Dr. Mwakyembe: Sitolipiza kisasi

mkuu mbona mapovu yanakutoka?wapi nimeandika mwakyembe ni fisadi?soma uelewe sio kukurupuka chooni bila kutawaza..

hahahahahaha

sasa asipotawaza unafikiri kikao kitakalika kweli? vipi kuhusu nguo ya ndani kwa mfano house girl ndio mfuaji atakutana na nini?

haya bana yangu mbavu
 
kwani mkuu ulikuwa unataka afanyeje,maana kama ripoti ilikuwa ni lazima isomwe bungeni na kuanzia hapo ndipo maadui wakajitokeza sasa unadhani yeye angefanyaje? ameumizwa kwa kulitetea taifa letu,yatupasa tumpe nguvu na moyo
Wewe ndio mjinga wa mwisho kabisa, unayakumbuka maneno haya? " Tulificha ukweli wote ili kuikoa serikali yote isianguke" by repoti ya Mwakyembe.
Je walimficha nani ukweli ili kumnusuru nani? na kwa maslahi ya nani? na je unafahamu walitumia shilling ngapi za walipa kodi ili kuutafuta ukweli matokeo yake wakatuficha ukweli? this are a Traitors.
Lakini tunamshukuru Lowasa ametueleza ukweli tuliofichwa na hawa wanafki kina Mwakyembe & Company.
 
Imeandikwa, Mungu hawezi kujaribiwa na uovu. kamwe usije ukamshauri mtu kutenda dhambi kwa makusudi sababu tu atatubu. " Mungu si mwanadamu" kumbuka hilo.

Ni kweli Mkuu, lakini inafikia mahali unaona jehannam inakuita! Bila neema hii ya Bwana Yesu Dunia sijui ingekuwaje! Daah nampa pole!
 
Wewe ndio mjinga wa mwisho kabisa, unayakumbuka maneno haya? " Tulificha ukweli wote ili kuikoa serikali yote isianguke" by repoti ya Mwakyembe.
Je walimficha nani ukweli ili kumnusuru nani? na kwa maslahi ya nani? na je unafahamu walitumia shilling ngapi za walipa kodi ili kuutafuta ukweli matokeo yake wakatuficha ukweli? this are a Traitors.
Lakini tunamshukuru Lowasa ametueleza ukweli tuliofichwa na hawa wanafki kina Mwakyembe & Company.

Nashukuru Matola
akutukanae hakuchagilii tusi,sasa kama ukweli ulifichwa kile kilichotolewa na Dr kilikuwa nini haswa? maana watz wengi wanadhani ule ndio ukweli na ndio kisa cha Mh EL kujiuengua,labda wewe uwe na jipya nje na lile

na kwa upande wangu,kama kweli makyembe ameumizwa basi nadhani ni kwa ajili ya ile ripoti,labda wewe waweza nipa ukijuacho mkuu

Ni kheri vita ya Matusi kuliko vita ya Bunduki,
Nakushukuru sana mkuu
 
alipize kisasi kwani anamjua aliyesababisha aumwe?jamaa ana bonge la nyumba(ghorofa),kumbe unaweza kujiita mpambanaji wa ufisadi hata kama ni tajiri kama mwakyembe?

Hivi kweli Nyumba kama ya Mwakyembe ni ajabu mtu mwenye Phd kuwa nayo? Ndugu yangu wee mbona ushangai za kina Marijani Msofe,Ndama,Abdul Mteketa,Muzamil Katunzi na wengineo? Jenga hoja acha wivu wa kijinga.
 
“Siwezi kueleza moja kwa moja kwamba nimelishwa sumu, ninachoweza kusema nilikuwa na hali mbaya sana wakati napelekwa India kwa matibabu na nimerudi salama nikiwa na afya njema, namwachia Mungu alipe kisasi, mimi si wa kulipa,” ...
Mjinga sana huyu jamaa eti ana jiita mpambanaji, akiwa India alisema kija bongo atapasua jipu kumbe jipu lenyewe ni kumwachia mungu...au ameona jamaa wako vizuri zaidi yake akaona hawezi kupambana nao basi kama ndivyo afunge ndomo lake na si kuendeleza unafiki wake yeye na Sitta
 
Labda anasubiri Wizara husika iueleze umma nini kimejiri,maana tumeambiwa ripoti yenyewe ni ya kg 10 ni nzito sana hiyo

na kama wizara itashindwa basi Dr nadhani ataweka wazi kila kitu,ama unaonaje mkuu
 
Nashukuru Matola
akutukanae hakuchagilii tusi,sasa kama ukweli ulifichwa kile kilichotolewa na Dr kilikuwa nini haswa? maana watz wengi wanadhani ule ndio ukweli na ndio kisa cha Mh EL kujiuengua,labda wewe uwe na jipya nje na lile

na kwa upande wangu,kama kweli makyembe ameumizwa basi nadhani ni kwa ajili ya ile ripoti,labda wewe waweza nipa ukijuacho mkuu

Ni kheri vita ya Matusi kuliko vita ya Bunduki,
Nakushukuru sana mkuu

Sijui unahitaji nikueleze nini ili utoke kwenye usingizi wa pono? Richmond = ni mradi wa bwana mkubwa wa pale mtaa wa Luthuli magogoni.

Kamati ya Mwakyembe wanayajuwa yote hayo ndio maana hawakumuhoji Lowasa waliogopa angewaambia nendeni mkamuhoji mkuru, ndio maana wakaishia na hasira zao za kukosa uwaziri mkuu na kumwambia Lowasa apime mwenyewe tuhuma na achukuwe maamuzi, ni nini usichokielewa wewe hapa? au umesahau JK alikuwa anatudanganya kwamba hamjui mmiliki wa Dowans?
 
Ni kweli ni vigumu kupambana na ufisadi ukiwa ndani ya CCM, lakini ni jambo zuri vilevile kwamba watusaidie kuiua CCM wakiwa ndani si unakumbuka wakina Raila Odinga Walivyoiua Kanu Wakati ule wakitokea ndani ya Kanu Yenyewe na alitoka kanu na Akina KALONZO MUSYOKA ,JOSEPH KAMOTO,SAITOTI.Mimi nafikili wanaweza kuendelea kuwa CCM,lakini watoke CCM 2015 Kwa kundi kubwa wakipinga mchakato wa uraisi kwani kama ilivyo ada mwenye fungu kubwa ndiyo atashinda.
mwakyembe si msafi na anajua hilo ndio maana ameishia kuwa bwabwajo tu (vuvuzela) na hakuna message alideliver

JUST TELL ME, WHEN WAS THE LAST TIME MWAKYEMBE AMEONGEA SENSE SINCE KUSOMA RIPOTI YA RICHMOND AMBAYO WALIANDAA WATU ZAIDI YA KUMI??

THE GUY IS JUST OVERRATED MOFO
 
mjinga sana huyu jamaa eti ana jiita mpambanaji, akiwa india alisema kija bongo atapasua jipu kumbe jipu lenyewe ni kumwachia mungu...au ameona jamaa wako vizuri zaidi yake akaona hawezi kupambana nao basi kama ndivyo afunge ndomo lake na si kuendeleza unafiki wake yeye na sitta

huyo sio mjinga... Kwani mjinga ni wa kwenda tu, huyo ni mpuuzi... Yaani wa kupuuzwa kabisa

anachefua sana jamaa na unafiki usiokwisha
 
huyo sio mjinga... Kwani mjinga ni wa kwenda tu, huyo ni mpuuzi... Yaani wa kupuuzwa kabisa

anachefua sana jamaa na unafiki usiokwisha
Yeye na Samwel Sitta hawa ni watu wa kuupuuzwa to the maximum na Watanzania. ile kamati yao wote wameshahongwa vyeo, kumbe shida yao ilikuwa ni vyeo tu basi kenge kabisa hawa.
Stella Manyanya nae amehongwa ukuu wa mkoa biashara imekwishwa kudadadeki!!
 
Ivi mnajua ata adui zako hawatakiwi kujua kama utawalipiza kisasi

then its better to keep quiet sio kubwabwaja na media kila siku... anywe dawa apumzike aisee; dawa nyingine na kubwabwaja haviendani mkuu:hat:
 
Yeye na Samwel Sitta hawa ni watu wa kuupuuzwa to the maximum na Watanzania. ile kamati yao wote wameshahongwa vyeo, kumbe shida yao ilikuwa ni vyeo tu basi kenge kabisa hawa.
Stella Manyanya nae amehongwa ukuu wa mkoa biashara imekwishwa kudadadeki!!

ulafi utawapeleka huku...........
rats-tm.jpg
 
Kuna kamsemo tulifundishawagwa shule "Aisifiae Mvua Imemnyea" . Hapa kunampenda" haki na mema kwa raia wote" na mpenda ufisadi. Mmoja hata ona uzuri wa mwakyembe hata kidogo mpaka atakapogundua ubaya wa ufisadi. na Mwingine ataona yote kama hata elemewa mtizamo wake. Inakubalika hiyo lakini ukweli utabaki kuwa ukweli haijalishi wewe uko upande gani.
 
just go straight to the point, Mwakyembe is disappointing kwasbabu we expetced alot from him, and he ended up always promising something he cant even deliver... that is why we advice its better to be quiet, prepare the game and play your cards right when all is settled and well planned.... anavyohangaika na "nitasema yoe", sitalipiza kisasi" he is just wasting everyones time and trust. he is a leader so he must be straight

BTW, unajua kwamba kutoa ahdi na kutozitekeleza ni kusema uongo?? na unajua uongo na uongozi haviendani?:yawn:
 
Shame on you Mwakyembe. Unadhani ulipowafichia siri hawa mafisadi wangekuacha hivi hivi? Kama kamati yako isingetanguliza maslahi binafsi kama kupewa uwaziri uchwara na ukuu wa mikoa tusingekuwa tunahangaika na genge hili la majambazi linaloongozwa na Njaa Kaya Kiwete. Mwakyembe huna haja ya kulalamika kwani malipo ni hapa duniani. Usaliti tena wa taifa ni dhambi isiyosameheka. Yako wapi maulaji uliyopewa kwa kuwasaliti wanuka jasho wa Tanzania zaidi ya kunasa kwenye mtego ule ule. Na bado watakunyotoa roho lipiza usilipize.
 
Sijui unahitaji nikueleze nini ili utoke kwenye usingizi wa pono? Richmond = ni mradi wa bwana mkubwa wa pale mtaa wa Luthuli magogoni.

Kamati ya Mwakyembe wanayajuwa yote hayo ndio maana hawakumuhoji Lowasa waliogopa angewaambia nendeni mkamuhoji mkuru, ndio maana wakaishia na hasira zao za kukosa uwaziri mkuu na kumwambia Lowasa apime mwenyewe tuhuma na achukuwe maamuzi, ni nini usichokielewa wewe hapa? au umesahau JK alikuwa anatudanganya kwamba hamjui mmiliki wa Dowans?

wewe usihofu,niseme kwa jina lolote

sasa mkuu kama hilo ambalo si la ukweri ndilo limemuumiza Dr,je kama wangetoa ripoti ya ukweli nini kingetokea? mimi ninachokisimamia hapa ni ile hali ya mtu kupewa maumivu hata kwa kile ambacho wewe unakisema kuwa hakikuwa cha kweri,so bado nasema kuwa pamoja na kuwa yaliyosemwa hayakuwa ni yakweri lakini kukisema tu tayari ni ujasiri kwani kimesababisha watu furani kujiuzuru.
 
Back
Top Bottom