Dr. Mwele Malecela aula! Awa Makamu wa Rais IANPHi

Anawazimu kidogo....Nyerere alikuwa na watoto wengi sana....... sidhani kama anaweza kusikitika kwa Makongo, Madaraka kwakuwa hawakusoma njee, ni upuzi tu wa muandishi.... watoto wa Mwl ni zaid ya 20 Million ndugu

hii ni post ya mwanjf mwenzetu
 
Sasa ni wakati muafaka kwa huyu mama kuolewa kwa mara ya kwanza, maana kuendelea kukaa bila mume ni hatari sana kijamii.

We mchokozi, kuolea kwake kunakuhusu nini? A renowned scientist that is what we are looking for not kuolewa
 
Kwa umri wako na familia uliyotokea sina shaka umesomeshwa vizuri kwa fedha za wavuja jasho (namaanisha pesa iliyokusomesha siyo ya ccm) Sasa fanya kazi upambane haswa ukielimisha wanawake.
 
Kwa umri wako na familia uliyotokea sina shaka umesomeshwa vizuri kwa fedha za wavuja jasho (namaanisha pesa iliyokusomesha siyo ya ccm) Sasa fanya kazi upambane haswa ukielimisha wanawake.
Dah kitambo sana, ila POMBE keshafanya yake muda mfupi uliopita
 
Katumbuliwa kwani bidada!? Au taaluma yake imenajisiwa kwa makanusho matukufu!!
 
hakuwa na sababu ya msingi ya kupresent technical issues mbele ya jamii na waandishi ambao ni laymen
 
Back
Top Bottom