Dr Mwakyembe ni Mnafiki na Msaliti; Tanzania Daima

Hossam

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
3,538
2,155
Dr Mwakyembe amejikuta akitajwa kama msaliti na mnafiki ambaye alishiriki kuficha madudu ya JeiKei wakati wa uchunguzi wa sakata la wizi la Richmond. Kuna baadhi ya mambo ambayo kama kamati yake, kwa mujibu wa report yake, ingeamua kuyaandika basi serikali nzima ni corrupt na ingeanguka. Tuna kila sababu ya kuomba aseme ni mambo gani hayo na ni nani hasa aliyemfichia siri ilhali PM alishawajibika. Dr Mwakyembe nina kila sababu ya kuamini ama na wewe ulihongwa ama uliahidiwa huo uwaziri wako wa ghafla kipindi hicho ili ufumbe domo lako, na wewe ni gamba; nawasilisha wana JF
 
Back
Top Bottom