Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,444
Waganga wa kienjeji wamekosa mtu wa kumdaganya ndo maana wana haha pamoja na kina Kakobe. Acheni babu wa watu ajipatie umaarufu, kama ameshindwa kuvutia umma leave babu wa Loliondo alone!!
Huyu ndo Dr. Anthony Mwandulami kajaza nyomi kwenye zahanati yake ya kienyeji.
Gonga hapa Francis Godwin ni mzee wa matukio daima