Dr.nchimbi aifagilia miss tanzania

Nancheto

Member
Mar 4, 2011
25
4
Jana wakati waziri wa habari wakati akihitimisha hotuba ya makadirio ya wizara yake alisema bila kutafuna maneno kwamba serikali
itaendelea kuwaunga mkono miss Tanzania na kushadidia kuwa kadri siku zinavyoenda mashindano hayo yataendelea kuboreshwa,
lakini kitu cha ajabu ni kwamba amesiliba mashindano ya BIG BROTHER AFRICA.Akaendelea kusema kuwa wanaoshiriki BBA hawana
baraka ya serikali na ndiyo maana hata wakishinda serikali haina haja ya kuwapongeza.swali ni kwamba udhalilishaji wa miss Tanzania
na BBA una tofauti gani?
 
Back
Top Bottom