Dr. Mwakyembe: Sitolipiza kisasi

Mwakyembe naye pamoja na usomi wake ni tatizo. Ana sababu gani ya kutoweka wazi kilichomsibu? Anang'ang'ania kupata huruma kwa mambo ya kufikirika? Siasa za hovyo sana hizi!
 
kishalegea huyu..ndo basi tena..mdomo umekuponza mzee wangu..wenzio hawapigani vita vya maneno wanafanya vitendo sasa yamekukuta

fisadi hatishiwi, ni wakunyonga tu na kutupilia mbali

eti "........mengine kama mwenyekiti wa tume sikuyasema kwani nikiyasema serikali nzima itaanguka....." Mwakyembe 2008
 
Mwakyembe naye pamoja na usomi wake ni tatizo. Ana sababu gani ya kutoweka wazi kilichomsibu? Anang'ang'ania kupata huruma kwa mambo ya kufikirika? Siasa za hovyo sana hizi!
Inapendeza sasa kama Watanzania tumekataa kugeuzwa misukule na kulishwa habari za kipuuzi kama hizi za kina Mwakyembe, Walipewa nafasi ya kuthibitisha ushujaa wao wakashindwa kuitumia, sasa hivi wamebaki kutafuta huruma ya wananchi huku hawajui sisi tuna hasira nao kwa kutusaliti na kutuficha ukweli wote wa ripoti ya Richmond huku wakijuwa wametumia mamilioni ya shilling za walipa kodi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom