Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 68
majungu kuhusu mwakyembe sasa basi,tufanye kazi.
Hapo juu watu wameconclude eti siyo sumu, wemetafuta difinition ya ugonjwa tuu!
Nimewahi kumuuliza prof mmoja mtaalam wa mambo ya immune systems kuwa ni kitu gani huweza kusababisha chembe hai na immune system kwa ujumla zisizalishwe? Akasema kikubwa ni "exposure to radiation", radioactive material yeyote huangamiza hizi pamoja na vinasaba vyake. Athari zake ni kama hizo za Dr. Kwahiyo, bado inawezekana aliwekewa hiyo Polonimu.
Inaonekana Jk amefanya juhudi binafsi kutaka kulimaliza suala hili kimya kimya kwa ajili ya manufaa ya serikali yake na ndio maana Dr. ameziba mdomo. Pia, analinda nafasi yake.

Kwani na huyu Wassira naye ana ugonjwa wa ngozi?..........
labda huelewi lugha hakuna sumu kwenye ugonjwa huo. hapo ni sawa na mlinzi kumpiga risasi boss wake. white cells zinachemsha na kushambulia cells zingine.
hizo toxic exposure ni madhara ya muda mrefu ambayo taratibu yanabadili behaviour ya cells. sumu inaua au kuharibu hapo hapo. hayo tunakuambia sisi madaktari tena sio wale wa shule za kata.
mlimtukana pasco bure. huenda mheshimiwa sana alikuwa anatumia madawa muda mrefu na yamesababisha mchanganyiko kwenye cells zake.