umeteuliwa kuwa Waziri binafsi nilifurahishwa sana na uteuzi huu, kwani umekuwa ni kiongozi ambaye huna makuu na you are just a phone call away. Pia ni rahisi sana kuongea na wewe tofauti na viongozi wengi hata kusalimiana nao unajiuliza mara mbili...NAKUTAKIA KILA LENYE HERI KWA 2012 WEWE PAMOJA NA FAMILIA YAKO. IKIMPENDEZA MOLA WETU TUUONE MWAKA MPYA NA MIAKA ZAIDI NA ZAIDI! 24 minutes ago · Like Hafidh Saleh Suleiman Usijali Mh. tupo pamoja nawe 20 minutes ago · Like
Huyu jamaa ni moja kati ya viongozi ninaowachukia sana
 
Nchimbi kafanya nini cha maana? Acheni longolongo PhD sijui nini.

Tatizo letu bongo tunaabudu title, mtu anaulizwa kwa nini wewe unataka kuwa rais, anajibu kwa sababu nimekuwa waziri miaka 20, hakuambii kafanya nini miaka 20 hiyo, kuwa waziri tu ni qualifications.

Ndio hawa wengine, Nchimbi kafanya nini? "Ana PhD, we unafikiri PhD mchezo?" kafanya nini cha kumdistinguish, PhD is a mean to an end, what is the end results? Au anakusanya mi degree tu na yeye aonekane msomi wakati hajui maana halisi ya usomi?

Hii PhD na usomi wake ndio vimemfanya a decree kutaka vazi la taifa kwa kutumia kamati? Ndio usomi huo?
 
Huyu jamaa ni moja kati ya viongozi ninaowachukia sana
Pole sana Chain Smoker, inawezekana ulishawahi kugongana naye. Ila kwa ufupi jamaa ni mtu wa watu, hana makuu kabisa na sifa yake pekee ni kuwa karibu na watu wa rika zote bila kujali ukwasi wa kifedha. Kuna jamaa yangu rafiki yangu professor mmoja toka ulaya alibahatika kuwepo siku moja before graduation mzumbe alikutana na nchimbi lumumba complex, alishangaa sana kuona anavyowachangamkia watu wote na kuongea nao kwa upendo.
 
Kafanya cha maana kwa kuangalia trend ya watu hasa vendors na wafanyabiashara wadogo ambao amefanya utafiti wa namna gani imekuwa na impact ktk maisha yao ana pengine namna bora ya kuimprove upande wa watoa mikopo na wapokeaji mikopo.sasa wewe unaposema utafiti wake hauna msaada umetumia vigezo gani?
 
Kwanza kabisa ume assume tu kwamba nimesema utafiti wake hauna msaada, sijasema hivyo, unaonekana huna umakini katika kusoma na kuelewa.

Mtu akiuliza "kafanya la maana lipi?" Hajasema "Hajafanya la maana". Jua tofauti ya swali na statement.

Matokeo yake (ya kuangali kwake, kila mtu anaweza kuangalia, the question is who can change?) yamewezaje kusaidia watu? kwa kipimo gani?
 
Pole sana Chain Smoker, inawezekana ulishawahi kugongana naye. Ila kwa ufupi jamaa ni mtu wa watu, hana makuu kabisa na sifa yake pekee ni kuwa karibu na watu wa rika zote bila kujali ukwasi wa kifedha. Kuna jamaa yangu rafiki yangu professor mmoja toka ulaya alibahatika kuwepo siku moja before graduation mzumbe alikutana na nchimbi lumumba complex, alishangaa sana kuona anavyowachangamkia watu wote na kuongea nao kwa upendo.

Kuwa karibu na watu si sifa ya uongozi, hiki ni kitu ambacho mtu yeyote anaweza kuwa nacho.

Mbona tunafanya standards zetu ziwe chini hivi?

Hizi ndizo sababu za kumfanya mtu kuwa kiongozi? Anajua kujimix na watu? No wonder tunaishia kuwa na marais wa ajabu ajabu kama kina Kikwete. Walianza hivi hivi nao, mara wamekuwa pale Magogoni bila vision wala ambition yoyote zaidi ya ku hold power.
 
Wengine tuna argue nao hapa na form leaver wakaenda kujilipua ulaya basi wanaona wote ni wajinga wenzao kumbe sie tunakuja kutembea huko tunapata good time na kurudi zetu home tukiwaacha wao utumwani ulaya na usa wakiishi kama third citizens.....maisha bwana wababu zetu walikuwa wanakimbia kwenda kulima usa utumwani vijana wa leo wanalilia kubaki utumwani.
Nimeshindwa kukuelewa hapo kwenye RED, halafu kwa haraka haraka wewe ni miongoni mwa wale wenye akili mgando wakadhani usomi ni vyeti au umahili wa kukaa darasani kwa miaka mingi bila tija, hivi unaweza kuniambia Marehemu Mzee Karume alikuwa na PHD au Degree ngapi? na ni kwa nini Zanzibar mpaka leo anakumbukwa Karume na sio hawa wasomi wenye madegree?

Je kama degree ni hoja, vipi hizi PHD za akina Balali kuna vyuo watu wanasomea wizi na kuhujumu nchi zao?
U need wake up call, bado umelala usingizi mzito sana young man kwa Elimu yako ya kukalili.
Am proud to be form four certificate holder who can compete with Udom degree holders. am very proud of it!!
 
mmmmmh sina uhakika sana na ubora wa PhD ya Nchimbi, kwangu huyu si daktari, angeipata SUA ningeitambua kwa sana kwani najua userious ulioko SUA, kuna kina Kamala na PhD zao za Mzumbe Univ ambazo zina utata, Je ya mh Nchimbi ni safi?. Nchi hii tumezidi kuwatunuku wanasiasa PhD ndio maana wanawadharau wanataaluma na wataalamu, kwa jinsi hii kila kitu kinaendeshwa kisiasa hapa nchini.
 
Hivi haya majina ya watu uloyabandika hapa umepata idhini yao?
Ungewezaiandikia thread pasipokuweka hayo majina na ukaeleweka.

Nyway aksante kwa taarifa na Hongera Mh.
 
Kwanza kabisa ume assume tu kwamba nimesema utafiti wake hauna msaada, sijasema hivyo, unaonekana huna umakini katika kusoma na kuelewa.

Mtu akiuliza "kafanya la maana lipi?" Hajasema "Hajafanya la maana". Jua tofauti ya swali na statement.

Matokeo yake (ya kuangali kwake, kila mtu anaweza kuangalia, the question is who can change?) yamewezaje kusaidia watu? kwa kipimo gani?

Kwanza ili niwe katika nafasi ya kujua swali lako lina maana gani ningependa na wewe uniambie umeifanyia nini tanzania mpaka hapo ulipofikia maana kila siku tunawasema viongozi alafu nitakwambia nchimbi kafanya nini yeye
 
mmmmmh sina uhakika sana na ubora wa PhD ya Nchimbi, kwangu huyu si daktari, angeipata SUA ningeitambua kwa sana kwani najua userious ulioko SUA, kuna kina Kamala na PhD zao za Mzumbe Univ ambazo zina utata, Je ya mh Nchimbi ni safi?. Nchi hii tumezidi kuwatunuku wanasiasa PhD ndio maana wanawadharau wanataaluma na wataalamu, kwa jinsi hii kila kitu kinaendeshwa kisiasa hapa nchini.

Wala sidhani wewe upo katilka kipimo cha mtu kuwa au kutokuwa daktari......wataalamu gani wa kuheshimiwa ndani ya tanzania ya leo....ebu niambie prof mukandala,prof liviga na prof kilian etc wao wameifanyia nini tanzania....kuna utafiti gani wamefanya wakabadili maisha ya mtanzania au kusimamia jambo gani
 
Kwanza ili niwe katika nafasi ya kujua swali lako lina maana gani ningependa na wewe uniambie umeifanyia nini tanzania mpaka hapo ulipofikia maana kila siku tunawasema viongozi alafu nitakwambia nchimbi kafanya nini yeye

1. Huhitaji kujua mimi nimeifanyia nini Tanzania ili kuweza kuniambia mimi Nchimbi kaifanyia nini Tanzania. Kama kuna kitu kiko wazi ambacho Nchimbi kaifanyia Tanzania, hiki (achievements) hakitakiwi kufichwa na wapenzi na washabiki wa Nchimbi, hakitaki mbinde za biashara za kubadilishana "wewe niambie umeifanyia nini Tanzania ili mimi nikwambie Nchimbi alichoifanyia Tanzania". Kiongozi mwenye accomplishment wala hahitaji kuulizwa yeye wala wapambe wake, kazi yake inaonekana. Na akipewa nafasi ndogo tu ya ku expose kazi zake kuna kitabu kizima cha kuandikwa, wala hawezi kuanza kushughulika kuchelewesha mjadala wa maswala aliyofanya. Ukiona mtu/ mpambe anaanza kuchelewesha mjadala kwa kuuliza viswali visivyo akili kama "kwanza wewe umeifanyia nini Tanzania" hapo unaona, ahaaaa, hapa watu hawana jibu, wana buy time tu kuangalia utasema nini. Hawana la kusema.

2. Mimi sijaomba uongozi. Sihitaji kufanya makubwa. Nikisema nimeitumia familia yangu US $ 1,000 kwa Krismasi juzi, na namlipia cousin wangu gharama za Chuo cha udaktari ili kuongeza madaktari Tanzania, na kusaidia watu to the tune of thousands of dollars a year, that is more than enough. Naweza kufanya mambo madogo tu kama kupeleka fedha kusaidia familia yangu Tanzania nikanawa mikono. Sijaomba dhamana ya uongozi. Kwa hiyo usitake kufanya standard ya kazi yangu mie nilieamua kupiga kura na miguu yangu bila kuomba uongozi na huyo Nchimbi anayekula kodi ya wananchi kuwa sawa. Hatuwezi kuwa sawa.

Wanasema "Noblesse Oblige". To whom much is given, much shall be required. I wasn't given much in terms of responsibility, therefore what is required of me is not much. Those who asked for much in terms of leadership / privileges, must be held highly responsible, accordingly.Not on a par with the Kirangas of this world.

Huwezi kutaka Kiranga ambaye hajachukua VX wala nyumba kwa dhamana ya wananchi wa Tanzania, hakai katika cabinet ya Tanzania wala kwenda mjengoni Dodoma, aulizwe kafanyia nini Tanzania on the same par with Dr. Nchimbi ambaye ana influence zote za kiserikali.

Kwa kufanya comparison hii tu unajionyesha wewe ni mmoja wa hao burlesques usiyejua kinachoendelea.
 
Back
Top Bottom