Elections 2010 Dr.Mwakyembe leo kuhutubia Kyela mjini

kasyabone tall

JF-Expert Member
Sep 13, 2009
254
59
Siku ya leo Dr. Mwakyembe anatarajia kuhutubia wanakyela katika stend uwanja wa siasa Kyela mjini. Hivyo kwa mtu aliyepo kyela na anapenda kumsikiliza basi ni muhimu kupata taarifa hii, Mkutano utaanza saa 9.00 Alasiri. Lakini tujue kuwa yale aliyohaidi mwaka 2005 hajatekeleza yaliyo mengi. Tunapenda leo aruhusu maswali mengi na aendelee kutupa ahadi hewa za miaka mitano ijayo mithili ya Prof Jay.

Wanakyela walimchagua hasa kutokana na hasira ya kupigwa vita na mafisadi, na wengi wao wanatarajia kurudisha kadi za CCM ambazo wametumia kumpigia kura mwakyembe katika Mkutano wa Dr slaa.

Tukaribie wote tumuhoji, Ningependa wana JF waliopo kyela wahudhurie kwani mawazo yao ni muhimu sana kwa maendeleo ya kyela.
Sikonge,Inginia, Afande samwel-Nipo kyela. Masanilo tupo pamoja.
 
NINGEKUWA NA MAMLAKA NINGEPENDEKEZA DK MWAKYEMBE AWE NA MSAIDIZI WAKE WA KUSHUGHULIKIA JIMBO LAKE YEYE AENDELEE NA KUHANGAIKIA HILI SWALA LA MAFISADI.:becky:
 
Ni hoja nzito inayohitaji mjadala zaidi, kama ikiwa hivi basi mwakyembe atakua mbunge mpaka ufisadi utakapoisha.Tukumbuke pia kuwa mafisadi ni wakubwa wake katika chama. Kama itawezekana ahamie CHADEMA ili apambane vizuri.
 
Siku ya leo Dr. Mwakyembe anatarajia kuhutubia wanakyela katika stend uwanja wa siasa Kyela mjini. Hivyo kwa mtu aliyepo kyela na anapenda kumsikiliza basi ni muhimu kupata taarifa hii, Mkutano utaanza saa 9.00 Alasiri. Lakini tujue kuwa yale aliyohaidi mwaka 2005 hajatekeleza yaliyo mengi. Tunapenda leo aruhusu maswali mengi na aendelee kutupa ahadi hewa za miaka mitano ijayo mithili ya Prof Jay.

Wanakyela walimchagua hasa kutokana na hasira ya kupigwa vita na mafisadi, na wengi wao wanatarajia kurudisha kadi za CCM ambazo wametumia kumpigia kura mwakyembe katika Mkutano wa Dr slaa.

Tukaribie wote tumuhoji, Ningependa wana JF waliopo kyela wahudhurie kwani mawazo yao ni muhimu sana kwa maendeleo ya kyela.
Sikonge,Inginia, Afande samwel-Nipo kyela. Masanilo tupo pamoja.

kasyabone tall, kwanza asante kuturejesha kwenye siasa za Kyela, ni very interesting, ila naomba mlete balanced reporting na sio zile za ushabiki maandazi.
 
mwakalinga yu wapi, afande samwel na wenzenu au ndo mshafuliaaaa, .....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom